Za ndaaaani kabisa
Msanii Diamond Platnumz yupo mbioni kuzindua jumba lake la kifahari pamoja na ofisi mpya za Wasafi Media.
Ikumbukwe ofisi za sasa za Wasafi Media ni za kupanga. Hivyo mwana anataka uzinduzi wa Mjengo wake mpya ambao utakuwa gumzo jijini uendane sambamba na ofisi za Wasafi...
Azam media imesitisha rasmi kutoonesha mapambano ya boxing tena kwa kesi inayowakabili ya kuiba Idea ya neno "Vitasa".
Sasa Wasafi media iangalie namna ya kuwahi hiyo fursa ya kuonesha mapambano ya boxing kwa kuja na slogan na mbinu mpya za kukuza huo mchezo.
Watanzania kwa kiasi kikubwa...
Nafuatitilia kipindi Cha Wasafi Media, kinachorudhwa LIVE muda huu, ambacho kimepewa jina la HAUJUI, nikishuhudia mtangazaji wa Wasafi Media, Oscar Oscar, akimuuliza mtangazaji mwenzake anayeitwa Adela, akimuuliza awe mkweli na amwambie katika maisha yake , anakumbuka ni kiasi Gani alichowahi...
Mkurugenzi wa Clouds media group, Joseph Kusaga amethibitisha kutokuwa na Ubia wowote katika Wasafi media, ameeleza hayo katika mahojiano yake na Clouds, Kusaga ameeleza kuwa hana shea yoyete Wasafi media bali yeye ni kama baba na mshauri kwa Mkurugenzi wa Wasafi media ambae ni Nasib Abdul...
Tasnia ya habari hasa upande wa Ma-presenter wa kike naona bado hakuna wale wa kukiwasha sana atleast hawa wawili wamejitahidi sana pia wana-knowlegde ya mambo mengi tofauti na wengi
Mwana Jamiiforums yapii maoni yako kwenye ili yupi ni mkali hapa 🎤 🎙️
Meena Ally(Clouds FM)
Aaliyah...
Naam wakuu,nimejiuliza hili swali baada kufuatilia mwenendo wa ufanyaji kazi wa kituo Cha televisheni kinachomilikiwa na msanii diamond,hasa nikilinganisha na kiwango Cha usikivu wa kituo hicho kwa miezi iliyopita
Kwa upande wa redio, yaani wasafi FM huko sijafuatilia, kama msanii mkubwa kama...
Kwa tuliosoma vyema Psychology hasa ile ya Communication naomba tutafute Clips za Interviews za Diamond kuhusu Umiliki wake wa Wasafi Media kisha naomba tuchukue na Clips za Interviews za Ali Kiba na Umiliki wake wa Crown Media ( halafu zingatieni pia katika Body Languages zao ) na mkimaliza...
Mwina Seif Kaduguda, a socio- scientist cum Journalist anaijua Simba nje na ndani hivyo haiitaji saana kumuelezea.
Leo akiongea na Wasaf Fm huku akichagizwa na Mnazi wa Yanga Maulid Kitenge amediriki kusema kuwa Yanga ina umoja sana kuliko Simba.
Alisema Yanga inacheza mpira mkubwa sasa...
Wakurugenzi wa Wasafi Media, Joseph Kusaga na Naseeb Abdul ‘Diamond Platinumz’ wanaripotiwa kukosa maelewano kati yao juu ya uendeshaji wa media hiyo inayomilikiwa na wawili hao.
Chanzo ni TRA
Diamond ambaye amekuwa akitafutwa na maafisa kodi kwa muda mrefu, huku yeye akitumia 'janja janja'...
Mtangazaji wa kituo cha redio cha Wasafi FM amshambulia mtangazaji wa kituo cha redio DW ya Ujerumani, kwamba huyo mtangazaji alikosea sana namna alivyoripoti tamasha la kizimkazi.
Akizungumza katika kipindi cha asubuhi huku akikwepa kutaja jina la mtangazaji na kituo anachotangazia lakini...
EFM na wasafi media wametofautiana tarehe ya kuzaliwa tu lakini baba ni mmoja na mama yao mmoja!
Wafanyakazi wanakula kwa bamdogo wanalala kwa shangazi!
Mikataba yao ni copy and paste!
Mwaka mmoja kulala kwa shangazi, mwaka mwingine tunarudi kwa bamdogo maisha yanasonga cha muhimu ni kuwa na...
"Habari brother!!!!
Habari za leo Edo Kumwembe? Pole sana na majukumu mazito sana ya Uchambuzi hapo Wasafi!!!Pole na kazi nzuri sana ambazo umekuwa ukizifanya kwa nyakati tofauti tofauti zinazowa 'inspire' vijana.....Hongera pia kwasababu wewe ndio uti wa mgongo wa vijana wengi wachambuzi na...
Kila mtu anajua leo hii kuwa Wasafi Tv na Wasafi FM ndiyo media ambayo zimepata nguvu ya kushabikiwa kwa muda mfupi na kupata watazamaji na wasikilizaji wengi.
Huenda labda ushawishi huo umekuja kwa sababu ya bosi wao Diamond platnumz kuipiga chapuo media hiyo lakini kuna kitu naona kabisa...
UVCCM kama kuna Kikundi ambacho Kitawachafua na Kimewachafua ni hiki cha Ulinzi wenu Kiitwacho Green Guards.
Nimesoma leo katika Moja ya Gazeti kuwa Watu wa UVCCM kupitia hiki Kikosi chenu kilichojaa Wapumbavu Watupu kiitwacho Green Guards kilikuwa kimepanga Kumteka na Kumdhuru Mtangazaji wa...
MATUMIZI YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA KATIKA KUHIFADHI MAZAO YA KILIMO YANAYO HARIBIKA HARAKA MFANO MATUNDA NA MBOGA ZA MAJANI ILI KUMKWAMUA MKULIMA
Ilikuwa ni jioni moja nimetoka nyumbani kwenda kununua mahitaji kwaajili ya matumizi ya wiki katika soko la mabibo jijini Dar es salaam, lakini...
Achilia mbali kwamba picha na maelezo yamechanganywa maana aliyesajiliwa na simba ana miaka 23 siyo 29 jamaa wamefanya censoring ya logo ya M BET
Mbona logo za sportpesa huwa wana post, kuna beef? maingiliano ya kibishara? kwa msimu huu picha na video za simba zitakuwa haramu hapo usafini?
"Huyu jamaa anachojua saizi ni kusema "and stuff like that" basi 😁 "
Nimekuta caption hii huko twitter, aisee watu wa twitter wamefunguka mambo mengi sana kuhusu Mtangazaji Lil Ommy.
Kiufupi Inadaiwa kwamba uwezo wa Lil Ommy tangu aje Wasafi umeshuka sana, Jamaa akiwa Times Fm alikuwa moto...
Mwandishi wa habari wa Wasafi Media Arusha, Potte Mmanga anadaiwa kukamatwa mchana huu nyuma ya Chuo cha Technical College na watu waliojitambulisha kwake kama askari polisi wakidai wanampeleka ofisi ya RCO kwa mahojiano. Ofisi ya RCO Arusha imesema haina taarifa za kukamatwa kwake.
Chanzo...
Jamii yetu inapotosha maana ya kuandaa na kutoa futari ktk jamii.
Kwa kawaida futari inabidi itolewe kwa Waislam waliofunga wasiojiweza.
Leo unasikia futari inaandaliwa kwa matajiri wenye uwezo huku
wakiachwa masikini wahitaji.
Mathalani jana Wasafi Media imefuturisha bungeni Dodoma
huu ni...
Jamaa kiukweli anajua kwenye masimulizi creativity ya hali ya juu niliacha kusikiliza The Story book hasa baada ya Mtiga kuondoka ila kwa Sasa jamaa Ni Moto wa Kuotea Mbali Professor
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.