wapinzani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. matunduizi

    Kuondoka kwa Hayati Magufuli kumewavua nguo wapinzani

    Nimetafakari nikakumbuka story ya jamaa waliokuwa wanamkimbiza mwizi ila hawamjui (hawana target). Kufika sehemu wakaanza kuulizana mwizi yuko wapi kila mtu hata mimi sijui. Kuondoka kwa JPM kumewavua nguo wapinzani. 1: Imethibitika huwa wanapinga watu na sio mfumo uliopo dhidi ya mfumo...
  2. matumbo

    Naomba kueleweshwa: Wapinzani wanapambana na Hayati Magufuli au Rais Samia?

    Kila nikitazama mijadala kwenye mitandao ni kama wapinzani bado wapo kwenye mapambano na hayati Magufuli. Rais na mwenyekiti wa sasa wa CCM mama Samia ni kama hawana tatizo naye, anawakosha sana na wanamtumia kuwaumiza wafuasi wa Magufuli. Kwa wataalam wa siasa hii ina maana gani kwa siasa za...
  3. stakehigh

    Wapinzani wanacheza ngoma ya CCM

    - kiufupi niseme tu kama kuna chama chenye mbinu za siasa hii nchi basi ni CCM peke yake. CCM walimtumia Lowasa 2015 kufanya mission yao (nikiri kwamba hapa ndipo nlipo hama upinzani rasmi kwa sababu hazikua akili za chama kimoja bali kulikua na ukawa so its safe to say akili za upinzani zko...
  4. Idugunde

    Wapinzani walidhani ripoti ya CAG itawapaisha lakini wameambulia patupu. Sasa wanatakiwa wasiwe wanakurupuka

    Mantiki ya kisiasa ya wapinzani wa kisiasa hapa Bongo hasa ACT wazalendo na Chadema kuwa ikitokea kuna suala fulani ndio iwe upenyo wa kupata kick za kisiasa sasa hivi halina nafasi tena. Maana watanzania wanafanya mambo yao kwa kutumia busara. Huwezi ukawq upo Dubai umejifungia na kudhani...
  5. M

    Ndege 3 kwa mpigo, wapinzani ina maana hamjui kuwa CCM ni ile ile au tuseme nini?

    Siasa za kujipendekeza kwa CCM na siasa nyepesi nyepesi ni vizuri mkazifanyie Ufipa, haya mawazo ya kutaka kuokota dodo katika mti wa mfenesi mwisho mtajikuta mmedharaurika mpaka na kuku. Niwaambie ukweli vijana wa Lumumba wanakosa dili kisa mmekuwa wepesi mmno, mpaka vijana na wana CCM...
  6. Darucha

    Thomas Tuchel tuambie Chelsea gani wapinzani watakayoigopa kucheza nayo?

    Chelsea hii ya kuwaanzisha Reece James na Azipilicueta waanze pamoja (no creativity)? Chelsea hii ya kutuaminisha kuwa Timo Werner ni mchezaji mzuri wakati ligi inaonekana imemshinda? Chelsea hii ya wachezaji wanafanya makosa yaleyale? Unaacha wachezaji ambao wanaweza wakaleta ubunifu wa Hali...
  7. TheDreamer Thebeliever

    Wapinzani wanatakiwa kucheza ngoma yao na si ngoma ya CCM

    Habari wadau..! Kuna ka msemo ka waswahili kanasema "ngoma si yako wavaaje kibwaya",hii ndio inajidhirisha kwa wapinzani. Yaani siku hizi wamekuwa hawama ajenda isipokuwa kudandia dandia ,hii naona ina wafanya wasahaurike na wasisiskike tena kwenye ulingo wa siasa. Naona kama wapimzani...
  8. Idugunde

    Wapinzani walikuwa wanaongea na wafuasi wao wa mitandoni

    Uraiani watu wapo busy na masuala mengine ya kimaisha na kiuchumi. Huku wakichapa kazi Mitandoni ndio utakuta baadhi ya watu wachache wanaojinasibu ni wafuasi wa Chadema na Act wazalendo. Kwa akili ya kawaida Mbowe na Zitto watakuwa na ushawishi kwa wananchi wazalendo?
  9. Jaji Mfawidhi

    Wapinzani aliharibu kabisa hii nchi, CAG awavua nguo ya ndani

    Ukiangalia trend za majadiliano mitandaoni utaona dhahiri watanzania wameingia ubaridi toka jana ilipotoka taarifa ya Dr Abbas kukanganya na kufuatiwa na ya Msigwa kufafanua vyombo vipi vya habari vifunguliwe._ Jambo lililovurugika zaidi Waziri mwenye dhamana alipoomba wamiliki wa magazeti...
  10. jingalao

    Upo mkakati wa wapinzani kutaka kuwagonganisha wanaccm!

    Inaelekea kuna mkakati maalumu wa wapinzani wa CCM kutaka kuwagonganisha vichwa wanaCCM mara baada ya kuona Rais Samia aneingia madarakani kwa njia ya amani. Ni muhimu kuwakumbusha wapinzani kuwa CCM is there to exist till the true development of Tanzania is achieved. CCM na Serikali yake...
  11. K

    Ni vigumu kufungulia magazeti kwa sababu mengi yanamilikiwa na Wapinzani

    Kati Jambo lisilotakiwa na ccm nikuruhusu watu wapate taarifa sahihi. Magazeti ya Tanzania Daima na Mwanahalisi ni mwiba kwa CCM na kufunguliwa kwayo ni kuruhusu magazeti ya Tanzanite na Uhuru yakose soko. Bado tuna safari ndefu ya Uhuru wa habari Tanzanjia na alichokiktataa Rais Jana kwamba...
  12. konda msafi

    Mama kabadili upepo. CCM wamegeuka wapinzani wa mama, na wapinzani wamegeuka kuwa wafuasi wa mama

    Speech ya leo ya mama imegeuza milengo ya watanzania upside down. Wale CCM kindakindaki wa humu JF wafia chama wa CCM wamekuwa wapinzani wa mama, na wale wapinzani wa ccm wa siku zote wamekuwa wapenzi na washabiki wa mama. Binafsi pia nimekuwa mshabiki na mpenzi wa mama. Naomba mnielekeze...
  13. E

    Wapinzani ndio walio shauri tununue ndege tena wakaanza kuzipinga

    Nimekuja na uthibitisho hapa unaonyesha jinsi wapinzani walivyo wanafiki. Wanatuchanganya watanzania Wao ndio walio ishauri serikali inunue ndege na kufufu ATCL leo tena hao hao ndio wapingaji wa ndege na ATCL. Naomba niweke hii video kama ilivyo, niwaombeni dada zangu na kaka zangu wa...
  14. Kasomi

    Wapinzani tambueni kuwa tunayahitaji maendeleo zaidi kuliko siasa

    WAPINZANI TAMBUENI KUWA TUNAYAHITAJI MAENDELEO ZAIDI KULIKO SIASA Kwa mjibu wa kamusi ya Oxford, "Siasa ni shughuli zenye lengo la kustawisha ama kuongeza hadhi ya mtu fulani au kuongeza mamlaka ndani ya jumuiya ama shirika fulani". Kwa mantinki hiyo unaweza kuona kuwa siasa ipo kwa ajili ya...
Back
Top Bottom