Na ninachowapendea Waislamu katika hii Dua yao huwa haitanii na taratibu naanza kuona huenda kuna Watu watapukutika kwa wingi ndani ya Wiki Mbili zijazo hadi Mwezi na si ajabu hata wengine nao Kampeni Ijayo wakawa si Wao kwakuwa watakuwa Wehu na Mburundi kupeperusha Bendera ya 2025 -2030...
Huyu mtoto hadi mmekatisha uhai wake amewakosea nini jamani, hili jambo kila ninapofanya shughuli zangu linanijia, nimevaa uhusika kuwa yule ni binti yangu amefanyiwa unyama ule, niko katika hali gani.
Kweli nyie mliofanya unyama na ukatili kiasi hicho mnastahili kuwepo duniani kweli?
Huyu...
Bila kujali utaifa, kabila, dini, n.k. kilichofanyika kwa mtanzania mwenzetu ni unyama uliopitiliza na ugaidi wa wazi kabisa.
Kuna sababu ya kuendelea kuwavumilia watanzania wanaosapoti magaidi wa hamas baada ya kuyaona walichomfanyia kijana wetu wa Kitanzania ? HAPANA !!
Ni toe rai kwamba iwe...
Nimeona kesi nyingi za rufaa zinazohusu mauaji watuhumiwa wanaachiwa huru katika hatua ya rufaa.
Hali hii inaonyesha upo udhaifu mkubwa kwenye upelelezi, au uendeshaji wa mashtaka au utoaji hukumu.
Katika hali hii inayoendelea upo uwezekano wauaji wenye nguvu ya fedha au siasa wakaachiwa wote...
Watu wawili, akiwemo mganga wa kienyeji, Mbwana Makamba, wamehukumiwa kunyongwa hadi kufa baada ya kukutwa na hatia ya kumuua mtoto, Samira Said (4), kisha kumtoa kizazi na kuondoka nacho.
Waliohukumiwa adhabu hiyo ni Richard Kimweri (43) ambaye alikuwa mlinzi na mkazi wa eneo la Makaburi ya...
Lazima tu kwa magari yote yaliyopaki ama yaliopo nje ya kanisa la Kilutheri Tumbi hapatakosekana yenye Dashcam.
Pia njiani kuelekea kwenye pori tengefu lazima hawa watekaji na wauaji walipishana na magari lazima kulikuwa na magari tu yenye Dashcam.
Polisi watoe wito wote wenye magari yenye...
Jeshi la Polisi mkoani Mara linawashikilia watu watano waliokuwa wanajifanya waganga wa kienyeji kwa tuhuma za mauaji ya mwalimu Monica Patrick (31) mkazi wa Itilima mkoani Simiyu baada ya kumuibia fedha shilingi milioni 9.5 na kisha kumnyonga.
Imeelezwa marehemu alifika mkoani mara kwa madai...
Machi 1966, Muhammad Aziz, Khalil Islam na Mujahid Abdul Halim walihukumiwa kifungo kwa mauaji hayo na kisha Halim alikiri kumuua Malcom X, ingawa alikuja kuachiwa huru mwaka 2010.
Novemba 2021, Mamlaka za Jiji la New York zilithibitisha kuwa Aziz na Islam waliokaa jela miaka 20 hawakuhusika na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.