@divatheebawse amefunguka kuhusu penzi lake na @fred_vunjabei na kuweka wazi swala la kuzaa wote watoto wa tano.
Mbali na hivyo pia anasema kwa sasa ana furaha zaidi kuwa kwenye penzi zito na Fred Vunjabei kwani kabla ya hapo hakuwahi kuwa na furaha kama aliyokuwa nayo kwa sasa.
Ameyazungumza...
Nilikuwa Mbeya huko nikapita mitaa ile ya SIDO ni kama vile duka la Vunjabei linapumulia mashine, halina mzunguko wa biashara kivile.
Jana nimepita Iringa napo naona lile duka alilolifungua kwa mbwembwe nalo lishajifia na kufungwa muda tu.
Hapo Dar duka lake la Sinza nalo linapumulia mashine...
Mfanyabiashara maarufu, Fred Vunjabei amemtolea uvivu Mwijaku na kumtaka aache kumhusisha na ishu za utajiri, baada ya Mwijaku kudai kuwa Fred ana utajiri mkubwa kuliko Diamond Platnumz, wakati akipinga ndoto ya Diamond ya kuwa tajiri namba moja duniani.
Fred, mmiliki wa kampuni maarufu ya...
Habari ya siku, mimi si mwenueji sana hapa Dar nauliza wapi yalipo maduka ya vunjabei hapa jijini mfano kama lipo kariakoo, au sinza naomba mnitajie sinza eneo gani au kkoo eneo gani
Ni mwaka sasa niko Mbeya, huyu jamaa anajiita vunjabei alifunggua duka lake hapa Sido mbeya kwa mbwembwe lakini naamini hauzi hata laki mbili kwa siku maana hakuna wateja kabisa pale.
Nikipita maeneo yale ya sido naona wafanyakazi wake wamekaa nje tu wamejishika tama.
Tatizo nini wakuu?
Fred Vunjabei ameamua kuweka duka lake Zanzibar kuwapa ahueni ya kununua vitu kwa bei ya juu. Kabla hata hajaanza kazi keshaanza kupata mizengwe na Manispaa ya Mjini Zanzibar.
Ngazi za kuingilia mlangoni zimechomolewa kwa kigezo kuwa zimekiuka sheria.
Mfanyabiasha tajiri Fred Fabian Ngajiro (Vunjabei) amememaliza Mkopo wa elimu ya juu.
Fred anasema wale wote wanaodaiwa mkopo na Bodi ya Mikopo, kuitikia wito wa (HESLB) wanaotaka ulipe mkopo wako unaodaiwa ili uweze kuwanufaisha vijana wengine wanao anza chuo.
Na tuliojiajiri tunakumbushwa...
Huyu jamaa nadhan akimaliza mkataba asiongezewe tafadhali sana.
Nadhani Simba waingie mkataba na mtu tofaut halaf huyo mtu aingie ubia na fred awe anauzia jezi kwenyw maduka yake. Always ana dissapoit.
Low quality jersey (jamaa anatoa jezi kama nguo zake hata aibu haoni) jezi ya mwaka huu...
March 19, 2022, marks the one-year anniversary of Tanzanian president Samia Suluhu Hassan’s inauguration. As the country’s former vice president, Hassan became the constitutionally mandated successor of late president John Magufuli after he allegedly died from Covid-19 in early March 2021.
Her...
Mzabuni wa jezi za klabu ya Simba Fred Ngajiro 'Vunjabei, amevunja ukimya na kufichua kuwa amepata hasara ya Dola 150,000 (zaidi ya Sh349 milioni).
Hasara hiyo imetokana na kubadilisha mfumo wa jezi za awali kufuatia kubadilishwa kwa mdhamini kutoka SportPesa na kuwa M-Bet. https://t.co/BZyTXc5Ux3
Hivi polisi fc si umewadhamini pia kuhusu jezi?
Ombea sana keshokutwa waifunge yanga la sivyo hizo jezi zinazokuja kwa mafungu zitakudodea by the time mambo hata yakianza kutulia huko uzunguni simba fc majezi feki kibao yatakuwepo kitaa
Mwaka huu umeula hasara matokeo ya jana ni hasara sana...
Kama mnavyofahamu nafasi ya usemaji na nafasi nyingine zipo wazi .
Mchambuzi wa michezo ndugu Jemedari Said bin Kazumari ameomba nafasi hiyo huku akiwa ametimiza vigezo kadhaa vya awali Kama elimu na kuwa mwananchi (mwanachama wa Yanga tangu 2001).
Tumtakie Heri katika hili.
Kwa hali ilivyo kuwa siku ya jana katika ununuzi wa jezi za club ya Simba katika Maduka ya mfanyabiashara Fredy Vunja bei hakika haikuwa sawa, likely kuke kulikuwa ni kusababisha majanga ..
Imagine kama kale kajengo kangeanguka leo hii hii siku ya nane nane ingekuwa simanzi kwa baadhi ya familia
Inasemekana Fred Vunjabei alikuwa na stoku maalum ya jezi kwa ajili ya mashabiki maalum wa Simba, lakini hazikuuzika vizuri msimu huu, hivyo Chadema walienda kwenye magodown yake na kuomba wauziwe kwa Mali kauli, lakini mpaka Leo hawajalipa!
Bila kupepesa maneno ni suala la kutafakari na kuhoji,
Vunjabei ametoa fedha kwa ajili ya haki za mauzo ya jezi za Simba. Hik kiwang cha Fedha atakipata ama na faida kama ataendelea kuuza jezi kwa msimu huu mzima.
Tunachojiuliza ni kuwa mtengeza Jezi ameweka Logo yake kwa chini pale na...
Shirika la Posta limeanzisha duka la mtandao. Sijui nani aliwashauri kufanya hivi? Kwanini hatujifunzi kwa walioendelea?
Huwezi kufanya biashara ya kwa mlaji (consumer) kwa kutumia kodi za watu na ukafanikiwa. Yaani sisi tulitakiwa haya mambo tuwe tunaruka tu, kwasababu nchi zilizoendelea...
"Naomba Mumkumbushe Fred kua walikuwepo wauza nguo kama yeye walikuwa na hela kuliko yeye, walikuwa washamba wa mademu wa mjini kama yeye na wakafilisika na hawapo tena, so na yeye kwa ushamba huo huo wa mademu tutamsahau ni muda tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.