virutubisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    VIRUTUBISHO VYA NGURUWE VINAVYO FANYA VIZURI NI MAX PIG .

    ■ FAIDA YA KUTUMIA MAX PIG SUPER MEAT. -Nguruwe hukuwa haraka pasipo kudumaa na kuongeza uzalishaji wa nyamaa Tamu isiyo na mafuta mengi yenye hadhi ya kimataifa. -Nguruwe kuingia joto kwa wakati na kupelekeea kuzaa watoto wengi wenye afya njema. -Huboresha kinga ya mwili hivyo nguruwe...
  2. GoldDhahabu

    Utafahamuje kama una upungufu wa madini na virutubisho mwilini?

    Kuna vipimo vya kimaabara vya kubaini hayo? Vinapatikana kwenye hospitali zipi, kubwa tu au hata vituo vya afya? Mara nyingi watu wamesisitizwa kula matunda na mboga za majanikwa wingi kwa kuwa ni miongoni mwa vyakula vyenye utajiri mkubwa wa vitamini na virutubisho mbalimbali, jambo ambalo ni...
  3. M

    INAUZWA Virubisho hivi vya nguruwe aina ya max pig vimekuwa msaada kwa wafugaji Tanzania

    Nguruwe wako wamedumaa? wamekonda? wamedhohofika?, vifo vya mara kwa mara? wanashambuliwa na magonjwa mara kwa mara? umewatibu weee! Bila mafanikio yoyote zaidi tu ya kutapa hasara na mpaka sasa umechoka na hutamani tena kuendelea kufuga nguruwe . Pole sana na karibu Mfugo plus...
  4. Comrade Ally Maftah

    Virutubisho vinavookoa gharama katika ufugaji

    CAM STORE Tumekuletea BioEarn Feed Additives ama nyongeza ya malisho. Virutubisho vya BioEarn vimetengenezwa kitaalamu kwa kutumia Unga wa mimea yenye Vitamini na Protini nyingi katika uwiano wa kisayansi na kuongeza aina mbali mbali za Madini na Bacteria kama [ bacillus subtilis type 1]...
  5. T

    Sababu ya Waziri Bashe kukataa msaada wa mchele wa Wamarekani: Je, ni uwepo wa virutubisho, kutokuwa na utapiamlo nchini au hatuna shida ya mchele?

    Nimefuatilia kwa makini clip ya Mh Bashe kuhusu suala hili. Kweli speech yake imeniacha na maswali mengi. Listerning between his wording (alivyo-paraphrase) na tone ya speech yake utajiuliza je ni ubabe? je ni overconfidence? je ni kweli tunajitosheleza? ni kiburi, je ni kweli hatuna shida?, je...
  6. Dr Matola PhD

    Kati ya Nyerere aliyetulisha unga wa njano, mahindi ya mifugo Marekani na Michele wa virutubisho yupi bora?

    Kuna kitu sielewi naomba kuelimishwa, Nyerere alikwenda Marekani kwa rafiki yake Rais wa Marekani akamwambia watu wangu wanakufa njaa, Wamarekani wakatuletea mahindi ya njano (unga wa Yanga) ili ng'ombe sisi tusife. Leo Wamarekani wamegundua utapiamlo ni tatizo kwa watoto wa Tanzania imekuwa na...
  7. Mwande na Mndewa

    Je, Shujaa Magufuli angekubali kula wali wenye virutubisho!?

    Mama kaenda Marekani kaja na wali wenye virutubisho, Tanzania yenye ardhi yenye rutuba asilimia 80 mvua inayonyesha na maji yanayotiririka masaa 24, Tanzania yenye amani isiyo na vita, Tanzania ilitolelewa kijamaa iliyolima mashamba ya Ujamaa kuvuna mavuno ya kutosheleza, leo tumefanywa kama...
  8. P

    SI KWELI Mende wanaopatikana kwenye Mazingira yetu ikiwemo chooni huzalisha maziwa yenye virutubisho vingi kuliko Maziwa ya ng'ombe

    Jamani kichwa kinajieleza. Kwanza ni kweli mende anazalisha maziwa? Mende hawa hawa tunaowaona chooni? Sasa maziwa yenye yanakaa wapi na wanakamuaje? Halafu eti inasemekana maziwa ya mende yanavirutubisho kuliko ya ng'ombe, si makubwa haya! Mende walivyo wachafu na wanavyoogopesha leo mtu...
  9. Sildenafil Citrate

    Virutubisho na faida za Tangawizi kwa afya

    Ni mzizi ulio na faida kubwa sana kwa afya. Vyanzo vya kihistoria vinataja asili ya mzizi huu kuwa ni Kusini mwa bara la Asia. Hupatikana kwenye familia kubwa ya Zingiberaceae. Kwa mujibu wa USDA, tangawizi ni mzizi ulio na mjumuiko wa nishati, protini, wanga, nyuzilishe, madini chuma...
  10. Mokaze

    Maswali kwa TMDA kuhusu virutubisho katika unga wa sembe

    Wadau, hususan TFDA (The Tanzania foods and drugs authority), ni kwa muda mrefu nimekuwa na tashwishi ya kutaka kujua kuhusu madawa/virutubisho (fortifications) zinazotiwa na wasagaji katika unga wa sembe nk , maswali yangu kwa wahusika au kwa mtu yeyote anajua kuhusu hayo madawa/virutubisho ni...
  11. LAETUS

    SoC02 Changamoto ni fursa; Uchafu ni fursa kwa kuzalisha umeme, gesi ya kupikia, vilainishi pamoja na mbolea yenye virutubisho

    Uchafu ni kitu chochote ambacho hakina matumizi kwenye mazingira; mfano chupa zilizoishiwa matumizi, karatasi, makapi ya mazao mbalimbali,majani ya matunda, mabaki ya vyakula na vinginevyo. Kwa hiyo kutokana na uchafu, mazingira yanakua sio safi na salama kwa viumbe hai ndani yake. Asilimia 37%...
  12. Red Giant

    Hivi mlenda una virutubisho vyovyote au watu wanakula ili wasife?

    Kuna huu unaitwa mlenda wa kienyeji. Watu wanatumia majani na wengine maua ya kukaushwa. Hivi hii mboga ina virutubisho vyovyote?
  13. Mkulungwa01

    Mke wangu amenenepa mno

    Shabaaaash! Habarini wanajukwaa. Mke wangu ana muda usio mrefu tangu ajifungue na anakaribia kuacha kunyonyesha sasa kwani mtoto ameshakuwa mkubwa. Tatizo ni kuwa nilimuanzishia diet ya kurudisha virutubisho kwani hili dume lilikuwa linanyonya mno so alipungua kiasi. Sasa amenenepa kuanzia...
Back
Top Bottom