Mtaani mtu anajenga banda la chips na mtaji kwa jumla ya laki 7 kwa mwaka ana make zaidi ya 5M .
Mwingine anaweka 20M UTT kwa mwaka ana make 2M
Hiki ni nini ? Mimi nadhani huko wanafaidika wanaoweka pesa nyingi
Vijana wa kitanzania bila kinga ya system ni watu waoga sana
Nyerere aliwahi kusema“Tunataka kuona katika Taifa hili vijana jeuri na wenye kujiamini , si vijana waoga ,akina ndiyo bwana mkubwa, vijana wenye ujasiri wa kuhoji na kupiga Vita mfumo wa jamii isiyo shabihiana na matakwa na...
Viongozi wa CHADEMA waliitisha maandamano wakati walijua hawana uwezo wa kufanya maandamano siku zote kuongea ni rahisi sana kuliko kutekeleza.
Moja ya mbinu ya maandamano ni kuwa mafichoni ,huwezi kutangaza kuandamana alafu ukalala kwako.
Hivyo basi Lissu alijua hawezi kuandamana na...
TUYAONDOE MAJAMBAZI YA KISIASA KWENYE VYEO YALIKOJIPENYEZA KWA RUSHWA YAKAPATA VYEO ILI TUBAKI NA WATU WAAMINIFU NA WAADILIFU WENYE UCHUNGU WA KUWAINUA MAFUKARA
Nilisikika nikiunguruma katika Ulimwengu wa Kiroho huko Ndotoni. Baada ya kuyaona Majambazi ya Kisiasa Baadhi yaliyo jipenyeza kwenye...
Angalia huu mlolongo wa Siku ya Vijana Duniani, Halafu Toa maoni yako
Haya hapa ni Maadhimisho ya siku ya Vijana Duniani kwa UVCCM kwenye Uwanja wa Amani, lilihutubiwa na Makamu Mwenyekiti wa ccm Hussein Mwinyi
Hawa hapa nao ni Vijana wa ACT WAZALENDO wakiwa Chakechake Pemba
Mgeni Rasmi...
Haji Manara, semaji la Yanga lilifungiwa kujihusisha na masuala ya soka na likapigwa faini kwa utovu wa adabu.
Hata hivyo, licha ya kufungiwa, Manara aliendelea kujihusisha na mchezo wa soka kama kawaida huku akiendelea kuwatukana viongozi wa TFF.
Aliendelea kufanya yote aliyoweza kufanya bila...
Pamoja na ukweli kwamba Ibara ya 107A(2)(e) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaitaka Mahakama kutoa haki bila kujifunga na mambo ya kiufundi kiasi cha kushindwa kutoa haki,mambo kwa upande wa mahakama zetu ni tofauti kabisa hususan kwenye mashauri ambayo yanahusu kushitakiwa kwa...
Mimi ni mtu mzima na familia lakini naogopa sana radi, ikiwaka moja tu, basi natafuta pa kujificha.
Ni aibu ni wapo na watoto ila ndio hivyo, je kuna sababu ya kuogopa radi nikiwa ndani?
Mbunge Fyandomo Awataka Wanawake Kuacha Uoga
MBUNGE wa Viti Maalum Mkoa wa Mbeya, Mhe. Suma Fyandomo amewataka wanawake kuwa mstari wa mbele kugombea nafasi zozote zinapojitokeza na wasisite wala kuogopa kwani wao ni jeshi kubwa na nguzo katika familia.
Fyandomo amesema hayo wakati wa...
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Balozi Nchimbi akizungumza na Wanachama na Wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaan Leo amesema.
Mkiwaona CHADEMA wana Andamana Mjue wameamua kutumia Miguu Kufikiri Badala ya Akili/Ubongo.
https://www.instagram.com/reel/C2UvdMwtYtD/?igsh=ZWNpZmN3OW8wdHJq
Wanaukumbi.
BREAKING:
⚡ 🇮🇷ISIS sasa imedai Kuwajibika kwa Mlipuko wa Kujitoa mhanga jana kwenye Njia ya Kumbukumbu ya Mauaji ya Qasem Soleimani nchini Iran.
ISIS na Israeli tena wana adui sawa na huko Syria. Ajabu sana...
Hii ndo habari iliyotufikia hivi punde, kwamba msafara wa Makamu Mwenyeki (Chadema),Mh lissu ,umezuiliwa kuingia Ngorongoro ili kufanya Mkutano wake na wananchi wa Ngorongoro,
Hata ivyo taarifa za awali zinasema msafara wa M/mwenyekiti mh Lissu, wamefunga barabara na wamehaidi kutohondoka...
Kikwazo kikubwa cha uwajibikaji na utawala bora katika nchi yetu ni malezi anayopitia mtanzania wa kawaida, kuna namna ambavyo malezi yetu kuanzia shuleni hadi nyumbani yanatengeneza vijana waongo, wanafiki, wabinafsi na waoga. Maisha yetu kuanzia tukiwa watoto mpaka tunakuwa watu wazima ili uwe...
Na si mara ya kwanza unaskia mtu anasema mimi sitaki mazoea na watu.
Mimi sitaki marafiki.
Mtoto wangu ni geti kali, sitaki hata marafiki zake waje.
Niseme tu ya kwamba tabia hizi huwa zinachangia sana umasikini, Ni nani asiejua kwamba binadamu hawaaminiki ? lakini jibu ni kuwakwepa ? NO...
Hello JF members,
Kwa muda mchache nilioishi hapa Tanzania nimebaini tabia ya Watanzania tofauti na wengine.
Uzoefu huu umenifanya nibaini Watanzania 99% ni waoga na wenye mioyo safi na hii ndio sababu kwanini Tanzania Ina amani
👉Tazama ishu ya bandari, mtanzania yupo tayari kusifia tu...
Hello bosses and roses....
"Security by obscurity" is for cowards, kwa sababu inaprove kwamba kuna loopholes nyingi na rahisi kupatikana kwenye hio system endapo nitajua au kuweza kufikia ulichokificha. Nikiwa nafanya security audit yoyote ile nikagundua developer ametumia sana 'secrecy' kwenye...
Kwa kweli tusipompongeza mama kwa utawala wake tutakuwa hatuna shukrani, tumeishi na utawala uliopita tukaona wafanyabiashara na matajiri walikua maadui, wakabinywa wakashindwa kufanya miradi ya maendeleo. Wakashindwa hata kujenga nyumba zao.
Kwa Samia kuna uhuru na njia kibao za kupiga, akili...
Naona hii ya kucheza match saa 10:00 jioni ni kama uoga hivi wa wasimamizi wa uwanja kuhusu swala la kuzimika taa. Maana huu muda sijawahi kuupenda katika maisha yangu.
Wangeweka hata saa 12:00 jioni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.