Unaweza kusema labda kwa vile mtu umepambana umetajirika basi utakuwa mbali na kero za serikali kumbe tabu iko palepale
Unakimbia kero ya kupanda mwendokasi kwa kununua magari binafsi lakini unakutana na kero ya barabara mbovu, mashimo na foleni
Unakimbia kero ya kupanga unaamua kujenga nyumba...
ulipokuwa huna pesa wala hawakufuatilia chanzo cha umasikini wako iwe ni uvivu, kwenda kwa waganga, madeni, ulevi, kamari, n.k. watu hawana time kabisa wala kukupa ushauri,
Mambo yanaanza kujipa unatoboa kuwazidi, mtu unachambuliwa zaidi kuzidi hata unavyojifikiria ama unavyoishi, yule atakuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.