uhuru wa vyombo vya habari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone mwamba

    Taliban: Marufuku Vyombo vya Habari kuchapisha picha za viumbe hai

    Serikali ya Taliban nchini Afghanistan kupitia Wizara yake ya Maadili, imeahidi kuanza kutekeleza sheria mpya inayopiga marufuku Vyombo vya Habari Nchini humo kuchapisha picha za viumbe hai ambapo Msemaji wa Wizara hiyo amesema lengo la kufanya hivyo ni kwasababu picha za viumbe hai zinapingana...
  2. A

    Uandishi wa kweli wa Habari umekufa Tanzania (True Journalism has died in Tanzania)

    Siku za karibuni tunazidi kuona upotovu wa ukweli kwenye Vyombo vya Habari unaozidi kukithiri nchini. Hii inatokana na Waandishi wa Habari za kiupelelezi kuangalia maslahi yao binafsi kwa kupokea hongo, na kuishia kuminya ukweli wa habari zinazotakiwa kutolewa. Sijui niseme Waandishi wa Habari...
  3. M

    Nape hivi wakati unakula njama kuminya Uhuru wa Habari nchini ulidhani nchi ni shamba la ukoo?

    Kama kuna watu wameshiriki kikamilifu kuminya uhuru wa habari nchini ni Nape Nnauye. Na Watanzania hawasahau, wametunza kumbukumbu na ndiyo maana wamemfuta katika watu wanaowaona ni viongozi 1. Nape alishiriki kikamilifu katika kufuta bunge live Leo hii Watanzania kwa kiasi kikubwa wameachana...
  4. mwanamwana

    Rais Samia: Hakuna Uhuru wa Habari usio mipaka yake

    Rais Samia ameyasema hayo akiwaapisha Mawaziri, amesema kuwa Wizara ya Habari ni muhimu sana katika utekelezaji wa ile falsafa yetu ya R4, uhuru wa habari lazima uendelee kusimamiwa kikamilifu. Hakuna uhuru wa habari usio mipaka yake "Uhuru wa Habari with mipaka ya uhuru huo". Amemtaka Waziri...
  5. Kaka yake shetani

    Ukweli usemwe Waandishi wa Habari wa Tanzania wamekosa ubunifu

    Yani wengi wao wanaenda na matukuo huwezi kujua unique waandishi professional. Mfano hivi vi online tv ndio takataka kabisa yaani kama wanakusanyana mtu mmoja akiojiwa vi-mic vimejazana utadhani wapo sokoni. Sijaona waandishi ambao wamejitenga na taaluma zao yani siasa yumo, Ngorongoro yumo...
  6. B

    Jaji Warioba: Viongozi na wanahabari acheni uchawa mnaumiza wananchi

    Akizungumza mbele ya Media Council of Tanzania, waziri mkuu mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba Ninatazama bunge la Dodoma, imekuwa fasheni kila mbunge kuanza mchango wake wa hoja kwa kutaja na kumsifia rais. Vyombo vya habari kwa nyakati ya sasa hivi badala ya kutoa habari vimegeuka kuwa...
  7. Full charge

    Media za bongo hovyo kabisa yaani zinashirikiana na wanasiasa kutuharibia nchi na kutupumbaza

    Clouds imeomba radhi kwa chapisho ambalo ilichapisha kuhusu rais ambapo kimsingi ni kweli. Vyombo vya Tanzania vimejaa unafiki mtupu wala havina msada wakufichuacmaovu zaidi ya kujikomba na kulamba miguu ya mabwanyenye. Watanzania ni muda sasa wakuvikataa vyombo vyetu vya habari ili kama...
  8. Pascal Mayalla

    Live on TBC Mizani: Deodatus Balile, Salome Kitomari na Mhadhiri Dr. Mkoko wakichambua Media ya Tanzania

    Watch live, kipindi cha Mizani on TBC M/Kiti wa TEF - Deodatus Bslile, M/Kiti MISA Tan - Salome Kitomari, na Mhadhiri SJMC - Dr. Mkoko wakichambua Media ya Tanzania. https://www.youtube.com/live/tmV6-5pXEQw?si=DxANnu0qNajL6iLf Karibu. Paskali
  9. Erythrocyte

    Tido Mhando: Awamu ya Hayati Magufuli imechangia 'Comedy Journalism'

    Hii ni miongoni mwa Kauli alizotoa Mwenyekiti wa Kamati ya kuchunguza Dhiki au Matatizo ya uchumi yanavyovikabili vyombo vya habari nchini Tanzania , Tido Muhando. Mhando ameyasema hayo alipotoa hotuba yake kwenye kongamano la Maendeleo ya sekta ya habari linaloendelea Dar es Salaam Ni nini...
  10. Analogia Malenga

    THRDC yalaani ukamatwaji wa waandishi wa Habari Kanda ya Ziwa

    TAMKO KULAANI KUKAMATWA KWA WAANDISHI WA HABARI KANDA YA ZIWA Dar es Salaam, Tanzania - Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) unalaani vikali vitendo vya kukamatwa kwa waandishi wa habari mbalimbali nchini, hasa siku za hivi karibuni. Tukio la hivi punde ni kukamatwa kwa...
  11. Roving Journalist

    Rais Samia akishiriki Kongamano la Maendeleo ya Sekta ya Habari, Juni 18, 2024

    Rais Samia Hassan Suluhu ndiye mgeni rasmi wa kikao kazi cha Maafisa Habari wa Serikali kinachofanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City, leo Jumanne Juni 18, 2024. https://www.youtube.com/watch?v=vobBz6hXoWo SUNGURA: KATI YA WANAHABARI 20,000 NCHINI, NI 4,000 TU NDIO WANA MIKATABA Ernest Sungura...
  12. Roving Journalist

    Vyombo vya Habari ni kitu Muhimu na kisichoepukika ili kuwa na Uchaguzi huru na wa Haki

    Zipo seti kuu mbili za dhima za Vyombo vya Habari nyakati za uchaguzi, ya kwanza inatokana na msimamo wa Kitaaluma ikiunganishwa na Wajibu wao kwa jamii, ya pili ni wajibu wa Kisheria wa Vyombo vya Habari. Andiko la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kuhusu Vyombo vya Habari na Uchaguzi Mkuu...
  13. I

    Wanahabari wapigwa msasa namna wanavyoweza kutumia mitandao kuchochea ulipaji kodi

    Mamlaka ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesewahasa waandishi wa habari za Mtandaoni (digital online) kuhamasisha wananchi kujenga utamaduni wa kudai risiti pale wanapofanya manunuzi ili kusaidia Serikali isikose mapato. 𝖯𝗂𝖼𝗁𝖺𝗇𝗂 ; Hudson Kamoga Rai hiyo ameitoa leo Jijini Dar es salaam...
  14. Calvin Mmari

    SoC03 Natamani viongozi wote wangekuwa na mimi utotoni

    Usichomoe! "Nimekwambia usichomoe kabla haijafika mwisho, aya irudishe alafu upunguze sauti kidogo saivi ni usiku tusisumbue majirani" Muda wote huo baba kwani huchoki? "Hapana hadi ifike mwisho ndo nitakuruhusu uichomoe" Hayo...
  15. Mfalme wa Genge

    Serikali imechelewa sana kufungia gazeti la Raia Mwema

    Mara kadhaa gazeti la Raia Mwema limekuwa likiandika taarifa za kiushabiki na kiuhanaharakati badala ya kusimamia misingi na weledi wa uandishi wa habari. Nimekuwa najiuliza kama gazeti hili lina mhariri au mhariri mwenyewe ndio mwanaharakati au haijui kazi yake vizuri. Nitoe tu heko kwa...
  16. Khadija Mtalame

    CCM yasimamisha uchapishaji wa gazeti la Uhuru kwa siku 7 na kuwasimamisha Watendaji Wakuu watatu

    DANIEL CHONGOLO AMBAE NI KATIBU MKUU CCM TAIFA AMELIFUNGIA SIKU SABA GAZETI LA UHURU KWA KUCHAPISHA HABARI ISEMAYO KUWA RAIS SAMIA HASSANI SULUHU HANA MPANGO WA KUGOMBEA 2025. GAZETI LA UHURU LIMEFUNGUWA SIKU SABA Uhuru wa vyombo vya habari saizi uko huru. Pia soma Gazeti la Uhuru: Rais...
  17. Roving Journalist

    Hotuba ya Taasisi za Kihabari katika siku ya uhuru wa vyombo vya habari duniani (WPFD) iliyoadhimishwa kitaifa mei 3, 2021 Jijini Arusha, Tanzania

    HOTUBA YA TAASISI ZA KIHABARI KATIKA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI (WPFD) ILIYOADHIMISHWA KITAIFA MEI 3, 2021 JIJINI ARUSHA, TANZANIA Mhe. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Innocent Bashungwa; Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Iddi Hassan Kimata; Naibu Waziri wa...
  18. Roving Journalist

    Gerson Msigwa: Rais ameagiza kufunguliwa kwa Online TV tu na sio Vyombo vingine vya Habari

    UFAFANUZI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameelekeza Televisheni za Mtandaoni (Online TV) tu ndio zifunguliwe na SIO vyombo vya habari vingine yakiwemo magazeti vilivyofungiwa kwa mujibu wa Sheria. Gerson Msigwa Msemaji Mkuu wa Serikali
  19. snow snow

    Tume ya Mawasiliano Uganda inataka Google kufunga vituo kadhaa vya YouTube

    Tume inayosimamia mawasiliano nchini Uganda (UCC) imeandika barua kwa kampuni ya Marekani ya Google, ikiitaka kampuni hiyo ifunge stesheni kadhaa za televisheni zinazopeperusha matangazo yake kupitia You tube. Miongoni mwa stesheni hizo ni Ghetto TV, inayomilikiwa na chama cha National Unity...
Back
Top Bottom