Nimekusikia katika hotuba Yako unasema kuwa hautafanya maridhiano na mtu mmoja na kwamba utafanya maridhiano na jamii, asasi za kiraia, jamii za kimataifa n.k
Sasa nakuuliza tu Kuna ugomvi gani Kati ya jamii na CCM?
UGOMVI WA NYAMA YA KENGE WASABABISHA MAUAJI MASASI MTWARA
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara limefanikiwa kuzuiya na kutanzua uhalifu kupitia operesheni na misako iliyoendeshwa kati ya tarehe 1 Desemba 2024 hadi 31 Desemba 2024. Katika operesheni hiyo, walikamata wahalifu wakiwemo watuhumiwa wa...
Tukio la kusikitisha lililotokea Desemba 25 mwaka huu siku ya sherehe za Krismasi, linamuhusisha mwanasoka mdogo mwenye umri wa miaka 14, Geral Froste kupigwa risasi na kufariki.
Imeripotiwa kwamba, risasi iliyokatisha ndoto za Geral Froste, ambaye alikuwa golikipa wa timu ya Montevideo City...
https://youtu.be/yb-hC6suofc?si=kI9uE3IMw8NYkp_c
Huyu wana mchekea wangemchukulia sheria.
Kuwa albino isiwe sababu ya yeye kutukana watu kwa kivuli cha ulemavu yeye sio albino wa kwaza
Pia Soma: Haji Manara ni nani hapa Tanzania hadi kuwadhalilisha Askari Magereza na wafungwa bila kuchukuliwa...
Wakuu Habari zenu.
Kuna jirani yangu huu mwaka wa 12 haonekani na namba yake ikawa haipatikani mpaka Sasa ukipiga amepewa mtu mwingine kabisa. Sijui nini kimemkuta ila Kwa asilimia kubwa atakuwa amefariki.
Kipindi nahamia kwangu, alikuwa hajaanza ujenzi na baada ya mda akaanza ujenzi wa...
Kuna msemo maarufu hasa huku mitaani kwetu watoto wakike wakiwa wanapigana au wanagombana na watoto wa kiume, utaskia wazazi wao hasa wa kike.
"Usipigane nae, huyo ni mwanamke"
Kwahy kama akiwa ni mwanamke hafai kupigana!?.
Binafsi naona kauli Bora ni kuwaambia "acheni kupigana, ugomvi sio...
Kumbe ni kweli umekuwapo mvutano mkubwa kati ya Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe na Makamu wake Tundu Lissu.
Lakini mvutano huo sio ugomvi kama mnavyo aminishwa na wapiga propaganda wa CCM bali ni kuwa hawajakubaliana kitu kimoja na ni kwa manufaa ya chama.
Habari kutoka chanzo cha uhakika...
Habarini,
Wahenga mtakumbuka Reginald Mengi na Rostam aziz waligombana hadi kufikia hatua ya kuitana mafisadi papa kwenye vyombo vya habari
Kwenye msiba wa Reginald Mengi nafikiri Rostam Aziz hakwenda
Kilichonishangaza zaidi leo nimeona interview ya Rostam Aziz YouTube kwenye Millard ayo...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa (NEC), Itikadi Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla amesema siasa sio ugomvi wala vita, hivyo amepongeza kuona kiongozi wa chama cha Tanzania Labour Party (TLP) akiwatambulisha wagombea wa CCM.
Makalla amesema hayo leo Novemba 24,2024...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amejibu maswali kuhusu madai ya mgawanyiko na mnyukano ndani ya chama hicho, akisisitiza kuwa migogoro ya kisiasa ni jambo la kawaida katika vyama vyenye nguvu. Akizungumza na waandishi wa habari kuhusu hali ya kisiasa...
Jeshi la polisi mkoani Kilimanjaro linamshikilia Deogratius Evarist Mbuya(40) mkazi wa Legho Kilema wilaya ya Moshi kwa tuhuma za kumuua Baba mkwe wake, Tibrus Camil Mneney(72).
Mbali na mauaji hayo,mtuhumiwa pia anadaiwa kumjeruhi mama mkwe wake, Beritha Tibrus Mneney (58)ambaye amelazwa...
Mwanamke aitwaye Nancy Simon, Balozi wa mtaa wa Olekeriani, kata ya Olasiti jijini Arusha, ambaye alikatwa mkono akijaribu kumuokoa mwanamke aliyekuwa akishambuliwa na mume wake, ameeleza kuwa uchunguzi wa kesi yake umegonga mwamba. Askari mpelelezi wa tukio hilo amesema kuwa kesi hiyo haiwezi...
Kwa Wanawake tu. Ile baada ya ugomvi husband wako kanuna na kapanda kitandani mapema tu Sasa umeivisha chakula hebu mkaribishe chakula bwana husband?
Acha tuone Wife material hapa 😁
Leo tu nimeshuhudia ugomvi usiolazima zaidi ya mara tano. Hapa Jamaa ni wakali, hawataki suluhu nq hawaelewi.
Bajaji, bodaboda, daladala na wenye magari madogomadogo ya kijapani wanaongoza.
Hapa jamaa kaguswa kidogo tu kifaa chenye thamani ya sh 3000, anapewa 4,000 hataki anataka ngumi tu...
Zamani nilikuwa naona watu wakigombana halafu mmojawapo akimtukana mama wa mwenzake ugomvi unakuwa mkubwa zaidi kama njiti ya kiberiti imetupiwa kwenye petrol,
Yani hata kama ugomvi ulikuwa unaelekea kutulia hapo utaanza upya na kuwa na vurugu kubwa zaidi, aliyetukanwa mara nyingi atakuwa...
Ni maarufu Sana huko TikTok na YouTube, Yuko na mwenzie mwingine aisee wanachonganisha mahusiano ya watu alafu wakiona msala umezidi Wanasepa hii ni sawa kweli??
Unakuta wanajinadi kabisa Leo tunataka kuharibu mahusiano, mm binafsi nimeshindwa kuwaelewa
Ni ipi nafasi ya mitandao ya kijamii kwenye mahusiano, uchumba, na ndoa hata paibuke ugomvi, kutoelewana, kutengana, au vurugu baina ya wapenzi au wanandoa kwa sababu tu ya kuposti picha, ku-view status, au ku-unfollow?
Je, migogoro hii ni matokeo ya utoto, kutokuelewa umuhimu, na matumizi...
Nikweli anaitwa Mariam "nime save kwenye ukurasa wa majina ya simu yangu", lakini kiukweli simjui huyu Mariam.
Ipo hivi......
Jana nimetoka kupombeka, mida ya saa tano usiku nimekaa na mamaenu "wengine bibi yenu" Mariam akapiga sim, nikweli ninayo namba yake lakini simjui na sina ukaribu na...
Jaji Frank Mahimbali wa Mahakama Kuu kanda ya Sumbawanga, ametumia msemo wa sasa wa mashabiki wa timu ya Simba wa ‘Ubaya Ubwela’ kufananisha sakata la watoto wawili wa familia moja wanaogombea jina la Kura.
Jaji alisema usemi huo unaomaanisha ‘ubaya umerudi tena’, kwa mtazamo wa kwanza, mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.