uchumi tanzania

Uchumi Supermarkets, often referred to simply as Uchumi, is a Kenyan supermarket chain. The word uchumi means "economy" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. GoldDhahabu

    Viwanda ndiyo suluhisho la ukosefu wa ajira?

    Japo inasemekana hali ya usalama siyo nzuri sana Afrika Kusini, bado watu wanamiminika huko kila siku iitwayo leo! Walipokamatwa Wasomalia waliokuwa wakipita Tanzania kinyemela, walisema wanaenda Afrika Kusini! Hata Waethiiopia nao madai yao ni yayo hayo! Ukiwauliza Watanzania wengi nchi...
  2. Yoda

    Hukajawahi kuwa na vita vya uchumi Tanzania, Historia iwekwe sawa

    Kuna watu wengi waliwahi kuaminishwa Tanzania iko au imewahi kuwa katika vita vya uchumi au inafanyiwa figisu za uchumi na majirani zake, mataifa ya nje na kampuni za kimataifa. Ukweli ni kwamba hatujawahi kuingia katika vita vya uchumi nchi hii. Mabishano na kutofautiana katika sera za uchumi...
  3. ngara23

    Kenya Huwa wanatuzidi vipi kwenye uchumi Tanzania?

    Me sio mtaalam wa masuala ya uchumi. Nimetembea baadhi ya maeneo Kenya kwenye harakati za kuusaka mkate maeneo kama Kisii, Migori Mombasa na Nairobi na maeneo mengine kadhaa Lakini nmegundua Kenya Kuna taabu sana, yaani maisha ni magumu, Wakenya wananuka shida Miundo mbinu mibovu, Tanzania...
  4. Chief Godlove

    Pre GE2025 CCM itabaki milele madarakani sababu inaongoza masikini

    Wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema, CCM ITABAKI MILELE madarakani sababu ni moja tu wanaowaongoza ni wananchi masikini sana. Huwa nashangaa mfano mbunge anakuja watu wanamchekeachekea tu yaani ile ya kujipendekeza kwa tajiri nafikiri mmenipata. Kuna siku kamapeni ilifanyika mkoa fulani...
  5. J

    Kila mwaka 70% ya Bajeti ya nchi inaelekezwa kwenye ununuzi, Je, thamani yake inamfikia mwananchi?

    Ununuzi wa umma unachukua sehemu kubwa ya matumizi ya Serikali barani Afrika, ikihusisha zaidi ya asilimia 70 ya bajeti ya nchi. Hii inatoa fursa kubwa lakini pia inakabiliwa na changamoto nyingi, zikiwemo dosari za vitendo vya rushwa na ubadhirifu wa fedha za umma. Taarifa za Wakaguzi Wakuu wa...
  6. R

    Watanzania mnaposhangilia nchi kulipishwa faini za mabilioni msidhani mnamkomoa Hayati Magufuli. Yeye alishamaliza mwendo wake

    1. Tanzania na hasa upande wa serikali hakuna wanasheria wabobezi wa mikataba ya kimataifa 2. Kesi za Tanzania zilizofunguliwa kwenye mahakama za kimataifa zinasimamiwa na watumishi wa umma wanaona posho kama kipaombele na siyo wanasheria wabobezi. 3. Kesi hizi zinasimamiwa kwa siri kubwa huku...
  7. ChoiceVariable

    Tanzania kuilipa Indiana Resources Ltd Bilioni 237 baada ya kuvunja mkataba mwaka 2018. Yatanguliza Bilioni 92

    My Take: Kama Nchi ingesubiria na kutangaza kwamba haitaongeza mda wa leseni by 2020 basi mradi hodhi ungerejea Serikalini bila kulipa fidia yeyote. Akili ni nywele kama huna wenya nazo wataendelea kutunyoa Kwa msumeno.Pia soma Wanasheria wa Serikali Wakwama Mahakama ya Kimataifa. Bilioni 300...
  8. J

    Nchi hufilisika pale inapokuwa imeweka rehani rasilimali zake zote na siyo inapofeli kulipa Wakandarasi

    Nchi inapoweka Rehani Rasilimali zake zote Ndio tunaiita Mufilisi kwa sababu inakuwa haikopesheki tena. Kuchelewa kulipa makandarasi na Wazabuni wengine hilo ni jambo la kawaida sana Ndio sababu umewekwa utaratibu wa kuwalipa Riba ya kuchelewesha malipo. Ni sawa tu hii Mikopo yetu ya Eniembii...
  9. sifi leo

    Rais Samia mbona kwenye miradi hii chanzo cha fedha ni wahisani pekee, Kodi zetu zinafanyia nini?

    Mh. Rais hivi sasa ni saa kumi na mbili kamili nina Imani umeisha amka na umeisha swali Dua ya Asubuh! Mh. Rais shikamoo! Mh. Rais nauliza swali dogo na mimi ni Mtanzania na Mkurugenzi wa Taasisi kwa miaka 7 nchini Tanzania na ni mlipa Kodi mzuri kwa mujibu wa sheria zetu na ni MUUMINI wa...
  10. Analogia Malenga

    Kwanini TRA wasigawe EFDs badala ya kuziuza?

    VAT ni kifupi cha Value Added Tax. Ni kodi inayotozwa kwenye bidhaa, huduma, na mali isiyohamishika ya shughuli yoyote ya kiuchumi wakati thamani inapoongezwa katika kila hatua ya uzalishaji na hatua ya mwisho ya mauzo. Viwango ni 18% kwa usambazaji wa kiwango cha kawaida, na 0% kwa mauzo ya...
  11. Dr. Mwigulu Nchemba

    Kodi zetu ndio Maendeleo ya Taifa letu

    Kodi zetu ndio Maendeleo ya Taifa letu. Mwaka 2021/22- Trillions 22.2. Mwaka 2022/23- Trillions 24.1. Mwaka 2023/24- Trillions 27.6 ==== Pia soma: Mgogoro wa Kariakoo vs TRA; Tatizo Siyo Kodi Bali Matumizi Mabaya ya Kodi Chini ya 20% Ya watanzania ndio walipa Kodi
  12. Manyanza

    Maoni ya Mtanzania anayeishi UK kuhusu kupanda kwa kodi za majengo

    Haya ni maoni ya Mtanzania ambaye kwa akili yangu nimemuona kama hajielewi na hajui jinsi vile hizi kodi na tozo zinavyotafunwa Kifisadi hapa Tanzania 👇👇👇👇 Hii kodi ni ndogo sana...kwa mwezi... Nyumba ya kawaida ilitakiwa ilipie kodi ya jengo walau 5000/ kwa mwezi Waafrika tunadhalilishwa kwa...
  13. Mtoto halali na hela

    Utekelezaji wa bajeti mpya kuanza leo

    Heri ya mwaka mpya wa kiserikali, utekelezaji wa bajeti mpya umeanza. Badiliko la kwanza kwenye kodi ya pango toka 1,500 hadi 2,000 tuendelee kujuzana bidhaa mbalimbali na bei zake mpya. Umeme wa 10k makato zaidi ya 3,000, acha tunyooshwe tu Ref: EC1022156... Cost 6,557.38 VAT 18% 1,180.33...
  14. Kidagaa kimemwozea

    Chini ya 20% Ya watanzania ndio walipa Kodi

    • Hapa Ni Ile Kodi ya moja kwa moja •Kwa takwimu za mwaka Jana Ni 16% ya Nguvu kazi ambayo ndiyo inalipa Kodi Yani Kati ya Nguvu kazi ya Tanzania 33,000,000 Ni watu chini ya milioni nne Pelee ndio wanalipa Kodi Kama ndivyo nilazima Hawa wachache wanaolipa waione mzigo kwa manufaa ya watu...
  15. Manyanza

    Aliyoyaandika Boniface Jacob: Siri na sababu ya mgomo kuendelea Kariakoo

    1. Malumbano kati ya Waziri wa fedha na Kamishina wa Mapato TRA Msimamo wa Kamishina kuhusu kero za wafanyabiashara ni kutekeleza sheria wala siyo maagizo ya wanasiasa wa ngazi yoyote. Kamishina TRA amewaambia Wafanyabiashara mara kadhaa mkitaka tuache kufanya kazi ambazo nyie...
  16. C

    Serikali yaandaa Mkutano wa Siku 3 kwa Wadau kutoa Maoni kuhusu Muswada wa Sheria ya Fedha wa Mwaka 2024

    Wakuu, tukashiriki kutoa maoni, majirani wameikataa yao na mpaka sasa wapo kwenye maandamano. Tuchukue somo kwao, kama hatujailewa basi na ijulikane. Nimeambatisha Muswado huo hapo chini kwaajili ya mapitio. TAARIFA KWA UMMA Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti imepanga kupokea maoni ya...
  17. J

    SoC04 Mambo muhimu ya kufuata ili kuboresha sekta za elimu, kilimo na uchumi Tanzania

    ELIMU. 1. KUONGEZA UWEKEZAJI: Serikali na wadau wa elimu wanaweza kuongeza bajeti ya elimu ili kuboresha miundombinu,vifaa vya kufundishia, na maslahi ya walimu. 2. MAFUNZO YA WALIMU: Kuwekeza katika mafunzo ya maendeleo ya walimu ili waweze kutoa elimu bora. 3. MITAALA: Kupitia upya na...
  18. Mtuflani Official

    Je, Data za Hotuba za Viongozi huwa zinapikwa?

    Mhe. Hussein Bashe naomba ufafanuzi kidogo kama hautojali. Kwenye hotuba yako ya bajeti umesema kilimo kilizalisha ajira 475,025 mwaka 2023/24. 1. Unaweza kutusaidia ufafanuzi namna hizi ajira zilivyozalishwa na njia uliyotumia kufahamu kwamba kweli idadi hii ilizalishwa? 2. Kama sekta ya...
  19. K

    Thamani ya shilingi ya Tanzania inazidi kuporomoka. Tunaelekea wapi?

    Kila kukicha shillingi ya Tanzania inazidi kuporomoka huku tuna Waziri wa Fedha mahiri, tuna Gavana wa Benki mahiri na wachumi mahiri. Leo fedha ya Tanzania inabadilishwa kwa Tshs. 2,675 kwa dollar moja kutoka Tshs.2,300 miezi michache iliyopita. Siku za karibuni fedha ya Tanzani ilikuwa...
Back
Top Bottom