Elon Musk ni tajiri namba one duniani na utajiri wake ndio kwanza unaanza kustawi. Sasa juzi ameonekana akimsapoti Trump kwenye kampeni zake huku akiruka na kushangilia hadi nguo zikamvuka na kuwa kivutio kikubwa kwenye kampeni hizo.
Najiuliza hivi Mo Dewji angefanya hivyo kwa CHADEMA wakati wa...
Harris campaign wants a second debate
Harris’s campaign has almost immediately called for a second debate against Trump.
“Under the bright lights, the American people got to see the choice they will face this fall at the ballot box: between moving forward with Kamala Harris, or going backwards...
Wakuu habarini za muda huu,
Kwenye raundi zangu mbili tatu huko mtandaoni, nilikutana na article kutoka CBS News ambayo inaelezea wakina nani walikuwa na marais wabovu zaidi kuwahi kutokea Marekani, tangu nchi hiyo kupata uhuru mwaka 1776.
Kulingana na CBS News, Rais mbovu na dhaifu kuwahi...
Habari zenu wanajamvi. Mko vizuri?
Kama unafuatilia jukwaa hili basi bila shaka utakuwa unafahamu mengi kuhusu mbio za uchaguzi zinazoendelea Marekani.
Ni Trump Vs Kamala. Hii hata watoto wa 2000 watakuwa wanafahamu.
Wengi wasichofahamu ni kuwa karibu kila opinion poll Marekani inatabiri kuwa...
Updated - Kura zaidi ya milioni 4 na laki 3 zimepigwa
TRUMP ANAONGOZA KWA ASILIMIA 74
Pia soma: LIVE - Yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?
US President Joe Biden has told Americans in a televised address that he decided to end his faltering re-election campaign in a bid to save US democracy.
Mr Biden, 81, said he felt his record as president "merited a second term" but that "nothing can come in the way of saving our democracy"...
Sio Biden wala Trump anafaa kuwa Rais, wote ni wahuni tu.
Yaani mnataka kunambia Marekani yenye watu karibia milioni 400 wamekosa wagombea wenye akili timamu na wanaofaa hadi kugeuka kuwa "ving'ang'a" wa hivi vibabu viwili?
Yaani nchi yote wamekosekana watu wenye utimamu hadi wapewe hao vibabu...
Joe Bide mwenye umri wa miaka 81, alijikanyaga wakati wa mahojiano jana 4/7/2024 Alhamisi na WURD ya Philadelphia, akionekana kujichanganya na Makamu wake Kamala Harris.
'.... hata hivyo, ninajivunia kuwa, kama nilivyosema, makamu wa kwanza wa rais, mwanamke wa kwanza mweusi ... kuhudumu na...
Wanabodi,
Leo kutakuwa na mdahalo wa kwanza kuelekea uchaguzi mkuu wa Marekani, November 2024.
Mdahalo huu utawahusisha mgombea wa urais kwa ticket ya Democrat, rais Joe Biden na mpinzani wake Donald Trump kutokea chama cha Republican
Mdahalo huu unatabiliwa kuwa wa moto kutokana na mambo...
Niaje waungwana,
Kusema ukweli kwa hali aliyofikia raisi wa Marekani mhe. Joe Biden, ni vizuri akashauriwa au akajishauri mwenyewe kuacha kugombea uraisi wa Marekani ili apate muda wa kwenda kupumzika nyumbani kwake na wajukuu zake. Ikiwa ataruhusiwa kuendelea kugombea na pengine akashinda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.