Nimefuatilia kidogo kilichotokea Afrika Kusini nikakumbuka hoja ya Baba wa Taifa kuwa mpinzani wa kweli wa kisiasa Tanzania, atatoka ndani ya CCM.
Mwaka 1995 Lyatonga Mrema (RIP) alipojitoa CCM alitoa upinzani mkubwa sana dhidi ya CCM. Pia Lowasa mwaka 2015 alipunguza ushindi wa CCM alipogombea...
Tume huru ya uchaguzi ya Afrika kusini (IEC) imetangaza matokeo ya mwisho ya NPE 2024 katika Kituo cha Kitaifa cha Uendeshaji wa Matokeo huko Midrand, Kura kutoka majimbo 19 na mikoa 9 zimekusanywa katika jumla ya vyama 18 vya siasa vilivyo shiriki uchaguzi huu.
Matokeo hayo yanaonyesha kuwa...
Nadhani Tanzania bado ni darasa na shule kuu ya kipekee mno ya demokrasia barani Africa. Ni nchi pekee ya wananchi wasiozingatia ukabila, ukanda wala rangi ya mtu kwenye uchaguzi.
Shukrani za kipekee ni kwa Baba wa Taifa Mw.J.K Nyerere kutujengea kama Taifa, utamaduni, mila na desturi hii ya...
Kilichotokea Kenya kikaua KANU kinakwenda kutokea Afrika Kusini. ANC imemeguka makundi kama ambavyo KANU ilimeguka kisha ikafa.
Kifo cha KANU Kenya kilizalisha mapinduzi makubwa kisiasa na kiuchumi. Kupitia kifo cha KANU;
1. Walipata katiba nzuri
2. Wakapata tume huru ya uchaguzi
3. Wakapata...
Chama cha African National Congress (ANC) kimepoteza wingi wake wa wabunge katika matokeo ya kihistoria ya uchaguzi ambayo yanaiweka Afrika Kusini kwenye mkondo mpya wa kisiasa kwa mara ya kwanza tangu kumalizika kwa utawala wa kibaguzi.
Mamlaka iliyodhoofika sana kwa chama cha urithi cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.