WAZIRI MAVUNDE AZINDUA MAGARI 25 YA TUME YA MADINI
Ikiwa ni mkakati wa kuimarisha usimamizi katika Sekta ya Madini hasa kwenye ukusanyaji wa maduhuli, Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde amezindua magari mapya 25 kwa ajili ya kusambazwa kwenye Ofisi za Maafisa Madini Wakazi wa Mikoa sambamba...
Vyama vya Wachimbaji Madini (FEMATA) vitafanya uchaguzi wa viongozi wake lini? Ikiwa kuna mtu mwenye katiba ya FEMATA, tafadhali igawanye ili watu wengine waweze kupata taarifa muhimu kuhusu taratibu na kanuni za uchaguzi.
Ni faida zipi za FEMATA kwa wachimbaji wadogo? Chama hiki kinawasaidiaje...
Ikiwa ni mkakati wa kujenga uelewa kwa wadau wa madini kuhusu utekelezaji wa kifungu cha 59 cha Sheria ya Madini Sura 123, leo Oktoba 04, 2024 Wizara ya Madini imeratibu mkutano wa wachimbaji na wafanyabiashara wa madini uliofanyika jijini Dodoma ambapo elimu kuhusu utekelezaji wa sheria hiyo...
Wizara ya Madini kupitia Tume ya Madini kwa kushirikiana na Kampuni ya Kidee Mining Ltd wanaendelea kutoa elimu kwa wachimbaji wadogo na wa kati wa madini wanaotembelea Banda la Tume ya Madini katika Maonesho ya Nane Nane yanayoendelea kwenye viwanja vya Nzuguni jijini Dodoma, namna ya kutumia...
Hizi leseni mbona zinatolewa kwa upendeleo na maombi yetu yanaambiwa hayasikilizwi kwa kuwa hakuna board, wote wamestaafu huku wachimbaji wengine wakipewa leseni
Waziri Mavunde hebu tusaidie na sie tuweze pata leseni tuendele na kazi sababu ukisema tusubiri board ipitishe inakuaje wengine...
Tume ya Madini, leo Agosti 04, 2024 imeendelea kutoa elimu kwa wadau wa madini katika Maonesho ya Nane Nane yanayofanyika Kitaifa katika Viwanja vya Nzuguni jijini Dodoma
Elimu imetolewa katika maeneo ya usimamizi/udhibiti wa Sekta ya Madini na ukusanyaji wa mapato ya Serikali yatokanayo na...
Serikali kupitia Wizara ya Madini, Tume ya Madini imepata mwarobaini wa kupunguza majanga kwenye migodi kwa kuwaelimisha wachimbaji wadogo kutumia zege kwenye kingo za miamba badala ya magogo.
Akizungumza leo Julai 26, 2024 katika mafunzo ya kuwajengea uwezo watumishi wa Tume ya Madini kutoka...
Tume ya Madini inafaa kueleza vizuri sababu za kutofautisha katika utoaji wa leseni kati ya PL 6973/2011 NA RL 0009/2014. Hili ni wajibu muhimu wao kwa ajili ya uwazi na uwajibikaji katika mchakato huo. Baadhi ya mambo yanayostahili kuzingatiwa ni:
1. Kueleza kwa undani sababu za kuchelewa...
Tume ya Madini inaendelea kutoa Elimu kwa Wadau wa madini na Wananchi wote kutoka katika Mkoa wa Dodoma kwenye Wiki ya Maonesho ya Madini inayoambatana na Kongamano la Wachimbaji wa Madini yanayoendelea katika Viwanja vya Jakaya Kikwete, leo tarehe 22 Juni 2024, Dodoma.
Elimu inatolewa katika...
Tuhuma za RMO Kahama
1- Anamtetea shemeji yake, ambaye anatuhumiwa kupunguza purity kwenye soko kuu la Dhahabu Kahama, tuhuma hizo kuhusu shemeji wa Kumburu zimefikishwa hadi ofisi ya DSO KHM & Task Force, lakini amekuwa akitengeneza mazingira ya kumlinda, taarifa zinaonyesha anafaidika na wizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.