Baada ya CP Suzan Kaganda kuteuliwa kuwa balozi Sasa naona nafasi yake Kama kamishna wa fedha na mipango inaenda kuchukuliwa na mjumbe wa kamati ya fedha ya shirikisho la Polisi wanawake duniani-IAWP SACP Dkt.Deborah Magiligimba. Baada ya CP , Je ndio atakuwa IGP ajaye?
Salaam Wakuu,
Nasikitikia Nchi yangu Tanzania. Nadhani na hii ndo sabababu hatuendelei.
Suzani Kaganda aliteuliwa kuwa Commissioner for Administration and Human Resources of Police badala ya kuwa IGP. Ameenda amefanya kazi nzuri, amefunga Mirija yote. Polisi wastaafu walikuwa wanasikilizwa kwa...
Ikiwa ni mwendelezo wa mafunzo kwa askari wanawake na wasimamizi wa sheria duniani yanayoendelea Chicago nchini Marekani, Kamishna wa Polisi Utawala na Menejimenti ya Rasilimali Watu Tanzania, Suzan Kaganda ametoa mada kuhusu masuala ya polisi jamii na namna ya kushirikisha wananchi, jana...
Kamishna wa Utawala na Rasilimali Watu Jeshi la Polisi, CP, Suzan Kaganda amewataka Makamanda wa Polisi wa Usalama Barabarani wa Wilaya nchini (DTOs) kusimamia majukumu yao ipasavyo wakati wa kujaza fomu ya taarifa ya ajali za barabarani.
CP. Kaganda ametoa maelekezo hayo Jijini Arusha Juni 21...
Kamishna wa Utawala na Menejimenti ya Rasilimali watu CP Suzan Kaganda amewataka Watendaji wa Dawati la Jinsia na Watoto kote nchini kutoa elimu zaidi ili kumaliza vitendo vya ukatili katika Jamii huku akiwapongeza Watendaji wa dawati hilo kwa kufuatili kesi za ukali kwa karibu na wahusika...
Nimeiona Video hii ya alichokisema Afande Huyu Kp Suzan Kaganda. Ama Kwa Hakika machozii yana nirengarenga na Kila mara naitazama.
Ukweli ni Kwamba Mungu wetu wa Mbinguni Hafumbii macho uovu wowote, hata kama Taasisi / nchi Ina Mabaya mengi lakini lazima Mungu Atamwinua Mmoja Wa Kunyoosha Haki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.