spika tulia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    LGE2024 Spika Tulia Ackson ajitosa kampeni za Serikali za Mitaa

    Ama kweli kampeni zimeshika kasi. Spika wetu Dk. Tulia Ackson sasa ni mtaa kwa mtaa Mbeya mjini. Baada ya kumaliza mitaa kadhaa sasa amejikita Mtaa wa Ilindi akimpigia kampeni mgombea wa CCM Ndugu Abdul Kilasi na wajumbe wake. "Wana Ilindi twendeni na Abdul Kilasi na wajumbe wake. Huyu ni...
  2. Waufukweni

    Sakata la mfanyabiashara Deo Bonge kutekwa, Spika Tulia afunguka "Sio Msaidizi Wangu"

    Wakuu, Baada ya tukio la jaribio la kumteka mfanyabiashara Deogratius Tarimo, maarufu kama Deo Bonge, lililotokea eneo la Kiluvya hivi karibuni, picha za watuhumiwa zilisambaa na kuibua mjadala mtandaoni. Mmoja wa watuhumiwa alidaiwa kuwa msaidizi wa Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, hali...
  3. saidoo25

    Dkt. Tulia unavuna ulichopanda usiwalaumu Mawaziri

    Dk. Tulia Akson unavuna ulichopanda kutokana na udhaifu wako hadi unasababisha Mawaziri wanakudharau na wanalidharau Bunge kwa kuwa wanajua halina cha kuwafanya. Tulia ni majuzi tu ukiwa IPU umedharauliwa na wabunge wa IPU kutokana na kutokuwa na uwezo wa kujibu hoja zao badala yake ukaanza...
  4. F

    Spika Tulia amezoea kulindwa na chama tawala hajazoea kusimama kwenye hoja na haki na hilo limeonekana wazi

    Ni kazi nyepesi sana kuwa spika wa bunge la Tanzania pengine kuliko nchi nyingine za Africa. Licha ya bunge letu kutokuwa na watu wenye weledi mkubwa (critical minds), pia bunge la Tanzania huendeshwa kibabe na spika hulindwa na chama tawala. Sasa inapotokea spika wa bunge kama hilo anakuwa...
  5. Waufukweni

    Pre GE2025 Joseph Mbilinyi adai mbunge Tulia Ackson ameshindwa kuendeleza mazuri Mbeya

    Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi maarufu Mr. II, Sugu amemvaa Spika wa Bunge na Mbunge wa Mbeya Mjini, Tulia Ackson, akidai kuwa ameshindwa kuendeleza mazuri mengi ambayo aliyaanzisha kipindi cha ubunge wake. Mbilinyi alisisitiza kwamba kuna mambo mengi yaliyokuwa na...
  6. Mkalukungone mwamba

    Yaliomkuta Mpina yahamia kwa DK. Mabula, Spika Tulia amtaka Kuwasilisha Ushahidi Kuhusu Madai ya Wodi ya Kituo cha Afya Sangabuye

    Wakuu kwema! Yaliomkuta Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina hatimaye yamemkuta Dk. Angelina Mabula ametakiwa apeleke ushahidi Bungeni kuhusu Kituo cha Afya Sangabuye wodi moja wanaume, wanawake na watoto. Hii inaleta maana gani kwa Wabunge hawa waliokutana na hili jambo kutoka kwa Spika, na jinsi...
  7. C

    Kesi ya Mpina dhidi ya Bashe na Spika Tulia imeanza kusikilizwa Mahakamani leo Agost 28, 2024

    Kesi iliyofunguliwa na Mbunge Luhaga Mpina dhidi ya Waziri Bashe, Spika , Mwanasheria Mkuu wa Seriikali na wengine imeanza ksikilizwa leo Agosti, 28, 2024 katika Mahakama Kuu Dar Es Salaam. Pia soma: Luhaga Mpina amshtaki Spika Tulia na Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwa kuondolewa Bungeni...
  8. and 300

    Pre GE2025 Spika Tulia ana wakati mgumu jimboni Mbeya (M) mwakani

    Spika Vs Kanjunjumele kule Sugu kwenye kinyang'anyiro cha ubunge Jimbo la Ubunge Mbeya (M) 2025. Patawaka
  9. B

    Pre GE2025 Kinachoendelea Mbeya kamatakamata ya viongozi wa CHADEMA ni msiba kwa spika Tulia Akson na CCM

    Kuwakamata viongozi wa chama kikuu cha ushindani CHADEMA mkoani Mbeya kinaweka rehani ubunge wa Mbunge wa Mbeya ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri wa Muungano wa Tanzania na Chama chake cha Mapinduzi (CCM) Hatua hiyo inakipa umaarufu chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kiki na...
  10. S

    Spika Tulia na Bunge lake wanatosha kwa Spika kutoliongoza Bunge kutengua kanuni muda wa Bunge uongezwe, na wabunge kutoomba muongozo wa Spika?

    Katika mkutano wa Mbunge Mpina na mawakili wake, moja ya jambo lilionishangaza zaidi ni madai kuwa Spika hakuliongoza Bunge litengeu kanuni ili wapitishe azimio la kuongeza muda wa kikao cha Bunge kilichopaswa kuisha saa 1:45 usku kama kanuni/taratibu za vikao vya Bunge zinavyotaka. Yaani...
  11. C

    Dkt. Tulia Ackson akutana na Rais Putin kujadiliana namna bora ya kuimarisha amani duniani

    Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Urusi, Mhe. Vladimir Putin Jijini St. Petersburg nchini Urusi leo tarehe 12 Julai, 2024 ambapo katika mazungumzo yao wamejadili kuhusu...
  12. S

    Spika Tulia ni kweli unatoa mikopo online kupitia Foundation yako au watu wanatumia jina lako kutapeli watanzania?

    Kila nikiingia Facebook, nakutana na tangazo la Tulia Trust Foundation Mikopo online ambapo tangazo hili linatangaza kuwa Foundation hiyo ya Tulia inatoa mikono online. Sina interest ya kujaribu kuomba mikopo wowote, ila concern yangu ni ukweli wa kilichoandikwa kwani utapeli kwa kutumia...
  13. Manyanza

    Ujumbe kwa Spika Dkt. Tulia Ackson

    Madam Spika, nimekusikiliza kwa makini ukitaja vifungu vya sheria & Kanuni ambazo unasema Luhaga Mpina (Mb) amevunja! Nakushauri rudi ukavisome vizuri maana baadhi ya vifungu UMEUPOTOSHA Umma. Umevitafsiri unavyotaka wewe ili lengo lako la kumwondoa Bungeni litimie, lakini sio tafsiri halisi ya...
  14. VUTA-NKUVUTE

    Spika Tulia tuambie, ushahidi wa Mbunge Mpina umeuonaje?

    Suala la Mpina halipuuziki. Sema nasi tusikie. Mbunge Luhaga J. Mpina alidai bungeni kuwa Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amelidanganya Bunge kuhusu sakata la uingizwaji wa sukari nchini. Alidai, pamoja na mambo mangine kuwa Bashe alisema uongo zaidi ya mara kumi. Kwa mujibu wa Mpina, Waziri...
  15. C

    Makamu Mwenyekiti NCCR Mageuzi: Spika Tulia anataka kuzuia kilichoibuliwa na Mpina kisijadiliwe na bunge wala wananchi, aache mijadala ifanyike

    Katika mahojiano yake na mwandishi wa Habari Makamu Mwenyekiti NCCR Mageuzi, Joseph Selaasini amesema; "Mpina aliliona hili, sababu alikuwa akipata upinzani wakati anaongelea suala hili bungeni, sio tu kutoka kwa spika bali hata kutoka kwa wabunge wenzake. Kwa maslahi ya nchi aliona alipeleke...
  16. Wakusoma 12

    Nampongeza Spika Tulia Akson kwa msimamo wake dhid ya wabaya wa Bashe. Tuliona huko nyuma Lowassa akisungiziwa kwa maneno kama ya Mpina

    Life goes on wakuu, mwaka 2008 aliyekuwa waziri mkuu wa Tanzania Edward Lowassa aliundiwa zengwe lililopelekea kujihuzuru kwake. Alichokifanya Lowassa lilikuwa ni jambo jema lakini lililopelekea watanzania kukosa huduma ya kiongozi jasiri na shupavu. Kimsingi matatizo yote yanayotukabiri Leo...
  17. S

    Spika Tulia, ukweli wa aliyosema Mpina haubatilishwi kwa kumkasirikia kwamba amekiuka kanuni za Bunge na kudai hakuheshimu!

    Wala haihitaji akili kubwa sana kuona kwamba Spika wa Bunge Tulia na jopo zima la uongozi wa serikali wametambua kwamba Mpina amewaumbua kwa kuweka wazi uongo wanaoufanya kuwahadaa Watanzania. Na sasa wanataka kubadilisha uzito wa tuhuma za uongo wa Waziri Bashe na kuelekeza fikra kwa ukiukwaji...
  18. Carlos The Jackal

    Spika Tulia, Kanuni zako haziondoi Uhalali wa shahidi za Ushahidi wa Mpina dhidi ya uongo wa Waziri Bashe !!.

    Katika kosa kubwa ulolifanya siku ya Leo 18/6/2024, ni ku Overlook nini hasa kiini kilicholifikisha Taifa hili Mahali hapa . Umetumia muda mwingi sana Toka tarehe 14/6/2024, kutafuta ni wapi na kanuni gani Mpina kavunja !!. Kwa Namna ulivyowasilisha suala hili la MPINA, umetumia Muda mwingi...
  19. Wimbo

    Kwa suala la Mpina; Spika Tulia unastahili nafasi ya juu zaidi ya hiyo unayotumikia

    katika wasilisho lako la leo Mh. Spika ulikuwa na nafasi ya kumuadabisha Mpina moja kwa moja lakini kwa kuzingatia utawala bora bado umeruhusu kamati zipitie hoja zake, na hoja ya utovu wa nidhamu wake ili utende haki. wengine wangedhani unajivua kuonekana mbaya, lakini huo ndio uongozi wa...
  20. Suley2019

    Spika Tulia amburuza Luhaga Mpina Kamati ya Maadili

    Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson ameelekeza Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kumhoji mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kwa madai ya utovu wa nidhamu. Akitangaza uamuzi huo bungeni jijini Dodoma leo Jumanne, Juni 18, 2024 Dk Tulia amesema kuwa Mpina amedharau mamlaka ya Spika na Bunge...
Back
Top Bottom