Teknolojia inaendelea kupenya katika nyanja mbalimbali za Maisha yetu, ikiwemo Ajira. Umuhimu wa Ujuzi wa Kidigitali unaendelea kujidhihirisha katika Soko la Ajira na hata kwa wanaojiajiri.
Mfumo wetu wa Elimu unatuandaa kuendana na kasi ya Mabadiliko ya Teknolojia?
Hii nakala nime copy kutoka moja ya mitandao ya kijamii.
MWANDISHI: Iddy Makengo, 11 Sep 2017.
NINI CHA KUFANYA PALE TU UNAPOINGIA KATIKA SOKO LA AJIRA!
Miaka kama nane hivi iliyopita nilikua katika soko la ajira, ingawa sikusumbuka sana kwa maana ya kukaa muda mrefu bila ajira lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.