A single parent is a person who lives with a child or children and who does not have a spouse or live-in partner. Reasons for becoming a single parent include divorce, break-up, abandonment, death of the other parent, childbirth by a single person or single-person adoption. A single parent family is a family with children that is headed by a single parent.
Wakuu sielewi hii kitu nimemleta single maza kwangu ila mtoto wake analia Ahsubui mpaka jioni.
Ukimzuia kitu analia , mama yake hataki aguswe Ana miaka 2 sasa.
Ila akimuacha mtoto anakaa kimya yaani anamlea kimyai mayai .
Habari wapambanaji kuna single mother mmoja yupo na mtoto mdogo yupo na miaka 2 baada kuzalishwa na jamaa kakataa mtoto nikaona ngoja niishi nae
Yani najuta mtoto wake ni mtundu balaa kachelewa kutembea sasa ndo anatembea yani ni kuvunja vitu ndani mpaka sasa ashapasua majagi ya maji vikombe na...
Hii ni ujumbe wenu M'simp a.k.a second hand handler, a.k.a Step fathers, a.k.a ma'sponsors, a.k.a mubaba almaarufu Mabushoke.
Awali ya yote kwa utangulizi, niseme kwamba "a modern woman is loyal to her feelings only", yaani kwa kiswahili ni kwamba ni sawa na kusema, "Mwanamke wa kisasa...
Mwaka 2013 sitosahau huu mwaka .
Mtoto Mama mdogo alipewa Mimba na muhuni mmoja na alikuwa form four
Huyu binti alikuwa smart kuanzia nyumbani hadi shuleni.
Zilianza kusikika sauti za shangwe endapo hatokuwa Mwalimu basi atakuwa hata daktari.
Ila hauwezi kuamini alipofika mwezi wa Saba...
Ulizaliwa na mama yako akiwa hajaolewa na pengine akaja kuolewa na mwanaume mwengine tofauti na baba yako, mwanamke huyu unamsifu.
Lakini hapo hapo unawadharau single mothers kwamba hawafai.
Hii tunaiitaje ?
Pia kwa upande mwengine kuna single mothers wanatamani kuolewa lakini wao hawataki...
Siku hizi, ndoa zimekuwa kama subscription ya Netflixโukiona haikufurahishi, unabonyeza cancel fasta! ๐คทโโ๏ธ Wazazi wetu walikuwa wanaishi kwenye ndoa kwa miaka 30+ hata kama kulikuwa na matatizo, lakini kizazi cha sasa? Umetofautiana na bae mara mbili, unaita ndugu, unaandika status za toxic...
Sio msikitini au kanisani sio kwenye mitandao ya kijamii au kwenye jamii zetu mwanamke kuwa single mother inaonekana kama laana, thamani imeshuka zaidi hasa pale jamii inapotambua kuwa mwanamke yule anaishi na watoto lakini baba yao au baba zao hawajulikani au hawapo, wazazi tujitahidi sana...
Kwa kweli nimesikitika sana
Nimekutana na huyu mama akiwa na mtoto wake wa miaka sita akiwa anampeleka shule๐ญ๐ญ
Mwanaume aliyembaka alishakimbia kitambo sana
(nimetumia rape nikiwa na maana huwezi kufanya sex na binti wa miaka 14 mkiwa wote mentally fit.. Huo ni ubakaji)
Ndio hivyo sasa..๐ญ๐ญ
Mimi sio mtu ninaependa hovyo.
Ninatabia ya kuwaelewa wanawake fulani wenye nyota ya mvuto. Yaani kuna wanawake unakuta wanaume wamejipanga wote wanamfukuzia.
Sasa huyu single mama anashida kwenye mahusiano na hataki kusikia harufu ya usumbufu. Mimi nae tunalonga vzr. Nimeanza kumwambia kwa...
WanaJF
Habari zenu, heri ya Ramadan na Kwaresma, matumaini yangu wote wazima, waliyo na changamoto Mungu akawape njia.
Ni kijana barubaru wa miaka 28 mwenye nguvu na Afya.
Wakuu kama kichwa Cha habari hapo juu kinavyo jieleza, nilioa huyu single mother mwaka mmoja uliyo pita baada ya...
Today I would like to celebrate single mothers. I may not have been raised by one but the burden of single motherhood is not lost on me.
One of my ex is a single mother. She has one lovely boy! From what i see her go through, my admiration and respect for her goes higher each day.
Single...
Wakuu habari.
Huu ni muendelezo wa kile nilichowaambia kinaitwa (Blackmail)
Mtaani ninapoishi - huwa nina utamaduni wa kununua vitu vingi vinavyohusu Chakula na kuweka Ndani.
Kikawaida Mimi sio mtu wa Ku pika Sana maana familia yangu inaishi nje Watoto na Mama yao labda wakati wa likizo...
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Juliana Shonza lazima uelewe hakuna Baba asiyeweza kutunza Mtoto wake. Huyo Baba hayupo.
Kama wanawake wametelekezwa kwa Sababu zozote zile kama hizo ulizotaja ikiwemo jeuri na kiburi Acha wapambane na Hali Zao.
Sisi wanaume hatuwezi kutoa pesa na kutunza...
Bhana uku na uku uku na kule nikajuana na single mama mmoja mzuri sana sura trakon ๐ yaani yupo kamili kweli
Kijana nikatema vocals nikakaziwa nikawa na force nikimsisitizia kuwa Mimi nimemuelewa sana
Akiwa anakaza Leo jioni nikachekiwa jioni nikachekiwa sorry nimetoka kanisani "Nina shida...
Sasa mtu ukute amesoma, ila ajira hana, mume wa kumuoa hana, anafika miaka 30, window ya kupata kupata ujauzito inazidi kushuka, mnataka afanye nini?
Kuliko kukosa vyote anaamua japo apate faraja ya mtoto.
Msiwasakame sana hawa waliozaa kuanzia 30 na kuendela, wamejifanyia uokozi.
Sitetei...
Ndoa ya Aziz k na hamisa mobeto ni alama na mfano wa kuigwa kwa sababu 1. Hakuna mwanaume mwenye utimamu wa akili na mwili anaweza badili Imani yake ya dini , mahusiano yake na MUNGU kwa sababu ya mwanamke, lakini Aziz k amefanya
2. Hakuna mwanaume ambaye ana akili zake sawa anaweza chukua...
Hamisa Mobeto amewapa heshima kubwa mno single mothers wote, jana amelipiwa mahari milioni 30 na ng'ombe 30. Hii ina maana watoto wake wa nje hawajawa sababu ya kushusha thamani yake, amewazidi wengi walioolewa wakiwa sio single mothers. Hii inatoa tafsiri kwamba thamani ya mwanamke bado inabaki...
๐๐๐๐๐ ๐ญ๐ ๐๐จ๐ข๐ ๐ ๐ช๐๐ก๐๐ ๐๐ ๐ ๐ช๐๐ก๐ฌ๐ ๐ ๐ง๐ข๐ง๐ข
1.Unamuoa wakati ameshapevuka kiakili tayari (Hana utoto utoto).
2.Atalea vizuri watoto mtakao zaa kwa sababu ameshalea mtoto wa kwanza kwa hiyo anao uzoefu wa kulea.
3.Anajua thamani ya kupendwa kwa sababu alishawahi kutendwa ama kuushi na mwanaume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.