Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.
Sina matatizo na watu makini ambao wapo kwenye siasa hapa nchini, lakini, unapojihusisha na siasa, hakika umakini wako uta hojiwa.
Siasa za Tanzania ni kama zimelaaniwa, waliopo ndani ya siasa hawaamini wanachokisema na kile wanachokiamini hawakisemi
Uchawa umetamalaki, hofu za kupoteza mkate...
Kuna kitu kimoja huwa kinaniumiza ndani kabisa ya moyo wangu: watu wanaoishi bila kufikiria matendo yao, bila kujiuliza maswali ya msingi. Watu wanaoishi kwa mazoea, kwa haraka, bila kujali mambo yanavyowaathiri wao na wengine.
Mimi ni mtu wa kutafakari sana. Nikiwa peke yangu, huwa nafikiria...
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari na Mbunge wa Ukonga, Jerry Silaa amesema mmiliki wa nchi hii siyo chama chochote bali ni Watanzania wote.
Amesema kitendo cha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kugomea uchaguzi mkuu, ni makosa na pengine wamefanya hivyo kwa sababu wamekosa...
Chadema imejichimbia kaburi lake yenyewe na imetumbukia shimino na kujizika yenyewe.
Ni upande yupi wa kulaumiwa katika mauaji haya ya kikatili kwa uhai wa chadema kisiasa?
Ni G55 au ule upande wa no reform no elections?
Je,
ni kweli kiburi, kudeka na kutegemea huruma za wananchi, kukurupuka...
Kama mtanzania ambaye nimempigia kura Mheshimiwa Lissu mara mbili kwenye chaguzi zilizopita (jimboni na uraisi), naamini hajafanya kosa la uhaini na hayo ni mashtaka ni ya kutengeneza na hewa, THAT BEING SAID sikubaliani na kauli ambazo Mh. Lissu amekua anazitoa kwenye mikutano hivi karibuni...
Nasema hili kwa dhati kabisa Rais Samia Na CCM mnakotupeleka tusije kulaumiana
Nchi hii toka mwaka 2010 unataka mabadiliko Ila nyie mnazua
Wananchi wapo tayari kwa mabadiliko!!
WanaCCM ni ndugu zetu pia na police ni ndugu zetu huko ndiko watu wakichoka wataanzia
Endeleeni kupanda hiyo mbegu...
Ni kwasababu hana misimamo wenye tija kwa wanachadema, hawezi kujitegemea katika kujikimu, hana pesa za kampeni kuelekea uchaguzi, hana sera na wala hana malengo na mipango mikakati ya kisiasa inayowashawishi na kuwavutia wananchi wengi zaidi kumuunga mkono?
Halafu my friends, ladies and...
Hali ya siasa ni shwari zaidi kwa upande wa CCM na ushindi wa kishindo uchaguzi ujao ni wa uhakika na unanukia vizuri sana kwa ngazi zote za urais, ubunge na udiwani.
Na mpaka sasa hakuna anae furukuta tena ndani na nje ya CCM kwenye medani za siasa za Tanzania, mbele ya mkongwe huyu na jembe...
Hivyo ndivyo ninavyomuona Tundu Lissu kama nabii au mtume namimi najiona kama mfuasi wake. Yani kama wale wanafunzi 12 wa Yesu ndio Mimi na Lissu ndio Yesu.
Toka Trump awe Rais amesaidia sana kuonesha mambo yafuatayo;
1.Kwamba kumbe Urais ni One Man Show (Matakwa ya Rais) tofauti na Chadema wanavyodanganyaga eti ni taasisi
2.Kumbe Kila Chama kinatekeleza na kufuta ya Watangulizi wake tofauti na tunavyodanganyagwa eti Rais Mpya anaanza alipoishia...
Hellow Tanganyika!!
IPO Ile Sala ambayo Mungu katika mwili wa mwanadamu, Yesu Kristo aliwafundisha wanafunzi wake akisema,
Msalipo,semeni hivi:
BABA yetu uliye Mbinguni, Jina lako litukuzwe, "UFALME WAKO UJE", Mapenzi Yako yatimizwe hapa duniani kama huko Mbinguni...
Sasa wanasiasa ukiwagusa...
Watanzania wana ongea ongea sana maneno mengi, lawama nyingi kwa serikali iliyopo madarakani(CCM) Ni jambo zuri kwa sababu ni haki yao na mdomo ni mali yao.
Lakini Watanzania wengi kujifanya kwao sijui wazalendo, wana uchungu sana na nchi ni maigizo tu ya kukosa vipande vya mate katika keki ya...
Aiseee,
Yani sasa hivi hata thamani ya utu imepotea,
Naamini hata babu yako akiamka leo toka kaburini akute jinsi unavyo samabaratisha moyo wako kwa kuunda uongo uongo ndani yako ili mtu fulani aone jinsi unavyo mtukuza mtu ili tu ubahatike kujipatia kakitu fulani, aisee atarudi tena kusinzia...
Lissu alitegemea Sana support ya nchi za Magharibi kwa kifedha, na watu wa kumpigia Kelele
Alitegemea kuwa Maria Sarungi angetembeza bakuli na kumchangia yeye kupata pesa za kuendesha chama. Kwamba Maria angewasawishi international NGOs na Diaspora kumchangia fedha bwana Lissu.
Kwamba kupitia...
Kwa muda mrefu, Tanzania imekuwa ikisifika kwa utulivu wa kisiasa na mwelekeo wake wa maendeleo. Hata hivyo, kwa kipindi cha hivi karibuni, kumekuwa na mabadiliko kadhaa katika uwanja wa siasa yanayoweza kuashiria mustakabali mpya wa taifa. Katika uchambuzi huu, tunaangazia hali ya kisiasa ya...
Lengi la kauli kama hii ni kumlenga nani? Kuna wanasiasa hapa Tanzaniq familia zako ziko nje ya nchi.
Naomba kujuzwa
======================
Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Songwe, Fatma Hussein, anasema anakerwa na baadhi ya wanasiasa ambao wanaifanya Tanzania kama 'gheto' na siyo makazi rasmi...
Hii mihimili miwili ipo juu zaidi katika list ya vitu vya kitapeli kuwahi kutokea hapa duniani.
Kama mnataka watoto wenu kufundishwa elimu ya ushoga ya awali, kubadirishwa jinsia, wake zenu kuuguzwa ugonjwa wa feminism, wahamiaji kuingia kwenu kiholela kupelekea uharifu kuongezeka, kufanyika...
Siasa ina athari kubwa kwenye mfumo wa maisha ya mtu wa kawaida katika maisha ya kila siku kwa njia mbalimbali, ikiwemo:
1. Uchumi na Ajira: Sera za kisiasa, kama kodi, ruzuku, na sheria za ajira, huathiri uchumi wa nchi. Hali ya kisiasa inaweza kuathiri upatikanaji wa ajira, kiwango cha...
Wakuu kesho ndio kesho..
Je serikali itakubali chadema ionekane?
Je Media zitakubali kutangaza ikibidi 'live"
Kama walivyofanya kwa CCM?
Binafsi naona matangazo yakikatwa katikati
Itakumbukwa kwamba mwaka 2013 nilivuliwa nafasi za uongozi ndani ya chama cha upinzani CHADEMA, na Machi 2015 nilifukuzwa rasmi na chama hicho. Katikati ya kufukuzwa kwangu ni waraka ulioandikwa na Samson Mwigamba, aliyekuwa mwenyekiti wa chama mkoa wa Arusha, na kuhaririwa na Profesa Kitila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.