Siasa za Afrika zina matatizo mengi sana, tukubali tu kuongozwa na CCM kikubwa waendelee kutii muongozo wa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, CCM ndicho chama kilicholeta Uhuru wa Tanganyika December 9, 1961 kwa hali ya utulivu bila kumwaga damu kipindi...
Baada ya kukaa nchi ya USA kwa muda mrefu pamoja na mapungufu mengi wamefanikiwa sana kwasababu hizi
1. Wana mfumo imara ambao kiongozi yeyote anaweza kushinda na kushidwa
2. Mahakama na mfumo wa sheria mzuri
3. Uhuru na sio uchawa
4. Ubunifu
5. Mfumo wa uchumi ambao ni imara mfano bank kuu yao...
Botswana Democratic Party ni chama tawala cha Botswana na kimeongoza nchi toka uhuru 1966 na CCM ambayo ilikuwa Tano kimeongoza Tanzania toka 1961.
Tofauti kubwa ni kwamba chama cha Botswana kimeleta maendeleo makubwa kwa nchi na kulinda rasilimali.
Chama hiki kimekomesha rushwa . Kwa upande...
Kwangu mimi hii ndio orodha ya viongozi bora Afrika kwa sasa.
1. Rais Samia Suluhu Hassan (Tanzania)
2. Dkt. Tulia Ackson (Spika wa Bunge la Tanzania na Rais wa IPU)
3. Rais Hakainde Hichilema (Zambia)
4. Rais Nana Akufo-Addo (Ghana)
5. Rais Cyril Ramaphosa (Afrika Kusini)
Nathan ni sahihi siasa za gulioni zikadhibitiwa ili zisiathiri usalama na utengamano wa nchi. Ndio maana China, Urusi, Tanzania zina siasa zenye mtangamano.
Mambo ya siasa za gulioni (demokrasia iliyopitiliza) yakiruhusiwa, yanaitoa nchi kwenye mstari.
Ndio kinachotokea Kenya, wananchi...
Rais wa Zambia bwana Hajainde Hichilema amewasimamisha kazi Majaji 3 wa mahakama kuu Kwa madai ya mwenendo usiofaa na kusababishia lawama za Serikali kuingilia mhimili wa mahakama.
Majaji waliosimamishwa walikuwa Watoe Hukumu ya kama Rais wa Zamani bwana Edger Rungu aruhusiwe kugombea au...
My Take
Na 🇹🇿 ilitakiwa kusema hakuna Mpinzani Atakuwa Rais bila kupepesa macho.👇👇
Mkuu wa Jeshi la Uganda, ambaye pia ni mtoto wa kiume wa Rais wa nchi hiyo Yoweri Museveni, Jenerali Muhoozi Kainerugaba, amesema hakuna raia atakayeiongoza Uganda kwakuwa hilo ni jukumu la wanajeshi au polisi wa...
Habari zenu waungwana, leo nimeona nifunguke hapa ili niweze kushea nanyi mambo nilyoyaona baada ya kufanya critical thinking ya hali ya juu
Natambua watu wetu wa intelejensia wameshaliona hili jambo tatizo lipo kwa watanzania wa kawaida, wengi information zao uzipata kupitia vyombo vya habari...
Rais wa Zambia Hakainde Hichilema Maarufu kama HH alitoa Onyo Kali Julai 6, 2024 Kwa Vikundi vya Kisiasa na kikabila ambavyo vimekiwa vinaeneza chuki na kushadidia Mgawanyiko wa kijamaa Kwa maslahi ya Kisiasa.
Bwana Hichilema ambae alitokea Upinzani amesema atawashighulikia wote wanaotaka...
Chama cha Economic Freedom Fighters (EFF), kimepata pigo kubwa baada ya Naibu wake, Floyd Shivambu, kujiondoa na kujiunga na Chama cha aliyekuwa Rais Jacob Zuma - uMkhonto weSizwe (MK)
Floyd Shivambu alikuwa anachukuliwa kama Mtaalamu wa Kiitikadi wa EFF huku Julius Malema, akichukua nafasi ya...
Kuna shida sana ya watanzania tulio wengi,tumeathirika sana na ushabiki hasa wa namna ileile ya simba na yanga.
Siasa zinahitaji ufuasi,mfuasi ni mtu anayeelewa barabara kile anchokifuata kimaono, kimtazamo, kisera
Hizi siasa za kishabiki mtu anaunga mkono chama fulani kwa mihemko au kapewa...
Licha ya tuhuma nzito kuhusu kuhatarisha amani na utulivu nchini,
Muungwa, Kiongozi wa Taifa na Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kupitia wasaidizi wake, ameelekeza Jeshi la polisi nchini kuwaachia huru viongozi na wanasiasa waliotiwa nguvuni huko Mbeya bila masharti yoyote..
Soma Pia...
Nadhani Tanzania bado ni darasa na shule kuu ya kipekee mno ya demokrasia barani Africa. Ni nchi pekee ya wananchi wasiozingatia ukabila, ukanda wala rangi ya mtu kwenye uchaguzi.
Shukrani za kipekee ni kwa Baba wa Taifa Mw.J.K Nyerere kutujengea kama Taifa, utamaduni, mila na desturi hii ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.