Hii simu (Samsung galaxy A04s) ni brand new kutoka dukani nimeitumia miezi 3. Naiuza kwa 300,000 tu! Maongezi yapo. Storage ni GB 128. Memory Ram 4Gb. Ni simu ya kisasa unaweza upgrade kwa mfumo wowote wa kisasa. Sasa hivi ina Android 14.
Niko Dar es Salaam maeneo ya Mbezi mwisho ya kimara...
Habari wakuu.
Samsung note 9 ipo sokoni ila ina shida ya kioo kinahitaji kubadilishwa.
Storage 128GB
Ram 6GB
Bado ipo kwenye clean condition ukiacha kioo tu.
Bei ya kubadilisha kioo ni 170k
Bei 90,000
0757 444 844.
Leo nimekuja kwenye jukwaa hili naomba kujuzwa kuhusu simu aina ya Samsung Galaxy A55
Ubora wake upoje? Kwenye camera, battery, software updates nk
Bei halisi nijiandae na sh ngapi?
Mkitaja na maduka sio mbaya
Habari zenu za majukumu.
Nimejifanya sana mjuaji ila kwa hizi device 2 zimenitoa ushamba.
Ni SAMSUNG A10S NA HUAWEI HONOR X6 Frp yake ni ngumu mno.
Hivyo kama uko na software ya kucrack au upo njia ya kuremove bypass ya hizo device hapo juu nisaidiwe.
Tumezoea kuona simu janja zenye mikunjo miwili, Huawei mwaka huu wanakuja na Smartphone ambayo itakuwa na mikunjo mitatu.
Mojawapo ya kipengele muhimu cha kifaa cha kukunjwa mara tatu ni kwamba skrini iliyounganishwa kwenye bawaba ya pili inaweza kukunjwa kwa nje, na hivyo kuruhusu sehemu ya...
Kupitia kampeni hii, wateja wateweza kununua simu janja kwa mawakala waliodhinishwa na Samsung kupitia malipo nafuu ya mkopo ya kuanzia shilingi 1200 pekee kwa siku, wiki au mwezi kwa kipindi cha miezi 12.
Lengo kuu la kampeni ya ‘Samsung Kibingwa’ ni kuwawezesha Watanzania ambao wanatumia simu...
Juzi nilienda Town kutafuta simu ya samsung A15,Katika pita pita kuna wanaiuza 380,000.Maduka mengine hapa Moshi mjini wengine 480,000.
Mpaka Leo najiuliza kwanini yule auze 380,000 na specification ni zile zile?.Nilienda duka moja anauza mzee akaniuzia kwa 470,000 akaniambia tunaiscan uone ni...
●In collaboration with the IOC, and OBS, Samsung Galaxy technology will provide fans around the world with a new, up-close view of the world’s greatest athletes during the Games
SEOUL, Korea – June 19, 2024 – Samsung Electronics Co., Ltd., a Worldwide Olympic and Paralympic Partner, today...
https://x.com/SamsungMobileUS/status/1800233900389617979?t=VDdvhRoSeZ0LKEnI_RgKcw&s=19
Kampuni ya Kikorea "Samsung" imeleta features nyingi zinazowezeshwa na Artificial intelligence kwenye Samsung Galaxy S24 series na collection ya AI features kwenye S24 series Samsung akaamua kuiita "Galaxy AI"...
Mimi sio mpenzi kabisa wa wireless earphones,
Nikanunua original Samsung Type-C earphones 30k powered by AKG kuja kutumia kasauti nilikokutana nako na niliyozoea nikahisi au nimeziharibu? ni fake? sikuwaza sana ila nikaona isiwe tabu, nika order nyingine MADE IN VIETNAM.
Kuja khaaa, ni yale...
Aliewahi kutumia Samsung a15 au anaeijua utendaji kazi wake anipe muongozo nataka niinunue, masuala ya camera siangalii sana Mimi naangalia speed na isiwe inaganda au kupata moto
Simu inaonekana ni toleo la mwaka Jana 2023 mwezi WA 11
Sony,
Lg,
Smart watch za Android…
Ku share experience zao katika utumiaji..!
Taarifa zote mpya za bidhaa zitumiazo android OS
Changamoto na suluhisho za kifaa husika..
Na mengine Mengi zaidi
Only For Tsh.360,000
Problem ni mic pekee sometimes yes/sometimes no.
Double line☑️
Only for serious buyer nicheki WhatsApp au piga 255673269533
Simu ipo Tabata Mwananchi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.