Habari JF members,
Kuna kijana anatafuta kazi yeyote ile kijana anaitwa WAZIRI GAO.
Elimu yake ni form four. Anapatikana Dar es Salaam. Alitoka Same akaja Dar es Salaam kutafuta maisha bahati mbaya hajafanikiwa.
Anaweza kufanya kazi zifuatazo:
1. Za ndani
2. Kuuza duka,
3. Shamba boy,
4. Kuosha...
Nimeiiba sehemu.....
Kuna mwanangu baada ya kuchapwa na life, akaamua kujitosa kwenye kazi za saidia fundi.
Kazi ya kwanza aliyokutana nayo kwenye ghorofa moja hapo kariakoo ilikua ni kubeba zege. Kwa jinsi alivyofika tu kazini walivyotizama umbo lake mafundi wakamuambia “Dogo utaweza kweli?”...
Mimi ni kijana wa miaka 23 napatikana Dar maendo ya Mbezi Mwisho, Napenda kuulizia kwa hapa Dar ni wapi naweza pata vibarua vya ujenzi Kama saidia kwenye mradi unaoendela kwa sasa au Kama Kuna fundi anaweza ni push ili maisha yaende
Habari Wana jf, mm ni kijana jinsia Me naishi DSM natafuta mafundi wa kunishika mkono kwnye tenda mbalimbali za ujenzi.
Naweza safirI mahali popote jijini Dar es Salaam pia nshafanya kazi mbali mbali za usaidiz katika kampuni mbalimbali ikiwemo ujenzi wa terminal three(3) ya mwalim Julius...
Habari za jumapili wana Jamii Forum
Leo naomba nizungumze kidogo na hawa wenzetu upande wa Kiume mana miaka ijayo kuna hatari ya kupoteza nguvu kazi
Siku izi ni kawaida kabisa kukuta mdada anauza matunda, anatembeza mtumba, anachoma mandazi ubuyu na juice na mengine mengi ya kuingiza kipato...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.