printer

In computing, a printer is a peripheral device which makes a persistent representation of graphics or text, usually on paper. While most output is human-readable, bar code printers are an example of an expanded use for printers. The different types of printers include, 3D printer, Inkjet printer, laser printer, thermal printer etc.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Computer4Sale Computer, Laptop na Printer ndogo sokoni

    Printer ni HP Laptop ni samsung Computer ni ONDA Bidhaa zote zilikuwa zinatumika ofisini Bei laki 7 fixed for all Location Dar es salaam Communication 0625825641
  2. M

    INAUZWA Computer na printer vinauzwa, vipo Dar es Salaam

    Bidhaa zote zipo ktk hali nzuri ZIlikuwa zinatumika ofisini Bei ni laki 7 tu Kwa mhitaji tuwasiliane kwa namba 0625825641 Karibuni sana
  3. chazachaza

    Idara ya Ardhi Jiji la Dodoma, wiki ya 3 hakuna printer wala wino -- kulikoni?

    Ngoja niende moja kwa moja kwenye mada. Nyinyi watu wa ardhi jiji la Dodoma, kiukweli mnatupa tabu wateja wenu, nimefika hapa ofisini kwenu kufuatilia hati yangu nina mwaka wa 2 huu tangu mwaka 2019, hadi leo hati bado sijapata. Leo nimefika hapa asubuhi na mapema saa 12 asubuhi, niliona bora...
  4. EJOSMAT

    INAUZWA Vifaa vya electronics vinauzwa

    Printer hp 7500 a wide format------laki 3 Tt560 speed lite neewer------------laki na nusu Sigma lense 170-500----------------laki 4 Studio light na background yake laki 4 Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa 0717 040 837 au 0767 267 664
  5. G

    INAUZWA Printer copier HP Laserjet 1132' na Epson l 805 inauzwa

    PRINTER COPIER 'HP LASERJET 1132' INAUZWA DODOMA NA EPSON L 805 HP - 320,000/- EPSON - 450,000/- DODOMA MJINI - 0716 87 04 17
  6. sungura23

    INAUZWA HP Multifunction Printer inauzwa

    USED HP Deskjet 4515 -Print, scan na copy -Inaprint black na rangi -Inaprint two sided -Ina wireless print access - 6.73 cm touch screen -Ipo kwenye hali nzuri sana haina tatizo lolote -Bei laki mbili na elfu hamsini (250,000/=) -Mawasiliano: 0658322565
  7. FRANCIS DA DON

    Je, wapi nitapata ‘Sublimation printer set?’ kwa Dar es salaam?

    Ni aina ya printer ambayo inakuwezesha kuprint kwenye plate ya chuma (silver) kwa mtindo wa kupasha moto karatasi lenye picha juu ya hicho kibati hadi picha yote inahamia kwenye kibati, na bei yake complete ikoje?, naambatanisha video kwa ufafanuzi zaidi
  8. FRANCIS DA DON

    Je, wapi nitapata ‘Sublimation printer set’?

    Ni aina ya printer ambayo inakuwezesha kuprint kwenye plate ya chuma (silver) kwa mtindo wa kupasha mto karatasi lenye picha juu ya hicho kibati hadi picha yote inahamia kwenye kibati, na bei yake complete ikoje? Naambatanisha video kwa ufafanuzi zaidi
  9. CUF Habari

    Mbunge wa Viti Maalum CUF akabidhi Computer na Printer kwa ajili ya Uchaguzi Handeni Mjini

    MHE. SONIA MAGOGO AKABIDHI VIFAA COMPUTER NA PRINTER KWA AJILI YA KUSAIDIA SHUGHULI NA UCHAGUZI WILAYANI HANDENI MJINI #HandeniMjiniNiSoniaMagogoSasa. #SoniaMagogoTenaMjengoni
  10. F

    INAUZWA Tshirt printer inauzwa - Heat press machine heavy duty

    Heshima kwenu wadau.. Nauza T-Shirt heat press, heavy duty, nzuri kabisa for transfers image and logo on T-Shirts, namba na majina kwenye jezi za michezo.. kuprint leso, vitambaa etc Mpya kabisa haijawai tumika Bei ni laki 9 ,,manufacture anaitwa Adkins, size ni kubwa kabisa A-3 Manufacture...
Back
Top Bottom