paul makonda

Paul Makonda
Paul Christian Makonda born 15 February 1982 is the Regional Commissioner of Arusha, Tanzania.

Makonda gained popularity during a constitutional amendment referendum, where he was among a few members of a special parliamentary session that was tasked with drafting a new Constitution.

He would later become more prominent in politics, first acting as the District Commissioner(DC) for Kinondoni before being appointed Regional Commissioner(RC)of Dar es Salaam by the late President, John Pombe Magufuli, in 2016.
  1. Carlos The Jackal

    Kuna Nguvu Kubwa sana inayo/ itakayotumika Kumtetea Paul Makonda, yoyote atakayejaribu kuonyesha Gaps za Makonda atashambuliwa Kila Kona!

    Angalieni, Kama ni Wizi kufanyika, Report ya CAG imejiweka wazi yenyeweee!!. Ila hatujawahi sikia Serikali imechukua Hatua yoyote Kwa Wahusika. Sasa angalia Maajabu, Majuzi hapa, Mbunge Mrisho Gambo, Kwa "Takwimu na shahidi" aliwekwa wazi namna gan Ujenzi wa jengo la utawala Arusha ,Kuna...
  2. Carlos The Jackal

    Paul Makonda, akataliwe kua Rais wa Nchi ya Tanzania !!Nchi itaendeshwa kidikteta na vilio vitakua vingi

    Lile like Kundi ambalo linawapitisha Msoto akina Lissu na Heche. Kundi lilelile ambalo lilikubali Samia awe Rais Kwa makubaliano naye. Kundi lilelile ambalo lilimuacha Samia afanye anavyopenda huku likiendelea kumkusanyia taarifa za wanaojipendekeza Kwa Samia . Kundi lilelile ambalo baada ya...
  3. Carlos The Jackal

    Iwe marufuku kwa Makanisa kuwaruhusu watu aina ya Paul Makonda, kutumia Madhabahu kuelezea Siasa na CCM!!

    Watu wa aina hii hawapaswi hata kualikwa kua wageni rasimi. Dini iaachane na unafiki wa kuchangiwa Pesa na viongozi wenye Dhuluma. Biblía ninayoisoma toka nikiwa mtoto Mdogo, inachukia DHULUMA, UONEVU, WIZI NA WATAWALA WABAYA . Biblía hii hiii, sehem kubwa, Mungu anatumia Viongozi wa Dini...
  4. ChoiceVariable

    Pre GE2025 ARU Paul Makonda: Msigeuze makanisa kuwa viwanja vya siasa

    My Take Nakubaliana kabisa na Paulo ,hao wanaojiita Maaskofu kazi zao ni porojo za Kisiasa kushabikia Wapinzani huku wamemsahau Yesu. Wakidhibitiwa watasema uhuru wa dini unainhiliwa wakati wanageuza majukwaa ya dini kufanya siasa. =================== Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda...
  5. Mindyou

    Pre GE2025 Hawa ndio Wakuu wa Mikoa wanaotarajiwa kugombea Ubunge mwaka huu na kwanini wanataka kugombea

    Unakumbuka Machi 11, 2025, Rais Samia Suluhu Hassan alipoagiza wateule wake, wakiwemo wakuu wa mikoa wenye nia ya kugombea nafasi mbalimbali, kutoa taarifa mapema, ili nafasi zao ziweze kujazwa kwa wakati? Sasa hali hiyo inajidhihirisha wazi, kwani baadhi ya viongozi hao, hasa wakuu wa mikoa...
  6. Cute Wife

    Pre GE2025 ARU Makonda akabidhi zawadi kwa maimamu na walimu wa madrasa kutambua mchango wao katika kuleta amani kwenye jamii

    Wakuu, Sasa hivi kila jicho ni kwa waislamu, I wanda ni kwanini?🤔🤔 Ni ama kuna wajinga wengi ambao wanaidia kupitisha ajenda zao kirahisi au ni watu muhimu sana ambao bila kukuunga mkono umekisha! ==== Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda amekabidhi Zawadi maalum kwa Maimam wa Misikiti na...
  7. Mindyou

    Pre GE2025 Paul Makonda: Kuna kakundi nimekapiga spana. Acha wakahangaike kuroga, mi sirogeki

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha mesisitiza kuwa hana woga wa vitisho wala hofu ya ushirikina, akisema wazi kuwa hata wale wanaojaribu kuloga hawawezi kumtikisa. Akizungumza kwa katika uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (Mama Samia Legal Aid Campaign) kwa Mkoa wa Arusha,, Makonda...
  8. Bushmamy

    Kilichonipa huzuni kuu kwenye iftari ya Mkuu wa mkoa wa Arusha Bwana Makonda

    Nilipata nafasi nikahudhuria tafrija hiyo fupi iliyoandaliwa na ofisi ya Mkuu wa mkoa Arusha , Kuna mambo machache sana nilijionea yaliyonitoa machozi Kwa muda mfupi niliokaa hapo. Kwanza kabisa watu waliokuja kupata iftari wengi wao walikuwa watu wa kawaida au tunaweza sema watu wa hali ya...
  9. musicarlito

    Pre GE2025 ARU Makonda anapata wapi pesa za matamasha na shughuli kama za kulisha watu wote wa Arusha Nyama Choma?

    Wasalaam Bila shaka kama kusingekuwa na makandokando yanayosemwa au kutuhumiwa,pamoja na kauli yetu ya kukiri udhaifu.."binadamu hajakamilika"...lakini basi lau tukachukua katika mizania mtu kama mhe.Antony Mtaka angekuwa anafanya kazi hizi za Makonda...basi Mhe.Paul Makonda ni kiongozi bora...
  10. Waufukweni

    Pre GE2025 ARU Vijana wafurika kwa Makonda kufanya 'interview'

    Zaidi ya vijana 1,000 wa Mkoa wa Arusha, leo Machi 26, 2025 wamefika katika ofisi za mkuu wa mkoa huo kwa ajili ya kufanya usaili wa kuwania nafasi za ufadhili wa masomo nchini India. Vijana hao wamejitokeza kufuatia tangazo la Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda kuwa Serikali ya India imetoa...
  11. Rozela

    Rais Samia mteue haraka Paul Makonda au Humphrey Polepole kuchukua nafasi ya Amos Makalla

    Huyu mtu uliyetuwekea kuwa katibu mwenezi uwezo wake ndio kama hivyo tena, fanya hima kuteua mmoja kati ya hawa niliokutajia, hawa ndiyo wanatakiwa huku mtaani. Vinginevyo utaaibika mama, usidhani kuwa waliokuzunguka wanakupenda. Asante.
  12. Mindyou

    Pre GE2025 Paul Makonda aomba mashindano ya Quran ya Alhikma yakafanyike Arusha, ahaidi usimamizi wa mambo yote utakuwa chini yake

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha ameomba Mashindano ya Quran Tukufu yakafanyike Mkoani humo mara baada ya Ramadhani na usimamizi wa mambo yote utakuwa chini yake yeye. Akitangaza kwa watanzania Shekh Kishki alimpongeza Mheshimiwa Makonda kwani toka kipindi alipokuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar aliwaunga mkono...
  13. M

    Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda

    Kiukweli wewe ni kiongozi bora sana umeufanya mkoa wa Arusha kuwa bora binafsi nakuona ukienda kuwa kiongozi mkubwa zaidi serikali baada ya mwezi wa kumi mwaka huu 2025. Mungu akusaidie hii ndoto itimie. Mimi ni moja ya vija wako kutoka Arusha ninaye kukubali sana kutokana na utendaji wako wa...
  14. Gabeji

    Pre GE2025 ARU Makonda awatafutia vijana nafasi 1000 za kusoma nchini lndia. Huyu kijana ni kiongozi mbunifu sana, Rais Samia mtumie vizuri Makonda

    Tanzania ina viongozi vijana wachache sana wenye moyo wa kujituma, na kubuni fursa mbalimbali kwa ajili ya maendeleo ya taifa. Binafsi mh Makonda nikiaangalia kwa jicho la tatu, ni kiongozi bora kwa Tanzania. Huyu kila nafasi anafaaaa, kwa sababu huwa anafanya ubunifu wa hali ya juuu sana...
  15. ChoiceVariable

    RC Makonda: Watanzania wengi wamewekeza kwenye umbea kuliko kutafuta taarifa za Kiuchumi na Biashara

    Na huu ndio ukweli unakutana na mtu hajui chochote Cha maana zaidi ya mambo ya kijinga yasiyo na msingi na ndio sababu wengi wanatumiwa na wajanja kujinufaisha. On top of that ujinga wa Watanzania ndio sababu wanapigwa na matapeli na wajasilia dini. My Take Bila kubadilika Kila siku...
  16. Waufukweni

    Pre GE2025 ARU Makonda: Wapenzi (couple) watakaopendeza kesho Machi 8 Arusha kupata zawadi

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesema wapenzi (couple) itakayopendeza kesho katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake itapewa zawadi maalumu. Makonda ameyasema hayo leo Ijumaa Machi 7, 2025 alipokuwa akikagua eneo ambalo nyama choma italiwa bure kwa wakazi wa Arusha kuelekea maadhimisho...
  17. Waufukweni

    Pre GE2025 ARU Makonda: Rais Samia ni mwanamke wa mfano duniani

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda amesema Maandalizi ya kumpokea Rais Dkt Samia Suluhu Hassan yamekamilika na kueleza kuwa Rais Samia ni Mwanamke wa Mfano duniani hivyo wao kama Mkoa wanajivunia Rais Samia. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa...
  18. Waufukweni

    Pre GE2025 ARU Makonda uso kwa uso na Gambo kwenye mabanda Arusha, ona kilichotokea mbele ya Waziri Ndejembi

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda leo Jumatatu ya Machi 03, 2025 akiwa ameambatana na Waziri wa ardhi Deogratius John Ndejembi kutembelea mabanda kwenye maonyesho ya wiki ya mwanamke Jijini Arusha wamekutana uso kwa uso na Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Mashaka Gambo. Pia, Soma Kumekucha...
  19. T

    Pre GE2025 ARU RC Makonda amsapoti muuza nyanya kwa kumpa shilingi laki moja

    Paul Makonda ni kama anaendelea kujitengenezea jina huko Arusha kwa ajili ya ubunge. === Mkuu wa Mkoa, Paul Makonda, akimshika mkono kijana mjasiriamali anayeuza nyanya mitaani, ishara ya kutambua na kuthamini juhudi za vijana katika kujitafutia riziki. Serikali inaendelea kushirikiana na...
Back
Top Bottom