Katika pita pita zangu kwenye ofisi za umma nimejifunza Haya!
Ukipeleka maoni yako au kero yako kwa unaeamini ni boss (In charge) wa ofisi ndiyo kwanza unaiongezea ugumu huduma unayotafta
Ukiandika maoni yako na kuyaposti kwenye kisanduku cha maoni (suggestion box), Unaemlalamikia ndiye mwenye...
Kuna kila dalili kuna baadhi ya viongozi/watendaji wa Serikali wanalewa madaraka mara baada ya kuteuliwa na wanasahau kabisa kuwa nafasi hiyo kateuliwa tu na wakati wowote anaweza kutenguliwa.
Baadhi yao wamekuwa wakidhani kuwa wao ni bora zaidi kuliko wengine walio achwa na hivyo kuanza kuinua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.