Wayahudi wanaikimbia Israel nakwenda kusalimisha viwiliwili vyao Nchi za watu na kibaya zaidi image yao imechafuka chuki dhidi yao imeongezeka kuliko enzi za WWII
⚡️🇮🇱BREAKING: Israeli director Barak Heymann in an article on "Haaretz":
More Israelis are leaving and do not want to live in such...
Jumapili njema.
Huu uzi umelenga kutoa fursa kwa wafugaji kuhusu ufugaji wa vunjajungu (PRAYING MANTIS) na masoko yake. Pia unajumuisha ufugaji wa wadudu wengine ambao pia hutumika kulisha wanyama.
Sasa kupitia uzi huu tutahabarishana kuhusu masoko yake duniani ila mie nitaambatanisha soko la...
Shirika la kimataifa la misaada ya kibinaadamu limesema katika msimu huu mamilioni ya watu nchini Somalia hawatakuwa na chakula cha kutosha kufuatiwa na wimbi kubwa la nzige, hali mbaya ya hewa na kiwango cha chini cha mvua.
Shirika la Save the Children limesema, mimea na mazao ya mboga mboga...
Waziri wa Kilimo Prof Mkenda amesema kesho zoezi la kumwaga sumu ya kuua nzige litaendelea baada ya rubani aliyetelekeza ndege pale Kilimanjaro kurejea.
Mkenda amesema kuna kundi la nzige wadogo wameelekea Monduli hivyo wanawafuatilia ili wawatekeze.
Pia Simanjiro zoezi halikukamilika kutokana...
Hakika jamaa wanachapa kazi kwelikweli tena kizalendo kwa style hii ya kukanyagia mateke ukijumlisha na zile ndege zetu za kutosha zinazonyunyuzia dawa tukichanganya na yale maombi yaliyokimbiza corona basi hawa nzige week tu wanahama nchi hii au kama wataamua kukaa basi wakae kwa adabu kama...
Waziri wa kilimo Prof Mkenda ameagiza zoezi la kuua nzige waliovamia mkoa wa Kilimanjaro liendelee kesho baada ya leo kusimama kwa sababu pilot wa ndege ya kumwaga sumu aliiacha ndege na kurejea Kenya.
Prof Mkenda amesema atamfuatilia pilot huyo kupitia mamlaka zake za juu na kwamba kesho...
Mkoa wa Kilimanjaro eneo la Siha, Nzige wa Jangwani wamevamia. Si mchezo ni wengi balaa.
-----+
Kundi la Nzige waharibifu wa jangwani limeingia wilayani Siha Mkoani Kilimanjaro Kaskazini mwa Tanzania na kuibua hofu ya uharibifu wa mazao ya chakula.
Wilaya hiyo inazalisha mazao mbali mbali ya...
Waziri wa kilimo Prof Mkenda amesema kuanzia kesho wataanza kumwaga viatilifu vya kuuwa nzige katika wilaya ya Longidi na Simanjiro kwa kutumia ndege.
Shule zitafungwa kwa muda wa siku nne na wananchi wanaonywa kutookota nzige na kuwala.
Chanzo: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
------...
Katika hali ya mstuko, wadudu jamii ya nzige wamevamia mazao eneo la Sukita huko Tabata. Wameleta uharibifu kama wa kutafuna miti, mahindi na mboga za majani.
Wakazi wa eneo hilo wamesema kwamba nzige hao wamevamia eneo lenye kijani kibichi usiku wa kuamkia leo na muda unavyozidi kusogea eneo...
Umoja wa mataifa umeonya kuwa hawa nzige na hili janga la corona vinaweza kuwasambaratisha majirani ifikapo juni mwaka huu.
=======
A second invasion by desert locusts has hit East Africa in just a few months, as younger and more aggressive swarms hatch and spread across a region already...
Taarifa iliyotolewa kwenye mkutano ya kamati ya amani na usalama ya Umoja wa Afrika imeeleza wasiwasi mkubwa kuhusu uvamizi wa nzige wa jangwani ulioanzia mwezi Juni mwaka jana na kuendelea kuziathiri nchi za Afrika Mashariki
Wameonya kuwa tatizo hilo huenda litakuwa janga la bara nzima kama...
Wakati Kenya ikitumiia mabilioni ya shilingi kununua sumu ya kupulizia nzige na kukodi ndege kadhaa, wenzetu China wana wazo lingine kabisa, wao wameamua kuajiri bata laki moja na kuwapeleka eneo la tukio wapambane na nzige.
Watu husema China haijawahi kuishiwa mawazo mapya, hii imedhihirisha...
Mamlaka ya nchini UGANDA aimekiri kuonekana nzige maelfu wakiwa KTK mji Mmmoja
HABARI zaidi zinasemaa wananchii wahapoo wameamua kuwageuza kitoweoo na jamboo HILO limefanya kijiji hikoo kuvamiwa na watu WA JIRAN kuweza kupataa kitoweo cha kilasiku
Olewaooo waanzie Bukoobaa wastashaaa kwakwelii
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa utabiri wa mwenendo wa hali ya hewa kwa Mikoa ya Kaskazini inayopakana na nchi ya Kenya, ikieleza kuwa kiwango hafifu cha upepo hakiwezi kuhamisha nzige kutoka nchi hiyo kuingia Tanzania.
Hayo yameelezwa leo Jumanne Februari 11, 2020 na meneja wa...
Mratibu wa Umoja wa Mataifa wa misaada ya kibinadamu na masuala ya dharura OCHA, Bwana Mark Lowcock amesema “wimbi moja la nzige waliozingira ukubwa wa kilometa moja , ambalo linajumuisha nzige milioni 40-milioni 80, wanaweza kula kwa siku moja chakula ambacho kinatosheleza kulisha watu 35000”...
Waziri wa Kilimo Mhe. Japhet N.Hasunga (MB) jana Jumapili anawafahamisha wakulima na wananchi kwa ujumla kuwa taarifa zinazoenea kwenye baadhi ya vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kuhusu uwepo wa nzige wa Jangwani nchini hususan mkoa wa Kilimanjaro siyo za kweli.
Mhe.Hasunga amesema...
Afisa Kilimo wa Wilaya ya Mwanga Mkoani Kilimanjaro, Erick Kaaya amesema wamepokea taarifa kuwa Nzige wapo Kilometa 50 kutoka ulipo mpaka wa Kenya na Tanzania
Katika taarifa iliyotolewa na Afisa huyu wa Wilaya, amewaomba Wananchi watakapoona Wadudu jamii ya Panzi kutoa taarifa mapema kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.