Imezoeleka Kwa wengi kutumia Namba ya simu kama 2FA.
Sasa tukija kuangalia usalama kawaida Huwa ni ndogo kwasabu zifuatazo.
Email inbox na outbox hazijifuti kama ilivyo kwenye WhatsApp.
Vyombo vya usalama vinaweza kupewa access ya jumbe fupi au calls unazotumiwa kwenye namba Yako ya simu...
Aisee nakereka sana na upuuzi wao wa kufungia line yani miezi mitatu tu unakuta line yako kapewa mtu mwingine
Yani kwenye dunia hii ya leo yenye maendeleo kadha wa kadha ambapo mtu anaweza kwenda kenya, Uganda, sudan,America, Europe au hata south africa akakaa miezi kadhaa kama 5 anarudi...
Habari wadau.
Wanawake sijui akili zao huwa wanazipeleka wapi .
Ipo hivi kutokana na mimi kuwa mpenzi wa mpira.Sasa nimekuwa na kawaida ya kwenda ukumbi fulani ambapo kuna baa hapohapo.
Nikifika hapo naagiza zangu soda nacheki mpira huku nakunywa taratibu soda maana mimi sio mtumiaji wa pombe...
Kuna chuo fulani hapa dar kikubwa tu wameweka namba yangu ya simu kwenye matangazo yao ya biashara ya chuo hicho namimi sifanyi kazi wala sijawahi kusoma kwenye chuo hicho!
Sasa kifupi imekuwa ni kero mno kwangu kupokea simu za wateja wao wanaotaka kujiunga na chuo chao
Kisheria imekaaje hii...
Siku hizi hatuviziani tena njiani kama zamani,maana huko way back ilikuwa kipengele kweli,ukimtaka mrembo ni full misele kitaani kwao,,nakumbuka class mate wangu mmoja tulikuwa tunakaa nae kitaa pale Upanga seaview.
Alinambia unamuona flan ambaye nae ni classmate wetu pia,anakuja kuja huku ujue...
Mhanga: Ni mapenzi ya mwezi 1, yaani tulienda vizuri da penny, sasa sielewi nini mbaya
imagine last week ilikuwa birthday yake nikamfanyia bash kubwa tu, nikamnunulia na cheni ya dhababu
Money Penny: aisee, dhahabu na hali hii ya uchumi?
Mhanga: mtoto mzuri, mzuri sana, yani tulivyozama kwenye...
Wanawake Mungu anawaona unakuta kadada kana sura na muonekano wa kilokole, thubutu !!! Kachatishe Whatsapp au normal text ndio utajua wanawake ni mashetani yaliojificha kwenye miili ya watu.
Sasa msitulaumu tukiwanyanndua na kusepa nina hasira kuna pisi nilikuwa na mpango wa kukaa yenyewe...
Wakuu kwema? Twende moja kwa moja kwenye mada.
Huduma ya Bolt ukititokea unataka kuwasiliana nao labda umepoteza kitu au una malalamiko kwenye huduma yao, hakuna chaguo la kuwapata moja kwa moja kwa njia ya simu kwanini? Wanakimbia nini?
Yaani wameweka njia ya kuwasiliana nao kwa njia ya email...
Dada zetu mbona mnatutenga sana sisi tusio na kitu? Sasa upwiru tutaupeleka wapi jamani?
Unakutana na mdada mzuri umevutiwa nae, kutokana na haraka alizonazo unaona bora niombe namba ya simu tutayajenga baada, majibu yake sasa.😀😀
Habari Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa pili katika chuo Cha utumishi wa umma (TPSC). Mimi ni mnufaika wa mkopo kwa bahati mbaya namba yangu ya simu ilikosewa wakati wa usajili, nmefatilia Sana bodi ya mkopo ili nibadilishe namba ya simu imeshindikana naambiwa watafanyia kazi lakin mpk leo Amna...
Habarini wadau naomba kwa mwenye namba ya mpokezi pale sekretarieti ya ajira anisaidie
Juzi nilikuwa pale nilisahau kuchukua, lengo nataka niwe namwuliza maswala yangu ya ajira.
Niliitwa katika taasisi hiyo nipeleke changamoto na malalamiko nilijibiwa vizuri ila tu nilichoona haswa nilipaswa...
Wazee wa kupambania Kombe
Huwa mnatumia Njia gani kuomba/kuchukua namba za simu katika Mazingira MAGUMU na HATARISHI?
Umafia:
Part 1>
Nilikuwa nipo katika Daladala watu wengi vibaya mno, nikatupia jicho pembeni nikaona KIFAA kimetulia kinachezea simu. Nikajiuliza hapa namba nabebaje? Kuangalia...
Nilipoteza namba yangu ya voda kabla haujaingia mfumo huu wa sasa wa kusajili kwa NIDA na kuthibitisha. Baada ya huu utaratibu kuanza ikawa imepewa mteja mwingine.
Natamani niirejeshe iwe yangu kwa sababu nilijiunga nayo vitu vingi vya muhimu ikiwamo email na kwa sasa siwezi kutumia email...
Hii inatokana na umuhimu wa mtu huyo au watu hao kwako..
Mwenzenu toka mwaka 2004 nikiwa bado primary school, enzi hizo tunatumia simu za kukoroga (za Ttcl), kama hii pichani
Mwenzenu hapa ndio niliweza kuiona namba ya simu ya Kaka yangu ambapo baba mdogo alikuwa akimpigia mara kwa mara...
Hivi inawezekana kujua location ya mtu kwa kutumia namba ya simu? Hili ni swali ambalo nimeulizwa zaidi ya mara 10 mpaka sasa. Jibu ni ndiyo inawezekana kupata location ya simu ya mtu kwa kutumia namba ya simu anayotumia katika hiyo simu.
Nilishaandika kuhusu “Kuona location, sms & calls za mtu...
Kamwe, mwanamke ambaye hajatokea kukupenda ama ambaye hujamvutia, hawezi kukupatia namba yake ya simu, anapokupatia anasubiri utayari wako tu kama utamuhitaji kimapenzi zaidi!", ilikuwa ni sauti ya mwanadada ambaye nimezoeana nae, tu majilani!
Huwa namshirikisha mambo mengi kuhusu mahusiano...
Teknolojia ni nzuri na kwa mawasiliano haya ya simu, yamesaidia sana watu kuwa kama kijiji kimoja au familia moja.
Ila swala la simu ila kimtazamo naona ni sawa na kufunga pingu pale unapo kuwa na namba ambayo umekaa nayo mda mrefu kwenye maisha yako.
Namba hiyo unakuta ndio unatumia kipindi...
Habari zenu wadau
Wadau naomba mnishauri kitu kimoja nina mwanamke ambae tumezoeana sana yeye ni mzungu wa anaishi Marekani baada yakuzoeana kunawakati sasa ananisumbua anataka tubadilishane namba za simu na anataka siku moja aje Tanzania maana anasema nisehemu mzuri ya kitalii.
Sasa tatizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.