Wakuu,
Katika uzi wangu uliopita niliuliza wazazi wapo kundi gani kwenye malezi ya watoto na digitali, kama wataruhusu watoto kutumia simu kwa kuwapo mwongozo au kuwa wakoloni na kuacha wakikua mpaka chuo ndio watumie simu.
Nilishangazwa na baadhi ya majibu wakisema kwa mtoto wa kiume haina...
Leo tunapoadhimisha Siku ya Mtoto wa Kike, tukumbuke kwamba bado wasichana wengi ni wahanga wa ukatili wa kijinsia.
Swali la kujiuliza ni hili: Je, tunawajali na kuwalinda mabinti wa wenzao kama tunavyowalinda wa kwetu?
Tafakari na chukua hatua kuhakikisha kila binti anapata haki na ulinzi...
Habari,
kama kichwa cha habari. Msaada wa shule nzuri kwa mtoto wa kike boarding O level. Nataman sana za kikatoliki kwa anaejua. Pia na connection naomba tafadhali. Asante.
Hii iko wazi kuwa Mtoto wa Kike anakumbana na Vikwazo vingi sana hadi kutimiza ndoto zake. Vikwazo hivo huanzia Pale tu anapozaliwa katika familia ambazo zilihitaji Mtoto wa Kiume kuwa wa Kwanza ili kupata mtoto wa kuendeleza ukoo na kurithi mali.
Basi huanza kubaguliwa kuanzia hapo yeye na...
Mambo vipi wakuu?
Binafsi naamini wakati wote Mrembo anapokuja ghettoni kwako si lazima Mjigijane...
Muda mwingine unaweza ukaishia kupiga nae Story tu..... au Mkacheki Muvi.... au Mkacheza video games....
Naamini ni kuonesha umekua kihisia hata kuongeza uaminifu kwa Mwenzako...
We unaonaje...
Utangulizi
Watoto wa kike nchini Tanzania wanakabiliwa na changamoto mbalimbali katika safari yao ya maisha. Changamoto hizi huanzia chini kabisa kwenye malezi na ukuaji wao na huzidi kuibuka kadiri wakuavyo katika nyanja mbalimbali kama elimu, jamii, uchumi, na uongozi. Hali hii hupelekea...
Chanzo: onlymyhealth.com
Hedhi huanza kutokea kwa wanawake pindi wanapopevuka. Katika kipindi cha hedhi wanawake wanahitaji kujisitiri vizuri ili kuhakikisha wanakua safi na salama wakati wote wakiendelea kutekeleza majukumu yao ya kila siku. Hedhi sio jambo la hiyari kwa mwanamke, ni jambo...
Utangulizi
Kumekuwa na harakati nyingi za kutetea haki za mtoto wa kike ambazo chimbuko lake ni kuwepo kwa mfumo ambao ulimpa kipaumbele mtoto wa kiume (Mfumo dume). Mfumo huu ulijengeka na kuwa sehemu ya utamaduni na maisha ya kila siku. Juhudi nyingi zimekua zikifanyika na zinaendelea...
Familia nyingi za sasa na walezi wengi wa sasa, wamekuwa ni sehemu ya kusababisha mengi mabaya ya jamii hii ya leo hususani katika malezi na makuzi ya watoto wa kike na wa kiume. Neno kusema hili ni tusi na kuacha kuzungumza ama kumuelekeza mtoto husika imefanya watoto kukutana nayo wenyewe na...
Salamu kamsalimie waziri wa Afya.
Nikiwa kwenye sintofahamu kwanini mambo Yana badirika kimya kimya namna hii.
Inakuwaje kadi ya clinic iliyoandikwa haiuzwi na Sasa inauzwa Kwa Tsh 10,000/=
Inakuwaje mama mjamzito akijifungua mtoto wa kike atoe kiasi Cha pesa Tsh 15,000/= na akijifungua mtoto...
Ifike mahali sasa serikali ifanye uamuzi wa busara.
1. Ipunguze umri wa mwanamke kuruhusiwa kuingia katika ndoa kutoka miaka 18 hadi ( 14 & 15) kwa watu wa dini zote sio waislamu pekee maana sheria ya Ndoa ya mwaka 71 inasema kwamba mtoto wa kike Muumini wa dini ya kiislamu anaruhusiwa kuingia...
Akisha vunja ungo she will become a stranger to you.
Utabaki unashangaa na kujiuliza, hivi huyu ndio binti yangu yule yule alie kuwaga ananisikiliza na kunitii kwa kila jambo alipokuwa na miaka 10-12 au ni nini hiki? Na hapo ndipo utajua kwanini North na South huombana msamaha kila siku...
Siku ya mtoto wa kike, ukatili dhidi ya wasichana ni kikwazo
Leo ni siku ya Kimataifa ya mtoto wa kike Duniani, siku hii ilianzishwa mahususi katika kutambua haki na changamoto wanazopitia watoto wa kike. Hapa nchini Tanzania tunaona bado watoto wa kike wanakabiliwa na changamoto nyingi sana...
Mnamo Desemba 19, 2011, Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa lilitangaza Oktoba 11 kama Siku ya Kimataifa ya Msichana, kutambua haki za wasichana na changamoto za kipekee ambazo wasichana wanakabiliana nazo duniani kote.
Siku ya Kimataifa ya Msichana inaangazia hitaji la kushughulikia changamoto...
Tunajua kumuelimsha mtoto wa kike kwa elimu bora pamoja na malezi mazuri, atakuja kuwa mkombozi bora katika familia yake.
Bila kumpatia msingi mzuri wa elimu, pamoja na kumjengea hofu ya Mungu; ndio wanakuja kuwa, hawa wanao tanguliza pesa mbele kabla ya mahusiano.
Baba ukiwa mtu wa totoz...
Habari ya mda huu!!
Nina swali la kuhusu mahusiano
kwa nn wadada kati ya umri 17-20 katika mahusiano wanakuwa na mambo mengi? Inayopelekea kutokuelewa ukweli na kua na jeuri, ujuaji,ubishi n.k?
Na Norberth Saimoni
Chanzo:NSPCC
Usawa wa kijinsia ni agenda ya nchi nyingi ulimwenguni ambayo inajumuisha hatua na jitihada mbalimbali zinazolenga kuhakikisha kunakuwa na ulinganifu baina ya mwanaume na mwanamke katika nyanja zote kijamii,kisiasa,kiuchumi na kitamaduni. Jitihada hizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.