mpaka

Mpaka is a town in eastern central Eswatini in western Lubombo District. It lies about 22 kilometres (14 mi) northwest of Siteki on the MR3 highway.

View More On Wikipedia.org
  1. masai dada

    Mpaka lini Kariakoo, Gerezani pataendelea kukabiliwa na mafuriko?

    Hichi kipande kimekuwa changamoto kila mvua inavyonyesha miksa machemba kufumuka kinyesi maji ni usawa wa nyonga. Jamaniii leo nimeshuhudia sononeko kubwa sana. Mtaa wa vifungashio ule nyuma ya pemba ni balaa mpaka vifuniko vya chemba vinaelea. Kariakoo ni mkoa wa kikodi kwanini miundombinu ya...
  2. G

    Kwenye soka Mhhindi hawezi kushindana na Muarabu. Kwa hali hii Yanga mpaka 2030

    Muhindi anachungulia sana pochi na akiweka mzigo mkubwa ujue ni malengo ya kibiashara mfano kuinunua timu moja kwa moja. Hebu ona haya klabu maaruufu waarabu wanaweka mizigo ya maana, wana mapenzi makubwa na pira.
  3. U

    Wenzangu mnaotumia unlimited internet huwa mnatumia net kwenye nini hadi kuvuka matumizi ya GB 1000 (1 TB) mpaka mnaanza kulalamika kupunguzwa speed

    Makampuni mengi unlimited yanatoa TB 1 hasa kwenye vifurushi vya chini kwa matumizi ya nyumbani Mtu analalamika 1 tb ndogo na tunajua kibongobongo wengi hawatumii net kufanya backups, kutumia online cctv, n.k. wanaofanyia shughuli zao kama Video Library naweza kuwaelewa lakini hawa wengine...
  4. Jumanne Mwita

    Ilikuchukua muda gani mpaka kuunganishiwa Umeme na Tanesco?

    Mtaa ninamoishi una makazi mengi sana, tena watu hujenga kama vile wamavamia, ila ukweli ni kwamba watu wamejenga, siyo siri. Nikifikiria siku ninunua hapa, miji haikuwepo kabisa. Ilikuwa ni wazi, unaweza sema kwamba uwezekano wa watu kuja eneo lile haukuwepo, au isingechukua muda mfupi wawe...
  5. B

    Dogo amenikera mpaka nahisi kumchukia mazima

    Ipo hivi, kuna mdogo wangu mtoto wa mama mkubwa kaolewa Arusha, sasa akikwama mambo ya hapa na pale huwa namsaidia maana tumezoeana sana kwahiyo haonagi shida kunishirikisha akikwama. Sasa kilichonikera ni kwamba alinipigia simu akaomba nimsave kiasi fulani hivi, nikamwambia kwasasa nipo mbaya...
  6. Wadiz

    Vipipi kifua, Colgate na Asali mpaka sasa ndio viungo vya ukweli kwa shoo za kibabe zinazoacha legacy kwenye mapenzi

    Shalom, Ninawajibu wa kuwapa taarifa, kuwasanua, na kuwakumbusha kuhusu umuhimu wa kuyaenzi mapenzi katika namna yenye ubora, tija, yenye kuacha Alama ama Legacy katika mapenzi. Unapoingia kwenye mapenzi hakikisha unafahamu nyenzo muhimu zenye kuacha Alama ama Legacy kwenye Mapenzi...
  7. M

    Wachungaji wetu mtaendelea kutupumbaza mpaka lini?

    Kumekuwa na wimbi kubwa la wachungaji wanaojinasibu eti wana uwezo wa kutenda miujiza kama vile kuponya watu, nk. Binafsi naona huu ni Utapeli uliokomaa na kuvuka mipaka. Je, Utapeli huu utakomeshwa lini na nani wa kuukomesha?
  8. Chizi Maarifa

    Nimeshindwa waelewa Wairan mpaka sasa. Nilianza furahia. Iran imerusha Mafataki Israel?

    Wamerusha baruti kama 500 Israel. Jana nzima nlikuwa Al Jazeera kuangalia madhara ya hayo Makombola. Hamna. Sielewi ilikuwa Makombora au mafataki? Madhara nilitegemea yawe makubwa sana. Maana Makombora 300 plus si kitu kidogo wadau. Au nasema uongo? Lakini nashangaa bado makafir wanadunda...
  9. mwanamwana

    Afya ya akili: Ambaka kuku hadi kufa!

    Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Sunday, mkazi wa Kitongoji cha Misungwi Kata ya Usagara wilayani Misungwi mkoani Mwanza, anadaiwa kubaka kuku hadi kufa. Baadhi ya mashuhuda wa tukio hilo wamesema mtuhumiwa alimkamata kuku huyo ambaye alikuwa anataga kisha kumuingiza ndani ya nyumba yake...
  10. chiembe

    Rufiji: Haijaisha mpaka iishe, mamlaka ya hali ya hewa yatangaza mvua kubwa katika mikoa kadhaa, serikali ichukue tahadhari kuwahamisha wananchi

    Mbombo ngafu, haijaisha mpaka iishe, kama haitoshi kwa mafuriko yanayotokea sasa Rufiji, Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania imetangaza uwepo wa mvua kubwa katika maeneo kadhaa, pamoja na Mkoa wa Pwani. Tahadhari za awali ni pamoja na kuwaondoa wakazi wa mabondeni, misaada iwe standby Rufiji, na...
  11. Aramun

    Huyu mjamzito amenyanyaswa na wahudumu wa mwendokasi hapa Mbezi Mwisho mpaka akazimia

    Nianze na Swali: Watoto wa kuanzia miaka mingapi wanapaswa kulipa nauli za mwendokasi? Mida ya hii jioni huyu dada mjamzito alikuwa na mwanaye wakiwa wanasubiri mwendokasi za Kivukoni. Mtoto alikuwa na miaka kama mitano hivi. Alipoingia kwenye gari cha ajabu mhudumu anayescan ticket akawa...
  12. Bujibuji Simba Nyamaume

    Orodha ya nyimbo na watunzi za Juwata jazz toka mwaka 1977 mpaka mwaka 1997

    Mwk 1977 nyimbo 7 *Selemani *Sakina *Aziza *Dada nalia *Dawa ya mapenzi *Azimio la Arusha *Benk ya biashara Mwk 1978 nyimbo 6 *Mwana acha wizi: Mabera *Mpenzi Zalina: Bitchuka *Ccm: Mwanyiro *Nidhamu ya kazi: Bitchuka *Vijana tujitokeze: *Mariamu: Mabruk Khalfani Mwk 1979 nyimbo 5 *Uzuri si...
  13. MIXOLOGIST

    Mpaka mwaka 2050 hakutakuwa na watu wenye utimamu wa maadili

    Naandika kwa sikitiko kuu Nikiwa kwenye maoteo ya sikukuu yetu hii isiyotabirika, nikaamua nijivinjarii na mbuzi katoliki kwenye mikusanyiko ya watu wasio rasmi na huku nikihesabu baraka zangu. Kama kawaida nikasambaza upendo kwa mmama mmoja jirani yangu (desperado 2) nakuendelea kunywa balimi...
  14. PAZIA 3

    Kwanini mpaka sasa ratiba ya nusu fainali ya CAFCL haijatoka?

    Nyota njema huonekana asubuhi. Mpaka Sasa Caf hawajapanga tarehe ya nusu fainali ya club bingwa Africa. Hii inaashilia barua ya Yanga inafanyiwa kazi. Mungu si Athuman, lolote laweza kutokea.
  15. Ziroseventytwo

    Hali ya hewa itakavyokuwa kuanzia leo saa 3 usiku mpaka saa 7 usiku

    Natabiri kuanzia saa 3 usiku wa leo, wale nzi na vyura wa kijani popote pale hapa nchini, watakuwa kimya huku wale ngedere na simba wekundu wakipiga kelele za hapa na pale. Wakishangilia wenzao wakipata kipigo na mateso makali kama yale ya Yesu msalabani toka kwa Masandawani. Natabiri. kuanzia...
  16. Mjanja M1

    Ni siri gani kuhusu wewe ambayo hautaki watu wako wa karibu waijue?

    Usijali Mkuu, hapa tunatumia fake ID'S Fungukaaaaaaaaa!
  17. Mhaya

    Ukiwa na kipaji usikate tamaa, Push mpaka kieleweke

    Kuna dogo alikuwa anajiamini kuwa na kipaji kikali cha kurap. Ndoto yake ilikuwa ni kuja kuwa staa mmoja mkubwa sana nchini Marekani na duniani kwa ujumla. Hakujua ni kwa namna gani angetoka, akawa anafanya muziki wake chumbani kimyakimya, anatengeneza beat na kufanya ngoma kivaykevyake. Siku...
  18. BARD AI

    Waziri Mkuu: Tsh. Trilioni 10.69 zimetumika kujenga Reli ya SGR Dar mpaka Moro

    Serikali imeendelea kutoa fedha za utekelezaji wa ujenzi wa Reli ya Kati kwa kiwango cha Kimataifa (SGR) wa kilomita 1,219, kwa kutoa jumla ya Sh10.69 trilioni na kwa ujenzi wa kipande cha Dar es Salaam – Morogoro. Hayo yamesemwa leo Jumatano, Aprili 3, 2024 na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa...
  19. MIXOLOGIST

    Mpaka lini tutakuwa watu wa vitu vya mitumba?

    Swine Yaani nimekaa sehemu ya uwazi hivi mitaa ya nyumbani jimbo la muheshimiwa Gwaji Boy, kila mchuuzi anapitisha mitumba. Nimeangalia kwenye parking ya magari 80% ni mitumba Nacheck washkaji na mademu wao yaani wana vitambi na putty za kutosha usoni, yaani full mitumba Nimeletewa beer...
Back
Top Bottom