moyoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Crocodiletooth

    Bob Chacha Wangwe naye atema ya moyoni, aungana na Lissu, japo mbowe ndiye rafikiye mkubwa!

    Kwa Watanzania na Wanamageuzi wenye mapenzi mema na CHADEMA na Taifa letu. Kwa vijana wanaotamani kufanya siasa za Upinzani kwa miongo kadhaa ijayo. Lissu is the way! Hawezi kuwa mkamilifu kama Binadamu, lakini ana sifa muhimu kwa maslahi ya CHADEMA na Taifa. Kwa kizazi hiki watu wa aina yake ni...
  2. Roving Journalist

    LATRA CCC yakusanya maoni ya matumizi ya Kadi za Mwendokasi, una lolote? Bonyeza Link utoe ya moyoni

    Mamlaka ya Serikali ya Baraza la Ushauri Watumiaji Usafiri Ardhini - LATRA CCC (LATRA Consumer Consultative Council) imeanza kufanya utafiti na kuchukua maoni ya Wananchi na Wadau wengine kuhusu matumizi ya Kadi za Elekroniki zinazotumika katika usafiri wa Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka, Dar es...
  3. Meneja Wa Makampuni

    Tanzania yote tukimpenda Yesu Kristo tutakua na amani ya moyoni ambayo huleta amani ya nje (utulivu yaani bila ghasia)

    Amani inaanzia moyoni. Tukiwa na amani moyoni basi hata nje kutakua na amani. Ni jinsi gani watu wanaweza kumpenda Yesu Kristo. Njia pekee ni kwa kuhubiri habari za Yesu Kristo tu huko makanisani bila kubembeleza watumishi. Watumishi waambiwe ukweli ya kwamba ni Yesu Kristo pekee awezaye...
  4. S

    Jinsi msamaha kutoka moyoni unavyoweza kuwa tiba maishani

    Kwa binadamu yoyote ambae ana akili timamu ni jambo lisiloepukika kupitia changamoto ya dharau, kashfa , kebehi , matusi kutoka kwa majirani, marafiki au watu wetu wa karibu kama mke , mume au familia zetu. Tukiwa kama binadamu, hatuwezi kuzuia hali ya kuchukizwa , kuwa na nogwa au hasira...
  5. C

    Songa - Hisia za moyoni

    Sikiliza wimbo wa Songa wa 2016 unaitwa "Hisia za Moyoni" amefungua wimbo na hii line Imani ni bora kuliko dini https://youtu.be/ViQcp8HNqBc?si=yufnMpLDywK2N6Zp
  6. Tman900

    Kua na Furaha na Amani Moyoni ni Bora zaidi

    Kuna mtu mitaa ambayo ninafanya Biashara zangu, kwa mtazamo wangu amenizidi kwa kipato na Mali. Sijajua kuhusu Elimu ya Darasani. Ila nasikitika kua Huyo mtu amejiua, Sasa nikajiuliza kama pesa anayo, mke Familia Usafiri, na ni gari nzuri tifauti na yangu. Akili yangu ikawaza sana Why huyo...
  7. Melki Wamatukio

    Nikifikiria ujauzito mwili unaishiwa nguvu kwa kuwa sijampenda kutoka moyoni

    Hello JF Members, tuachane na utani. Let's discuss this serious issue Kuna binti wa jirani yangu hapa. Anatokea bush ndani ndani. Baada ya kuanzisha utani wa hapa na pale na kumgusia suala zima la kumuoa, kajikuta amedata. Siku ya jana mida ya saa 11 jioni wakati natoka mizungukoni, nikakuta...
  8. Jaji Mfawidhi

    Usimkopeshe mtu kuanzia leo 1-6-2024 mpaka Disemba 31, halafu utaona amani itavyorudi moyoni

    Ndugu Mtanganyika , usimkope ndugu yako hela kwa sababu kuna hatari ya kuharibu uhusiano wenu. Kukopa hela kwa ndugu kunaweza kusababisha migogoro na mvutano, hasa kama kuna tatizo la kulipa deni kwa wakati au kama kutakuwa na hali ya kutokuelewana juu ya masharti ya mkopo. Ndugu huyo utakuwa...
  9. M

    Mayele na Feisal wanateseka moyoni

    Wanateseka kuliko wachezaji wa Simba waliofungwa. NB: Hongera sana Inonga kwa kukwepa lawama
  10. Ivan Stepanov

    Kwa mara nyingine leo hili jambo limenifanya nijisikie vibaya sana moyoni

    Ni matumaini yangu kwamba mnaendelea vyema. kwa wale wenye changamoto, ni maombi yangu kwa Mwenyezi Mungu kwamba atufanyie wepesi hasa katika kipindi hiki tunapomalizia mfungo wa Kwaresma na tunapoendelea na Ramadhani wengine. Ni jambo nimelishuhudia kituo cha dala dala leo asubuh katika...
  11. B

    Zitto Kabwe: Sitagombea tena Uongozi ndani ya ACT WAZALENDO, najikita kwenye Ubunge. Malengo yangu ni kuwa Rais wa Tanzania

    Akiongea na redio hiyo ya kimataifa jana mchana, mwanasiasa huyo amefunguka: Kwamba: 1. Ameamua kunga'atuka kwa mujibu wa katiba akikiacha chama kikiwa katika hali bora zaidi kuliko wakati wowote. 2. Hatarejea kwenye uongozi wa chama hicho kama katiba inavyotaka, kwani muda wake umekwisha...
  12. UKWAJU WA KITAMBO

    Album ya Mkuki Moyoni ya Afande Sele

    AFANDE WA MOROGORO MFALME WA TANZANIA. Toka mwaka 2002 mpaka sasa 2022 ni miaka 20 imepita toka album ya "mkuki moyoni" toka kwa Afande Sele izame sokoni. Mwaka 2004 hii album kwa uzito wa nyimo zake ilitosha kabisa kumtangaza mfalme wa rhymes ni Afande Sele. Mkuki moyoni ni miongoni mwa...
  13. T

    Lipi lililo sahihi kufanywa na rafikie Lowassa.. Aendelee na ukimya au aongee?

    Wataalamu wa sayansi ya saikolojia wanashauri nini hapa. Tuhuma za usaliti hazikomi. siamini kabisa kama ana amani moyoni, na kwa umri alionao sasa naona kama ameporomoka ghafla. Sioni kama heshima yake ipo tena. Kifo cha rakiki yake naona kimemnyanganya heshima yake yote. Ana uwezo wa kukemea...
  14. Jaji Mfawidhi

    Lowassa awaachia watu hatia moyoni, Watubu wapi?

    LOWASA: Mfupi wa Maisha na Mrefu wa Historia. Edward Lowasa ameondoka. Yuko mahali salama pasipo na mgawo wa umeme wala usanii wetu wa Kibongo. Amepumzika baada ya kazi ngumu. Anapokufa mtu mzito, kuna makundi makuu matatu. - Wanaolia sana -Wanaofurahia sana -Wasiojua kama walie au wafurahie...
  15. Von Bismarck

    Kila ninapofanya jambo hili napata amani sana Moyoni

    Habari Watanzania? Moja kwa moja kwenye mada! Nimekuwa nachangia damu mara kwa mara kadiri ninapojisikia bila hata shinikizo au ushawishi wowote. Hii tabia niliianza nikiwa nasoma kidato cha nne mpaka leo. Ukweli ni kwamba kila ninapochangia Damu, moyo wangu unapata amani achilia mbali...
  16. Mjanja M1

    Fatma Karume atoa ya moyoni kuhusu aliekuwa Mume wake

    Kwenye pitapita zangu mtandaoni nikakutana na comment ya Fatma Karume akijibu maneno ya mdau kuwa "Shangazi huna ndoa, tulia". Inaonekana Shangazi aliumizwa sana na matukio ya mume wake ndio maana akaamua kuiacha Ndoa yake. Wale waliokuwa wanasema Shangazi ameachwa kwasababu ya Ujeuri na...
  17. Money Penny

    Hii ndiyo sababu ya nguvu za kiume kupungua au kukosekana Kwa wanaume wengi

    Mmesikia nyie wanaume Ukimuangalia mwanamke Kwa kumtamani ushazini nae moyoni Tunaomba mpunguze idadi ya waenda Motoni ACHENI ngono na tamaa za mwili Ndio maana nguvu za kiume zinapungua sana Tunaomba wadada muache kuvaa uchi ili wanaume wabaki kuwa marijali
  18. Petro Masunga

    SoC03 Haya ndiyo yalikuwa moyoni mwangu kuhusu mabadiliko na uwajibikaji

    Naitazamia nchi ya watu wazima, huku nikiwa na kiasi cha tashwishi. na kujiuliza maswali, kama nchi ya watu wazima tunataka nini? hivi mwelekeo wetu ni upi? kiongozi ni yule, na mwongozwa ni huyu. najaribu kuwaweka kwenye kundi moja, lakini hawawekeki. hivyo niliona kila mmoja akiendelea na njia...
  19. Mwl.RCT

    SoC03 "Mwiba wa mti huonekana, wa moyoni hauonekani"

    MWIBA WA MTI HUONEKANA, WA MOYONI HAUONEKANI Imeandikwa na: MwlRCT UTANGULIZI Methali ni usemi mfupi ambao una ujumbe wa maadili. Methali nyingi zina ujumbe wa kina ambao unaweza kusaidia katika kuelewa maisha na kuwa na maadili mema. Moja ya methali maarufu ni "Mwiba wa mti huonekana, wa...
Back
Top Bottom