Tunaombeni hizo mbinu wakuu Hali ni Tete nilichukua mkopo wa Bayport baada ya huu mfumo wa ESS kuja saivi imekuwa ngumu kuuza deni
Mnatumia mbinu gani jamani.
Balance ya mkopo ni 1,800,000 na Makato Kila mwezi ni 62000 nifanyaje hapa wakuu, Nina uhitaji sana na hela kwa muda huu na njia pekee...
Kushindwa kulipa deni hakuhalalishi ukiukaji wa haki za msingi za mkopaji. Mkopaji pamoja na kuwa ameshindwa kulipa deni kwasababu zozote zile bado analindwa na sheria katika haki alizonazo.
Kuanzia kushindwa kufanya marejesho mpaka kuuza mali ya mdeni kwa nnada kuna taratibu za kisheiria...
Mimi ni mtumishi katika mkoa mmoja hapa Tanzania, Mwezi wa 5 mwaka Jana niliomba mkopo katika benki ya CRDB, lakini wakachelewa kunipatia mkopo wakisema mwajili wangu hakuidhinisha makato,mwisho nikawaomba tuahilishe zoezi la mkopo na tukakubaliana.
Ajabu ni kuwa kumbe Mwajili aliidhinisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.