Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande
Dar es Salaam– Sekta ya michezo ya kubahatisha nchini Tanzania imepiga hatua kubwa baada ya kutangazwa rasmi kuhusu ujio rasmi wa Bahati Nasibu ya Taifa Tanzania. Mradi huu ambao umepata baraka zote kutoka kwa Mhe. Hamad Chande, Naibu Waziri wa...
Salamu Wakuu.
Niende moja kwa moja bila kuwachosha wala kuwapotezea muda.
Hili suala la Redio na Tv na kamari sasa ishakua kero yaani unakuta kipindi cha Redio au kipindi cha Televisheni Mtangazaji mwanzo mpaka mwisho hakuna anachotangaza chochote kipindi kimepewa Jina jingine ila...
Wakati fulani miaka kadhaa iliyopita, niliweka dau langu kubwa zaidi kwenye betting 1,000,000 TZS kwenye option ya draw kwenye mechi tatu tofauti.
Nilijiamini sana kwamba hii ilikuwa tiketi yangu ya ushindi mkubwa. Mechi mbili zilitoka tofauti kabisa na nilivyotarajia, na ndani ya dakika...
HABARI Walimu katika wilaya ya Mlele mkoani Katavi, wametakiwa kujiepusha na tabia ya kucheza michezo ya kubeti na kuchukua mikopo kandamizi ambayo imekuwa ikishusha heshima ya Mwalimu na utumishi wa umma.
Ukiwasha simu tu mara mimeseji ya matangazo ya kamari hiyo. Hongera umeshinda sh. kadhaa, mara mizunguko ya kasino huku hata huwafahamu. Au hawa wa mikopo mtandaoni wamehamishia majeshi kwenye kamari?
Halafu wasanii wa vichekesho ndio waenezaji wa upuuzi wowote hapa nchini.
Soma Pia: Ushauri...
Shalom Shalom vijana kwa wazee, mabibi na mabwana. Amani iwe nanyi.
Nina swali fupi ila muhimu ningependa kupata mwongozo wa kisheria kwa wale wenye ufahamu wa jambo hili.
Chukulia umeshinda katika Jackpot katika Betting, lakini kutokana na sababu mbalimbali za kiusalama, ulinzi na ustawi wa...
Naliomba Bunge tunapofikia kujadili ustawi wa jamii michezo ya kubahatisha toeni sauti Taifa linaangamia, hata kama Mwigulu anaona ni sawa tu kwa kuwa pesa inaingia, faida ya pesa inayopatikana na madhara ya michezo hiyo kwa Taifa ni ni sawa na tone.
Mwenyezi Mungu ameharamisha betting kwa...
Salaam,Shalom!!
Twende haraka kwenye mada, biashara ya Michezo ya kubahatisha Kwa sasa imetapakaa Nchi nzima Hadi vijijini, na sijawahi kushuhudia wahusika wakifunga biashara hizo Kwa kufilisika,
Betting haihitaji gharama kubwa katika uwekezaji, akishanunua mashine na kujenga ofisi hapo hapo...
Nimeinukuu toka kwa Millard Ayo.
Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania (GBT) imetimiza miaka 20 tangu kuanzishwa kwake July 01, 2003 ambapo imesema licha kufanikiwa kuchangia pato la Taifa kufikia Tsh. bilioni 170.43 kwa mwaka, ndani ya miaka hiyo pia imefanikiwa kuzalisha ajira 25,000...
Makampuni ya michezo ya kubahatisha yameendelea kuongezeka kwa kasi sana nchini Tanzania kuliko nchi nyingine za ukanda wa Afrika Mashariki.
Ongezeko hili linachagizwa na ukweli usiopingika kuwa kumiliki kampuni ya michezo ya kubahatisha ndio njia rahisi zaidi ya kuvuna pesa kutoka kwa watu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.