mfumo dume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Pre GE2025 Rais Samia afunguka ya Moyoni: Kuna waliosema tuna Rais wa kuambiwa afanye na mwenye maamuzi ya Kitchen Party, hatuna Rais tuna House girl…

    Rais Samia afunguka ya Moyoni kuhusu kauli za Wahafidhina wa mfumo dume ambao hawakuwa na imani naye wakati anachukua nafasi ya Urais na waliothubutu kusema "Tuna Rais wakuambiwa afanye na mwenye maamuzi ya Kitchen Party" wakati akizungumzia nafasi ya Mwanamke katika Uongozi katika Siasa...
  2. Mi mi

    Pre GE2025 Tusilalamike kuna mfumo dume katika siasa, Vyeo vya kijinsia naomba vifutwe

    Tusiishie kulalamika kuwa ndani ya siasa kumejaa mfumo dude na kuanza kuwapa watu vyeo maalum kwa kutazama jinsia zao mfano viti maalum. Tujiulize maswali halafu kisha tufute mfumo wa viti maalum tuache wenye uwezo wa siasa wazifanye na wawanie nafasi na washinde na sio jinsia kutumika kama...
  3. Fredrick Nwaka

    Uzingativu wa jinsia: Mfumo dume bado kikwazo katika mitandao ya kijamii

    UZINGATIVU WA JINSIA: MFUMO DUME BADO KIKWAZO KATIKA MITANDAO YA KIJAMII Utamaduni wa mfumo dume katika jamii umeelezwa ni mojawapo ya sababu za kutozingatia uandishi wa masuala ya kijinsia katika kuripoti habari wakati huu ambao idadi kubwa ya vijana nchini Tanzania wakitumia mitandao ya...
  4. Cannabis

    Catherine Ruge ameuita mfumo mpya wa uongozi wa CHADEMA kuwa ni mfumo dume "patriarchy"

    Catherine Ruge ameuita mfumo mpya wa uongozi wa CHADEMA kuwa ni mfumo dume baada ya picha iliyoonyesha wanaume tu wakiwa wamesimama kwenye jukwaa kuu katika mkutano uliomalizika jana Mlimani city. Picha hiyo iliwekwa na Janeth Rithe ambaye ni mwenyekiti wa ngome ya wanawake wa chama cha ACT...
  5. Pascal Mayalla

    Je, Wajua? Wamarekani ni Wabaguzi wa Kichinichini. Wanaendekeza Mfumo Dume, Ubaguzi wa Jinsia, Racism na Kuwabagua Wahamiaji

    Wanabodi, Niko hapa jijini Washington DC, mji mkuu wa Marekani, pamoja na mambo mengine, nimepata fursa ya kuushuhudia uchaguzi wa Marekani, ambapo nchi ya Marekani inaitwa The Biggest Democracy kumaanisha ni demokrasia kubwa kwasababu ilipata uhuru wake Julai 4, mwaka 1776 lakini Wamarekani ni...
  6. G

    Hakuna ubaguzi wa rangi wala mfumo dume, Democrats wameshindwa kihalali kwasababu wameiharibu mno marekani na wangeharibu zaidi wangeshinda

    Kilichopigiwa kura zaidi ni sera ya kuilinda Marekani, Sera za Democrats zimeiharibu sana Marekani, Haya ni baadhi ya mambo waliyofanya Bidden na Haris kwenye awamu yao, Trump kashinda kwasababu kaapa anaenda kuyafuta na kuyarekebisha. Mfumuko wa bei na maisha kuwa juu, vyuma vimekaza...
  7. Z

    Kubwagwa kwa Kamala Harris, wamerekani bado wamekumbatia mfumo dume

    Uchaguzi wa Marekani wa mwaka 2016 kati ya Hilary Cliton na Trump, Hilary alibwagwa. Mwaka huu 2024 uchaguzi kati ya Trumph na Kamala Haris, Kamala kabwagwa. Ni wazi kabisa kuwa wamarekani bado hawawaamini wanawake kwenye nafasi za uongozi wa juu, bado wamekumbatia mfume dume.
  8. Loading failed

    Ni ipi njia nzuri ya kuishi na mwanamke anayeonesha dalili zakutaka kumtawala mwanaume wake?

    Ndugu zangu wana Jf Salaam sana. Ndugu zangu kweli mimi nilikua mkereketwa wa chama cha wanaokataa ndoa ila mwisho wa siku niliona huwezi kuwa rijali na ukakataa kuishi na mwanamke . Nilikusanya akili zangu na kuamua kuoa sasa leo hii nipo hapa kuomba ushauri wa namna nzuri ya kuishi na...
  9. A

    SoC04 Mfumo dume wa elimu yetu

    Kijana: "Nimechoka na huu mfumo dume unaopendelea mitihani kuliko stadi halisi za maisha. Hakuna uhusiano kati ya kufaulu mitihani na kuwa na mafanikio." Elimu: "Naelewa hisia zako, kijana. Lakini ni muhimu kutambua kuwa mfumo wa elimu haupaswi kupimwa tu kwa jinsi unavyopenda mitihani...
  10. Jadda

    Mimi naona dunia iachane na mfumo dume na rasmi 50/50 ishike hatamu

    Ndio, kuna msemo unasema "with great authority comes great responsibility" yani kila mamlaka makubwa huambatana na majukumu makubwa, lakini jambo la kushangaza ni kwamba wanaume wengi hasa wa kiafrika wanayataka hayo mamlaka tu ila majukumu hawayataki Mimi naona ifike pahala dunia iachane rasmi...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    Kwenye mfumo dume hakuna kitu kinaitwa Ushoga

    KWENYE MFUMO DUME HAKUNA KITU INAITWA USHOGA. Anaandika, Robert Heriel Kuhani. Nimeona andiko la Kaka Mshana Jr akionesha masikitiko yake kuhusu janga la ushoga ambalo kwa kiasi linaongezeka hapa nchini. Nikaona nami niseme KITU. Familia, koo, makabila na mataifa yanayoendekeza mfumo dume...
  12. Alex Fredrick

    KKKT acheni Mfumo Dume

    Miaka ya nyuma na udogo wangu nimekuwa nikiabudu KKKT Usharika wa Kariakoo. Niliacha kuabudu KKKT mwaka 2008 nadhani kipindi hicho Kimaro ndo kapewa Usharika wa Kariakoo.. Niliondoka baada ya kuona Ibada zimekuwa za kawaida sana sio za kuongozwa na Roho kama Biblia inavyotaka. Mwanzilishi wa...
  13. K

    CCM inayoongozwa na mwanamke bado ina mfumo dume

    Wakati napitia pitia orodha ya walioteuliwa kuwania nafasi mbalimbali za Chama Cha Mapinduzi, (CCM), ghafla nikakutana na nafasi mbili ambazo wagiombea wake ngazi ya wenyeviti ni wanaume watupu na nagazi ya Makamu Mwenyekiti ni wanawake watupu. Katika kutafakari endapo jambo hilo limetokea kwa...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    Sakata la kifo cha katibu wa Masanja na kile alichotuachia

    SAKATA LA KIFO CHA KATIBU NA KILE ALICHOTUACHIA. Na Robert Heriel Ishu hii inasikitisha na kuhuzunisha mno. Ni tukio baya pia linalofedhehesha. Tukio la unyama na udhalilishaji uliovuka mipaka kuvua Utu WA Mtu. Unapozungumzia kutoka na Mke WA Mtu sio Jambo la mchezo. Kila mtu anajua Kwa...
  15. IKARAHANSI

    Unaelewa nini kuhusu mfumo dume?

    Hivi karibuni kumekuwepo na wimbi la watu wengi kupinga mfumo dume kwa kusema, eti uondolewe, hawautaki na ni mfumo wa kikandamizaji. Hii imetokana na propaganda za mashirika ya Ulaya na Marekani kupitia mashirika yasiyo ya kiserikali (NGO'S). Binafsi nimefanya utafiti na kugundua kuwa baadhi...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    Hakuna kuwa katikati, ni aidha ufuate mfumo jike au Mfumo Dume

    Kwema Wakuu! Hapa Duniani ipo mifumo miwili tuu inayoongoza dunia. Hakuna mfumo wa kati. Ni aidha uchague Mfumo dume au uwe WA mfumo Dume. Ni fahari Kwa mwanamke kuchagua mfumo wowote, aidha achague mfumo jike au dume kwake vyote ni Faida. Tena akichagua mfumo dume ndio hupewa heshima na...
  17. Mshana Jr

    Kelele za mfumo dume hazisikiki tena

    Ni kama vile zimekufa kifo cha asili. Kelele za Uwakilishi wa 50/50 kwenye nafasi mbalimbali za uongozi nazo zimetokomea kizani. Misemo maarufu ya wanawake wanaweza haisikiki tena! Huu ni wakati wao sasa. Na hakuna wakati mwingine zaidi ya huu. ITS NOW OR NEVER! No wakati wa kuthibitisha kwa...
  18. Mkulungwa01

    Vijana wangu msiuache mfumo dume

    Vijana wangu, nawahurumia mno na dunia hii tuliyopo sasa. Mfumo dume si kupiga piga wala kunyanyasa wanawake au kutosomesha watoto wa kike, mfumo dume si kutoa maneno ya udhalilishaji kwa wanawake unapolewa. Mfumo dume ni pamoja na kuheshimu wanawake na kuwalinda. Mfumo dume ni nini? Ili...
  19. Gwajima

    Mimi ni muumini wa mfumo Dume

    Habarini za leo ndugu zangu, nimetafakari sana na katika pitapita zangu kwenye maktaba mbalimbali nimejiridhisha bila shaka kuwa nafasi za uongozi wa juu ni lazima zishikwe na mwanaume ili mambo yaende. Na hakuna ushahidi duniani wa nchi yoyote iliyowahi kufanya revolution yoyote ya maana...
Back
Top Bottom