HOUSE FOR SALE;
LOCATION: njia panda ya msumi mita400 kutoka lami nyumba inaitaji umaliziaji
SQM: 730
Nyumba ina vyumba 6 master,3
PRICE: 350 negotiable
UMILIKI: Hati Miliki. Ipo mwishoni
Sitting room (2)
Parking,
Kitchen,
Dining room (2)
Public toilet nje,
Public toilet ndani...
Wakati Wananchi wenzetu wa maeneo mbalimbali wakilalamika adha ya kukosa huduma ya maji, huku kwetu Wakazi wa Mbezi Makabe hadi Msumi hali siyo nzuri na ni kama tumeshazoea hali hiyo.
Tunapata adha ya kukosa maji japokuwa tuna mabomba ya DAWASA, Maji yanaweza yasitoke hata wiki tatu bila...
Habari wanajamvi, naomba kujuzwa shule nzuri yenye nafasi ya kuhamia ya english medium iliyopo karibu na mbezi makabe.
Ninataka kuwahamishia watoto wangu wawili, darasa la nne mwakani na darasa la pili. pia mdogo wao anatarajia kuanza chekechea ya watoto. Iwe na matokeo mazuri na malezi...
Habari nahitaji eneo dogo la ujenzi, maeneo ya makabe njia panda maeneo hayo hata kama unaingia kidogo siyo mbaya.
Sihitaji dalali,budget Milion4 charp
No yangu 06521326
Katika vitu vimenishangaza ni hili, yaani Mbezi pamoja na umaarufu wote huu na kuwekewa hadi Stand Kuu ya mabasi ya kimataifa bado maji safi hayajafika.
Ukizunguka nyuma kidogo ya stendi Mbezi Makabe hatua chache tu watu wanaishi kama vijijini ambako huduma za maji wanajuaga zipo tu mjini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.