Mwana JF Steven Msaki ambaye ID yake siikumbuki ika najua ni member humu amefariki dunia
Kwa waliokulia masaki miaka ya 2000 kushuka chini,au Mbezi Beach miaka ya 2000 kuendlea wanamfahamu huyu mwamba
Alikulia familia ya kishua mboga saba tangu miaka ya 90s,mzee wake alikywa Don sana lakini...
Wakuu,
Msemaji wa Mbezi Beach leo nimeenda kuboresha taarifa zangu kwenye daftari kudumu la wapiga kura katika Ofisi ya Serikali ya Mtaa Mbezi Beach B. Wakati niko nasubiri kuandikishwa ilikuwa zamu ya dada fulani kuandikishwa. Sasa wakati anaandikishwa huyo kaka kwenye picha hapo pembeni...
Wakuu,
Inakribia wiki sasa Mbezi Beach hakuna maji, majibu ni yale yale tumepokea tunashughulikia/tunafanyia kazi, mara mafundi wanatoa upepo, lakini hakuna maji.
Halafu bili ikija laki😂😂. Mwaka huu kama ni mgao mnatumoa, yaani unapigwa kila upande, maji hupati na bili inakuja ya maana...
650k USD
Maongezi yapo tuwasiliane 0769619500 rasta majumba
Mita 600 kutoka beach
Ipo wa mtaa wa pili kutoka mwai kibaki road
Ukiwa gorofa ya kwanza unaona bahari
Angalizo tu
HABARINI za asubuhi kwa ujumla
Naamini wote mmeamka wazima WA afya
Najua hili n kwa wote WANAHITAJI wafanyakazi WA nyumbani
Lakini haswaa wale NDUGU ZANGU WA kawe mbezi beach makonde nk mnaoendaga pale kawe kutafuta wafanyakazi WA Malawi WA kuwasaidia nyumban
Aka wanyasa
Hawa watu...
Habari maboss.
Hiki kiwanja kipo Mbezi Beach Tangi Bovu.
Kutoka eneo la kiwanja hadi barabara kuu ya bagamoyo Road ni umbali wa Mita 200
Kiwanja hiki kilikuwa ni kiwanda cha mkonge na bado kina hati kwajili ya matumizi ya kiwanda.
Kiwanja hiki kinafaa kwajili ya kwajili ya matumizi ya...
KIWANJA HIKI HAPA KINAFAA SANAA KWA MAKAZI NA HATA BIASHARA UJENZI WA APARTMENTS
Kiwanja kipo ushuani sanaa, Ni mbezi Beach kwa Mwamnyange
Mitaa safi, ukijenga nyumba ya kuishi au Ukijenga apartments basi zitakuletea faida kwa haraka sana Ukubwa wa kiwanja ni sqm 900
Kina Hati safi
Bei milion...
Mrejesho wa Taarifa ya Jamii Forums
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), kwa kushirikiana na Mkandarasi wa mradi wa Usafi wa Mazingira Mbezi Beach kampuni ya Beijing Construction Engineering Group Ltd (BCEG) pamoja na Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA)...
Wakuu salam,
Sijui kwa maeneo mengine ila huku mitaa ya Mbezi Beach kwa Zena kuna maboresho ya mfumo ya maji taka ambayo yanafanywa kwa baadhi ya nyumba wanaotaka kuwekewa mfumo huo. Walianza kuweka chemba barabarani na sasa wanaunganisha mifumo hiyo.
Hapa ni kwa mara ya kwanza baada kuweka...
Wakuu,
Msione kila siku napiga kelele mkadhani nazingua, leo naweka baadhi ya screenshot muone majibu ya DAWASA ya kipuuzi na wananchi tunavyolilia huduma utafikiri tunaipata bure!
Pia soma: √ - Waziri Aweso: Tatizo la Maji Mbezi Beach Mkoani Dar Es Salaam limeisha. Kulitokea Hitilafu
Kweli...
Wakuu,
Nishachoka kuja kulalamikia maji hapa, mnatufanya kama watoto tunapewa pipi tumun'unye halafu mnatupokonya. Yaani kama vile sasa hivi tupo kwenye mgao, na maji bado yana harufu mbaya, ukiwatafuta majibu ni yale yale, maji yameruhusiwa yatatoka!
Ahhh Wizara ya Maji embu pitia huko nyuma...
PLOT FOR SALE MBWENI
Plot safi kabisa hii hapa Inauzwa
Iko Mbweni mpiji inagusa lami
Ni sqm 1000
📌🗒Ina Hati safi kabisa
📌Ni pazuri sanaa Kuna nyumba pia kama unavyoiona kwenye picha hapo
📌Plot inataka milion 150 maongez kidogo
NB; ZINGATIA PLOT INAGUSA BARABARA KUBWA YA LAMI, PATAFAA SANAA...
Jeshi la Polisi
Napenda kutoa taarifa kuhusu eneo la Kawe na Mbezi Beach, maarufu kama "Makazi Mapya," ambalo limekuwa kimbilio la wahalifu.
Eneo hili linatumika kama maficho ya wahalifu wanaovuta bangi na kuuza madawa ya kulevya. Aidha, kuna shughuli za uchimbaji wa mchanga zinazoendelea...
Wakuu kwema,
Nilikuja na uzi hapa baada ya kukosa maji karibu siku 5 bila taarifa yoyote, baada ya malalamiko kupelekwa Insta maji yakaanza kutoka, lakini toka yaanze kutoka presha ni ile ile, ndogo sana.
Mpaka leo hii maji yanatoka kidogo kidogo sana kiasi kwamba hata kama mtu una tenki la...
Wakuu, kumbe vitu vikiruka kupitia JF mambo yanaenda eeeh? Baada ya JF kurusha maji yamerejea, hapa ndio pa kuleta kero zetu Wakuu.
Tukaoge vizuri na kuosha vyombo vichafu vya siku mbili.
JF iishi milele🔥🔥🔥
Pia soma: KERO - Mbezi Beach kwa Zena hatuna maji siku ya 3 leo tatizo ni nini?
Wakuu kwema?
Leo ni siku ya tatu Mbezi Beach kwa Zena mtaa wa Mbezi Beach B hatuna maji.
Hakuna taarifa yoyote tuliyopewa juu ya mgao huu, mnafikiri tuko kwenye mazingira gani DAWASA?
Ni kama mmetuamulia wakazi wa huku, haipiti muda lazima tupate changamoto ya kutokuwa na maji kwa siku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.