Fiston Kalala Mayele.
Aondoka RASMI YANGA kuelekea pyramid FC.
KWAHERI Mayele Kila LAKHERI huko uendako.
MAMBO KUMI YA FISTON MAYELE.
1.Ulikuwa mshambuliaji Bora.
2. Ulikuwa mchezaji unayejituma mno.
3. Ulikuwa mchezaji unaejitoa sana.
4.Ulikuwa mchezaji MWENYE Nidhamu mno.
5. Ulikuwa...
Mayele alipwe milioni 50 kwa sababu gani? Kwa ajili ya kugombania shilingi ngapi? kwa kitu gani anacho kwenda kuifanyia Yanga? Huyu huyu Mayele aliye shindwa kuipeleka Yanga kwenye makundi Club bingwa Afrika? Yanga acheni utoto, chukueni hiyo bilioni moja na nusu ya hao mafala waachieni mtu wao...
Mimi kama shabiki kindaki ndani wa Mo 29, nimekubali yaishe, mwaka huu tunapigwa tena. Hasira zangu ntamalizia kwa Ahmed Ally😥
Tangu aingie anatujaza matumaini hewa tu, boss nayeye amechoka na anasema atakata tamaa soon, imefika wakati wa kujitafakari.
Wenye Akili na tunaojua mengi na Kufukunyua yaliyojificha akina GENTAMIYCINE tuliposema habaki na anaondoka si mlitutukana hapa JamiiForums?
Haya litukaneni sasa na Gazeti la Nipashe ambalo Mhariri wake Mkuu na yule wa Michezo wote ni wana Yanga SC lia lia.
Safari Njema huko uendako Mayele.
Klabu ya Misri iko tayari kuipa Yanga SC Billioni 2 na Kumpa Mshahara wa Tsh Milioni 85 za Kitanzania kwa Mwezi.
Klabu nyingine huko Saudi Arabia iko tayari kuipa Yanga SC Billioni 1.5 na Mshahara wa Tsh Milioni 70 kwa Mwezi.
Ni Mwendawazimu tu pekee ndiyo ataziacha hizi Ofa ili abakie...
Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said hivi unajua kuwa umewakwaza mno 99% ya wana Yanga SC ambao hadi sasa wako roho juu kujua kama Mayele anabakia au anaondoka?
Hapo kwa Gift Fred hakuna Mchezaji.
Siwezi kulipwa milioni tano tu nikala ugali na sukari nikakupa pasi ili ufunge.
Kocha Nabi alikuwa analipwa milioni 35, mzee wa kutetema sasa rasmi kuwa mchezaji ghali Afrika Mashariki nzima.
Ila kwa starehe za Dar es Salaam msimu ujao akifilisha goli 12 mniite fala.
More money poor performance.
Klabu ya Yanga imekuwa na mfululizo wa mikutano na mchezaji wao Mayele, mchezaji ambaye tumeaminishwa bado ni hatimiliki ya Yanga kwa mwaka mmoja ujao. Hivyo basi Yanga ina mamlaka ya kumtumia Mayele kwa mshahara wanaomlipa sasa kwa mwaka mmoja ujao. Na walishafanya hivyo kwa Fei Toto kwani...
Alipokuwa ana kila dalili za Kutua Kwenu huyu Fabrice Ngoma mlikuwa mkimsifia sana katika Kurasa zenu, Watangazaji na Wachambuzi wenu leo hii mmemkosa kwa Kunyang'anywa Tonge Mdomoni Kimafia na Wakali wa Umafia Tanzania Simba SC na atachezea Simba SC mmebadilika na mnaanza Kumkandia.
Wanafiki...
Akikubali kwenda South Africa au Uarabuni ambako atalipwa kati ya Tsh Milioni 70 hadi 85 za Kitanzania kwa Mwezi nitamuona ana Akili ( Kipanga )
Akikubali kubakia Yanga SC kwa Mshahara wa Tsh Milioni 30 au Milioni 35 kwa Mwezi aliyowekewa pamoja na Jimama lake Jipya la Magomeni ( Mfanyabiashara...
Siku chache baada ya Simba kuvamia vijiji mbalimbali katika Kata ya Maboga wilayani iringa,doria iliyofanywa kwa usaidizi wa mbwa anayeitwa Mayele, yatajwa kuleta mafanikio baada ya kuonekana kwa Simba huyo.
lets give credit kwa mbwa mayele😂😂😂.
===========
Siku chache baada ya Simba kuvamia...
Unazi pembeni!!!
Nikiwa kama mwana msimbazi nikiri tu kuwa mshambuliaji wa timu ya Taifa DRC, Fiston Kalala Mayele hastahili kucheza tena soka barani Afrika.
Nimeicheki game yao leo dhidi ya Gabon, jamaa amefunga goli safi sana na kwa kiwango chake, kama akipata mawakala wazuri basi tutegemee...
Wakati maumivu ya kuondoka kwa "Profesa" Nabi bado hayajapoa, kumekuwa na uvumi kuwa kuna uwezekano baadhi ya wachezaji akiwemo Fiston Mayele kujiunga naye huko alipokwenda.
Ukweli ni kuwa Mayele pamoja na Aziz Ki ni baadhi ya wachezaji aliokuwa anawavumilia tu kutokana na kuwa ni vipenzi vya...
Nimeona nami Mjukuu wa Chief Hangaya nichangie kidogo katika hili kwani nimeona wachambuzi njaa wengi pamoja na yule semaji lenye mikosi Tanzania a.k.a Popoma la MUM bwana Ahamed Ally Kisauti wanalaumu na kusema Kibabu, kazee ka kulalamika Ntibanzokinza anastahili u MVP.
Kitakwimu Mayele...
Hivi nyie mashabiki wa uto mnaakili kweli? Au ndio kale kamsemo kuwa wenye akili ni wawili tu hapa jangwani?
Kwa taarifa yenu saidoo ndiyo top score takwimu zote zinambeba, mzee wa kutingisha manyonyo apite hivi.
Mpaka sasa ubao wa wafungaji bora NBC Premier league unasoma hivi:
𝗠𝗔𝗬𝗘𝗟𝗘➖16
𝗦𝗔𝗜𝗗𝗢➖15
Leo Mayele atakuwa dimbani dhidi ya TZ Prisons huku Saido atakuwa dimbani dhidi ya Coastal Union. Unatabiri nini?
Kula Odds za Sokabet hizo Upige Mkwanja!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.