masharti magumu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Tetesi: Fei Toto aweka Masharti magumu kwa Azam, anataka Tsh Milioni 70 kila Mwezi ili asaini Mkataba Mpya

    Fei Toto, mchezaji maarufu wa Azam na Taifa Stars, amewaambia baadhi ya viongozi wa klabu hiyo kwamba atasaini mkataba mpya endapo wataweza kumlipa Tsh 70 milioni kwa mwezi. Hata hivyo, kiasi hicho kinaonekana kuwa kigumu kwa klabu ya Azam. Iwapo klabu hiyo itakubali kulipa kiasi hicho, Feisal...
  2. Waufukweni

    Tetesi: Wydad Casablanca wamrudia Clement Mzize, Ofa ya zaidi ya Tsh. Bilioni 2, na Masharti Magumu

    Unaambiwa, vigogo wa soka la Morocco, Wydad Casablanca, hawajakata tamaa. Wakifukuzia saini ya mshambuliaji wa Taifa Stars na Yanga SC, Clement Mzize. Hii ni baada ya klabu yake kuweka wazi kuwa hajupo sokoni. Lakini Wydad hawajali, hawasikii wala hawaogopi—wanaendelea kushindilia mlango ambao...
  3. Nyafwili

    Huyu mchepuko ana masharti magumu sana, ni binadamu halisi kweli au nimevamia kambi? 🤔

    Habari za majukumu wana JF, poleni na mihangaiko ya hapa na pale. 🤝🤝 - Watu wanaweza kuwa na tabia na matarajio tofauti sana katika uhusiano, na mara nyingi hutokea kwamba baadhi yao huweka masharti magumu kwa sababu zao binafsi. Au Inawezekana mtu huyu anafanya hivyo ili kujilinda kutokana na...
  4. Stephano Mgendanyi

    Waziri Mavunde Atoa Masharti Magumu ya Msaada wa Kiufundi kwa Wawekezaji

    - Ni Kampuni ya Xin Tai Mining Company Limited - Awataka wafanye utafiti na kuongeza thamani kama walivyoainisha kwenye mkataba - Serikali kutoa utaratibu mpya juu ya msaada wa kiufundi(technical support) Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde ameitaka Kampuni ya Xin Tai Mining Company...
  5. K

    Udahili wa Walimu wapya usitishwe au kuwekewa masharti magumu

    Kuna idadi kubwa ya waalimu graduates kutoka vyuo mbalimbali alafu Ajira za ualimu zimekuwa finyu. Kukabiliana na janga hili la waalimu jobless yafuatayo yafanyike: 1. Serikali iache mara moja kuweka kipaumbele cha mikopo ya elimu ya juu kwa watu wanaosomea ualimu badala yake ikopeshe vijana...
  6. Sky Eclat

    Utajiri wa ushirikina una masharti magumu sana

    Bwa Uyoga alikua mfanyabiashara wa kawaida lakini huku Kwamtogole tulimuona wa mboga saba, alikua na usafiri wa IST na mke wake hakupanda basi kwenda sokoni. Watoto walisoma English Medium. Katika kupambana na maisha alikutana na fundi aliyemuahidi utajiri wake utaongezeka akifuata masharti...
  7. Mswahili mahiri

    Umuhimu wa mikopo isiyo na masharti magumu kwa vijana

    Habari ndugu wadau nimeona ni shiriki katika mjadala huu nikiwa moja ya vijana tulio wengi mtaani ambao kimsingi tunapambana na changamoto ya ajira na ukosefu wa ajira za kutosha. Mimi kama muhitimu wa chuo kikuu ambae badi nipo mtaani nilitamani kuina taasisi mbalimbali za kifedha zikitoa...
  8. mgt software

    Pesa Zilizotolewa na NMB zitavyoshindwa Kuwafikia walengwa Kanda ya Ziwa, masharti magumu bado pia kikwazo kikuu

    Wana Jf Baada ya kusikiliza video inayotrend kwenye mitandao mbalimbali ikionyesha umahiri wa benk ya NMB kuwa mkombozi kwa wanyonge kufuatia benk hiyo iliyovyojipambanua kwa kugusa kila seksheni ili kuwapata walengwa sahihi,kuanzia mdogo hadi mkulima mkubwa. Benki hii inaweza kuzua vichekesho...
  9. Zaburi 23

    Mchumba wangu ananipa masharti magumu ninapotaka kufanya naye mapenzi

    Nina mwanamke hapa ninaishi nae ana kitu kimoja, kwenye swala la kunyanduana ana masharti kibao ikiwa tiari nimemtolea mahari. In short kile cha asubuhi mwenzenu sipewi na nikitaka basi ntalazimisha sana, ntakuja kupewa mchana na akila ndo balaa anakwambia subiri chakula kishuke unaweza...
  10. Mwamuzi wa Tanzania

    Utajiri wa 'ngende' (ushirikina) una masharti magumu kuliko utajiri wowote ule duniani

    Mambo vipi wazee! Aisee duniani kuna mambo sana. Ukienda gende yenyewe original kutafuta utajiri hakika utaupata endapo tu utazingatia masharti yao. Sharti lao kuu uwe na biashara, hili sharti halihitaji biashara kubwa. Hata biashara ya kuuza nyanya chungu poa tu, hata kuuza mishikaki ya mia...
  11. T

    Kama kuna mikopo ya masharti nafuu kwanini nchi ichukue yenye masharti magumu?

    Naomba wenye uelewa wa mambo ya uchumi wa nchi wanipanue ufahamu kidogo kuhusu mambo ya mikopo. Nimekua nikisikia kwamba serikali imekopa au itakopa mikopo yenye masharti nafuu, na mara nyingi hatuambiwi inapokua imekopa yenye masharti magumu. Ndipo nikahitaji ufafanuzi toka kwa wataalam wetu...
Back
Top Bottom