Usichangie uzi kama una mihemuko. Katulizeeee ukoo ikishuka njoo na kichwa chenye akili.
Kujua hili lazima tujue serikali hii ya iran iliingiaje madarakani
✅1979 Kundi lenye itikadi kali lilipindua serikali ya kifalme ya shaa
✅Komeni muanzilishi wa itikadi kali alikua akipitisha mahubiri yake...
Katika miaka zaidi ya 15 sasa ya kuipenda na kuifuatilia Chadema, nimekuwa nikisikia na kusoma kuwa malengo yake makuu yamekuwa ni;
Kushika Dola; Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi.
Mh. Mbowe katika miaka yote hakuna alichotimiza hata kimoja. Kama kiongozi wa taasisi unaposhindwa kutimiza...
Wale watu wa spiritulity na imani nawaita mje na mifano yenu kuhusiana na hii mada " maneno/jina lina nguvu ili ufikie au usifikie malengo yako". uwa mna siri gani hamuisemi?
Kumekua na hii ishu ya watu kumwambia mtu eti " kwa izo ndoto ulizo nazo na unavyo jiita hutazifanikisha badili...
Ramovic alitangaza kujiuzulu nafasi yake kama kocha mkuu wa TS Galaxy kwenye televisheni baada ya timu yake kutoa sare ya 1-1 kwenye mchezo wa ligi Kuu msimu huu.
Alipohojiwa na iDisk Times alisema kuwa anahitaji sehemu inayoendana na malengo yake kama kocha.
"Ni lazima niende sehemu...
ARUSHA
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana(Mb) ameipongeza Menejimenti na Watumishi wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA),kwa kazi nzuri ya uhifadhi pamoja na ukusanyaji wa mapato yatokanayo na shughuli za utalii.
Ametoa pongezi hizo alipotembelea makao makuu...
WAZIRI CHANA APONGEZA UTENDAJI KAZI TANAPA, ASISITIZA UADILIFU KUFIKIA MALENGO
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana(Mb) ameipongeza Menejimenti na Watumishi wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA),kwa kazi nzuri ya uhifadhi pamoja na ukusanyaji wa mapato...
Kumekuwa na Kasumba za kudanganya vijana kwamba mtu fulani alianza na mtaji wa matajiri kumi kwamba Leo anamiliki "yard ya magari " na kauli nyingine pendwa kama hizo mnazijua.
Mwisho wa siku hizi kauli zinaponza vijana wanaamua kuingia kwenye short cut au uganguzi baadaye yanawatokea puani...
Unapoanza mwaka mpya kila mmoja anakuwa na malengo yake ya mwaka husika anayohitaji kuyafikia ili kupiga hatua katika maisha yake.
Ukitazama sasa tumesalia mwezi mmoja kutoka sasa kukamilisha au kufunga mwaka 2024 bila shaka utakuwa unapicha nzuri ya kile ulichojiwekea malengo yako.
Tuambie je...
Nilipita mahali leo ( uswahili kidogo) nikaona maandazi aina ya half cake Dukani kwa mangi nikayatamani. kwakua sijayala muda mrefu nikasogea kwenda kuuliza bei nikaambiwa 200 moja, muuzaji akaniambia naomba hela yako iwe ya chenji sina chenji zinasumbua. nikamwambia nina elf 1 akasema unataka...
Kwa kuanza, niwafahamishe maana ya mifumo ya ulinzi .. hii ni dhana nzima inayohusu kulinda watu, wapiganaji na mali zao kwa ujumla dhidi ya pande korofi, mifumo yote ya ulinzi ina lengo la
1. kuweka raia na wapiganaji salama, hili ndilo lengo la kwanza kwa Taifa lolote timamu utu ni jambo la...
Wapendwa nawasalim.
Katika hali ya u serious natafuta binti makini kwa ajili ya urafiki na ikipendeza kua nae kwenye mahusiano yenye future. Itapendeza sana muhusika akiwa na miaka 24 - 29. Na awe anajishughulisha na kazi halali.
Binafsi niko serious 30yrs nimeajiriwa na ninajitegemea...
Ndugu zangu wa Jamii Forums,
Leo nimeamua kuanza safari ya kushirikiana nanyi kuhusu mafanikio na jinsi mtu anaweza kufikia malengo yake. Mara nyingi tunasikia watu wakisema "nataka kufanikiwa," lakini wengi hawajui wanapaswa kuanzia wapi au ni nini cha kufanya ili kufika kule wanakotamani...
Ndoa stable kabisa ambayo iliyopitia magomvi kadhaa lakini haijawahi kuwa na tishio lolote la kuachana.
Watoto wa 4 huku wa kwanza wao akiwa na miaka 18,yaani wawili wa kike na wawili wa kiume.
Nyumba yangu iliyozungukwa na eneo lenye ukubwa wa hekari 1 na humo ndani nitakuwa nifanya maendeleo...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,Amefanya Mazungumzo Mazito Sana na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Camillius Wambura Ikulu ya Dar es salaam.
Hii ni baada ya kupita siku chache alipotoa hotuba nzito sana katika...
Watu zaidi ya laki moja waliohamishwa kaskazini ya Israel kwa hofu ya Hizbullah sasa wamekuwa ni ajenda kubwa inayojadiliwa na viongozi wa nchi hiyo.
Kwanza watu hao wamekuwa mzigo kwa uchumi kwani wamewekwa kwenye maeneo kama hoteli kwa malipo ya serikali.Vile vile maeneo yaliyohamwa ni...
Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) imeshiriki katika Kongamano la 16 la Ununuzi wa Umma la Afrika Mashariki Jijini Arusha. Kongamano hilo lilianza tarehe 9 – 12 Septemba 2024.
PPAA imeshiriki pia kufanya maonesho ya kutoa elimu kuhusu majukumu, malengo na mafanikio yake kwa umma na...
Salaam moja kwa moja kwenye mada! Wiki mbili zilizopita nilipata bahati ya mzigo kwa bei rahisi! Basi nikawa na pesa nusu ya kuulipia na nusu iliyobaki nikaona nikope hii NBC! Na kumuahidi muuzaji ndani ya siku tano tu nitamalizia nikiwa na uhakika na hii bank hasa baada ya kuamini matangazo yao...
Nafahamu kuwa kila mtu ana malengo yake.
Lakini watu wengi wameshindwa kutimiza malengo yao kutokana na sababu mbalimbali ikiwamo kusubiri kusaidiwa ama kushikwa mkono na watu.
Hata Serikali huwa inasaidia pale ambapo wananchi wameonyesha nguvu zao hasa kwenye kata.
Wewe umeonyesha nini au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.