Connecting dots..
Kama kuna wanasiasa nchini walioisanua ishu ya ADANI kupewa kitengo cha makontena bandarini, basi ni Abdul Nondo. Wakati ule sisi tukiwa busy na ishu ya bandari (kubwa) waliyochukua DP World, huku nyuma serikali ya Bongo fasta fasta ilikuwa ikimsogeza ADANI Jikoni ili apewe...
Apartments nyingi za maghorofa ya kariakoo yamegeuzwa kuwa magodauni kwa ajili ya kuhifadhia mizigo ya makontena pindi inapotoka bandarini.
Kunakuta Apartment moja inajazwa mzigo wa makontena 3 hadi 5 ya 40 ft. kitendo kinachopelekea uzito mkubwa juu ya maghorofa.
Hizi apartment s zimesajiliwa...
UFISADI WA MAKONTENA 329 BANDARI KAVU YA AZAMU ICD (2015)
To make a long story short,
Kama umekua mfatiliaji wa mambo, utakumbuka mnamo December, 2015, Waziri Mkuu Majaliwa alifanya ziara TPA na kumuhoji Meneja wa TPA, (Abel Muhanga kwakipindi hiko), kuhusiana na tuhuma za ufisadi wa kupitisha...
2018 kuna wakati ulianza kuwehuka mara makontena si yangu ni ya CWT, walipoulizwa chama cha walimu walikana licha ya maigizo yako ya kuchukua wanafunzi na walimu wachache kwenda kuwaonyesha makontena bandarini.
Baadaye ukakana huyatambui.
Baadaye tena ukaanza kugawa laana kwa watakaonunua kama...
Akitoa hotuba yake, Sheikh Muharam Mziwanda amedai kwamba Kanisa Katoliki linahusika na upotevu wa makontena bandarini.
Kama ni kweli, je ujio wa DP unaenda kukata mirija ya hawa ndugu? Kuna tetesi kwamba maelfu ya makontena hupitia jina la kanisa hili kwa lengo la kukwepa Kodi.
Je kanisa...
Naam, ni DP World Luanda Port.
Bandari ya Luanda ni moja ya bandari kubwa nchini Angola kati ya bandari zake zikiwemo za Lobito na Benguela ambazo zipo pembezoni mwa bahari ya Atlantic.
Lakini serikali ya Angola kwa kuona ufanisi mdogo uso na tija kwa uchumi wake ikaamua kutafuta mzabuni ambae...
Salaam Wakuu,
Wote tunaijua Bandari ya Dar Es Salaam.
Watu walidanganya eti kuanzia Geti namba moja hadi namba 8 anapewa DP World kumbe uongo. DP World anapewa kazi ya kupakia na kupakua Makasha kama ilivyokuwa kwa TICTS si kwamba anapewa bandari yote ya Dar, anapewa kijisehemu tu.
Kwahiyo...
Na hata sisi tuliosoma chuo, hii ndio ulikuwa utaratibu wetu kupata mali yenye maileji ndogo na ukibahatika waweza kupata bikra, watu walikuwa wanawahi kwenda chuo wanazuga eti wanapenda shule kumbe wapo mawindoni kuvizia makontena mapya.
Makontena mapya ni hawa wanaoingia chuoni kwa mara ya...
Mama kashamaliza hilo suala, Waqatar wamesema haina shida na walikuwa hawana mpango wa kuendelea kubaki nao.
Maamuzi ya awali yanaonesha uwanja huo utafungwa Mwanza.
Waziri wa michezo juzi alikuwa maeneo ya usagara kuangalia eneo utakapofungwa.
TICTS yasababisha hasara kubwa kwa taifa
* Yadondosha makontena matatu baharini
* Meli zashindwa kushusha mafuta bandarini kwa siku kadhaa
KAMPUNI ya kimataifa ya kuhudumia makontena Tanzania katika bandari ya Dar es Salaam (TICTS) imeisababishia taifa hasara kubwa baada ya kudondosha...
Habari wakuu,
Kama kichwa kinavosema nahitaji kujenga nyumba ya kontena yenye sebule, chumba cha kulala, jiko, ofisi, choo na bafu.
Je, kwa idadi ya hivo vyumba nahitaji makontena mangapi na ningependa kujua gharama za kontena moja?
Asanteni!!!
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Samia Suluhu Hassan amemtumia salaam za pole Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF ) Profesa Ibrahim Lipumba, familia, ndugu na jamaa kufuatia kifo cha Mbunge wa zamani wa Chama Cha Wananchi (CUF) na Mkurugenzi...
Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa amewatoa hofu Watanzania kuhusiana na kuwepo kwa makontena yenye makinikia ambayo yameonekana yakisafirishwa kwenda nje ya nchi kuwa makontena hayo yanasafirishwa kihalali.
Waziri Mkuu amesema hayo bungeni Mkoani Dodoma wakati akijibu maswali ya papo kwa hapo kwa...
Huyu mgombea ambaye ndiye Rais amalizaye muda wake na anaomba tena watanzania wampe tena miaka mingine 5 ili aendeleze kipaumbele chake kwenye kununua ndege, kujenga madaraja, kujenga reli, kujenga viwanja vya ndege na yanayofanana na hayo.
Lakini hebu tujiulize ameyafanya hayo miaka yote 5...
kila nikitizama picha na kuunganisha dot juu ya mnada wa makontena ya makonda na hatima yake naona kuna kamchezo pale!! mnada unashindikana kwa mara ya pili kwanini unashindikana??
sababu kubwa ni watu kutofika bei elekezi kutoka TRA. kwanini hawafiki bei? jibu ni moja mzigo hauna thaman...
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda jana alifanya ibada maalum kanisani kwa ajili ya makontena yake yenye samani za shule yanayoshikiliwa na TRA
Katika ibada hiyo Makonda alionya watakao nunua makontena yake watapata laana kali
Pia aliwarushia dongo TRA akisema ni watu wabaya wasio na...
NA FARAJA MASINDE
MKURUGENZI wa Mamlaka ya Bandari nchini (TPA), Mhandisi Deodatus Kakoko, amedai kuwa kampuni ya PMM Estates (2001) Ltd, inashiriki katika vitendo visivyofaa vya kuficha makontena.
Mhandisi Kakoko alitoa hayo wiki iliyopita katika mahojiano maalum na RAI, ambapo alisema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.