Huyu mwamba wa El Salvador ana hasira sana, hadi akamwambia trump wewe niletee mu-salvador yoyote anaewasumbua huko Marekani, trump akamtumia lukuki 🤣
Jamaa ameweza kupambana na magenge hatari ya madawa ya kulevya nchi mwake kupelekea uharifu na vifo kupungua kwa kasi ya kihistoria
Cartels...
Nchi nyingi za Mashariki ya kati na Asia ya kati zina sheria kali sana linapo kuja suala la kukabiliana madawa ya kulevya,hizi ndo nchi ambazo ukikamatwa na madawa ya kulevya kukiepuka kitanzi sijui ashuke malaika gani.
(1) Iran - Ndani ya Iran ni bora ukamatwe ukiifanyia upelelezi...
Binti anayeenda kunyongwa Vietnam inaelezwa kwenye video hii na inaonekana Njoroge ambaye ni miongoni mwa watu wa Serikali waliofuma mbinu kwa Nduta kusafirisha madawa ya kulevya huko Vietnam,
Baada ya kukamatwa wao wakazima simu ,
https://youtu.be/VK_s6RGOlps?si=EZe_9fBY4mHLeXyH
Assume we ndo rais embu tuweke wazi ungefanyaje katika serikali yako ili rushwa zikome na uratibu kiundani bandarini.
Mimi binafsi ningetoa billion 50 kwa ajili ya camera cctv dar na pia barabara za tanroads kisha kila mwezi NATOA report ya makusanyo na Matumizi.kama taifa tunabaini Lost.
Ndugu wawili vijana waliojipatia umaarufu mtandaoni Tiktok kwa kuishi maisha ya kibilionea na wakitoa motisha kwa vijana wengine kupambana wakamatwa Dubai na Cocaine.
Madawa ya kulevya ni miongoni mwa changamoto kubwa zinazokumba jamii nyingi duniani.
Mara nyingi, tunaposikia mtu amefariki kutokana na overdose, hatufahamu kabisa kinachotokea ndani ya mwili hadi kufikia hatua hiyo ya hatari.
Overdose ya madawa ya kulevya mara nyingi inahusiana na hali ya...
Mamlaka ya kudhibiti na kupambana Dawa za kulevya nchini, imefanikiwa kukamata Dawa za kulevya zenye uzito wa kilogramu milioni 2 katika kipindi cha Januari hadi Disemba 2024.
“Hiki ni kiasi kikubwa cha madawa ya kulevya kuwahi kukamatwa tangu mamlaka hii kuanzishwa, katika dawa zilizokamatwa...
Kilichonishangaza zaidi ni kiwango cha kipato alichokuwa anapata kupitia biashara hiyo ambayo ilikuwa inasimamiwa na kaka yake.
Yaani, alikuwa anapata dola bilioni kumi kwa mwaka, wakati pato la taifa lilikuwa chini ya dola bilioni tisa!!!
Kama ni kweli, hizi dhambi zinakuwaje?
Yaani, familia...
Hivi sasa ni saa 1 na dakika 38, nawasalimu wanajukwaa. Huku niliko hali ya hewa ni ya kiubaridi kidogo, anga limetandwa na kiza na nyota kadhaa zimeanza kuonekana.
Narejea kwenye mada, kwa wale ambao hawamfahamu mhusika wa kubuni anayefahamika kwa jina la Alex Mahone naanza nao hivi; Alex...
MANILA, Ufilipino (AP) — Rais wa zamani wa Ufilipino Rodrigo Duterte aliambia uchunguzi wa Seneti Jumatatu kwamba alikuwa na "kikosi cha kifo" cha majambazi ili kuua wahalifu wengine alipokuwa meya wa jiji la kusini mwa Ufilipino.
Hata hivyo, Duterte alikanusha kuidhinisha polisi kuwapiga...
Wakuu,
Jiwe limerushwa gizani, wakuu mjitokeze kushiriki katika uchaguzi wa serikali za mitaa, na baadaye uchaguzi mkuu, vyote ni muhimu kwa maendeleo ya nchi.
======
Tumeongozwa na Rais Samia Kwenda kujiandikisha ikiwa ni siku ya kwanza yah atua ya mwanzo ya wananchi kushiriki kwenye...
Dar es Salaam, Septemba 10, 2024
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imekamata kilogramu 1,815 za dawa za kulevya aina ya skanka katika operesheni iliyofanyika tarehe 28 Agosti, 2024 hadi tarehe 02 Septemba, 2024 katika maeneo ya Luguruni Mbezi na Magomeni jijini Dar es...
Huwa natamani kukaa na vijana Kama hawa na kuwajenga KIAKILI na kuwarudisha Katika jamii ili waweze kuwa na tija katika familia zao na jamii kwa ujumla.
Nawaza kuja kufanya project Kama hii kwa kushirikiana na wadau mbalimbali
Kuna wazazi wanaumia
Kuna ndugu wanaumia
I hope one day...
Marcus Jordan Mtoto wa Legend wa mpira wa kikapu duniani na gwiji wa NBA Michael Jordan, ameingia kwenye skendo kubwa na ya aibu baada ya kupigwa picha akiwa anatumia madawa ya kulevywa aina ya Cocaine,
-
Picha hizi zimepigwa na mapaparazi wa Ufaransa ambao kwao ni msimu mkubwa wa mapato...
25 July 2024
Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Marekani, Bw. Merrick B. Garland Atoa Taarifa kuhusu Kukamatwa kwa Viongozi Wanaodaiwa wa Kundi la Sinaloa Bw. Ismael Zambada Garcia (El Mayo) na Bw. Joaquin Guzman Lopez
viongozi wa genge la Sinaloa Cartel, Ismael Zambada Garcia (El Mayo) na Joaquin...
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imewahukumu kifungo cha maisha jela washtakiwa watano baada ya kutiwa hatiani kwa makosa ya kusafirisha dawa za kulevya aina za heroini gramu 5,309.57 na kokeni zenye uzito wa gramu 894.28.
Hukumu imetolewa Julai 11, 2024 na Jaji Awamu Mbagwa, aliyesikiliza...
Majobless mpo!? Naona Kila siku mnalia tamisemi zitatangazwa lini ajira , maana vijana wanasubiri ajira Hadi wanapata stress wengine ni walevi na yawezekana hata wengine wataingia kwenye dimbwi la dawa za kulevya...huku Leo waziri mkuu ametoa Rai Kwa tamisemi kuwaajira waliopona uraibu, sasa...
Maadhimisho ya Kitaifa ya kupinga dawa za kulevya yanaadhimishwa leo tarehe 30/6/2024 katika kiwanja cha Nyamagana Mwanza.
Kauli Mbiu ni Wekeza kwenye Kinga na Tiba dhidi ya dawa za kulevya.
Tukio ilo kitaifa litafanyika mkoa wa MWANZA Mh Waziri Mkuu atakua mgen rasmi wa jambo hilo kwenye uwanja wa Nyamagana.Brudan zitaanza saa 12:00
Karibuni sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.