Kufa unatembea ni kubaya Sana Bora kufa na kuzikwa
Watawala wa sasa wanatembea wakati wamekufa kiroho
CCM inatwala wakati imekufa kiroho
Serikali ya awamu ya 6 imekufa kiroho Ila kimwili inatawala!..
Ndio maana ni ngumu Sana Sana kufanikiwa kwa sasa!!
Kuna mdau humu ameposti juu ya changamoto zinazowakumba waandishi wa Azam Mikoani eti wameshushiwa ujira kutokea tshs 500,000 mpaka 300,000 kwanza nikagutuka kwamba wanalalamika kwa kulipwa 300,000?!!
Kama Azam waandishi mikoani wanalipwa 300,000 basi ITV hali ikoje? Je, hizi media ndogondogo...
Hello!
Ofisi yetu ya umma ina mabinti zaidi ya 20, iko Dar es salaam.
Kati ya hao mabinti zaidi ya 20 mabinti zaidi ya 10 kila mtumishi anajua kuwa bosi kawapitia. Hapo hatujahesabu wengine ambao aliweza kutembea nao kwa siri zaidi.
Kati ya hawa mabinti wapo wake za watu na wachumba wa watu ...
Aliyebuni hiki kitu,mbinguni moja kwa moja
Sehemu ninayoishi kuna mashabiki wengi sana wa Simba,mashabiki wa Simba kwa pamoja wana kikundi chao kiingilio ni 5000 na michango ya 1000 kwa mwezi.
Mwamba mmoja miongoni mwao alifariki na hana ndugu huku.
Simba waliubeba msiba kama wao hakuna kitu...
Tangu Bashungwa amekabidhiwa wizara hii ni wazi na ukweli ulio wazi ameharibu kila kona hasa kule Tanroad!
Cha kushangaza zaidi ni uamuzi wake wa kuruhusu barabara ambazo hazikabidhiwa kuanza kutumika hasa za mwendokasi…..hakuishia hapo na Sasa kwa kushirikiana na chalamila wamevuruga kabisa...
Je unamjua Pythagoras?, huyu mtu alikuwa ni Genius sana watu wa Mathematicx/Hesabu wanamfahamu
Pythagoras alikuwa na tatizo la phobias(uoga wa kitu fulani) alikuwa anaogopa sana maharagwe,yani kuyaona maharagwe kwake ilikuwa sawa na wewe kukutana na Simba
Kutokana na umaarufu na utajiri wake...
Khalid bin Walid, maarufu kama "Upanga wa Mwenyezi Mungu," alijulikana kwa ushujaa wake katika vita. Alipigana vita zaidi ya mia moja na hakuwahi kushindwa. Lakini licha ya umahiri wake vitani, alikufa kitandani akiwa na huzuni kwa sababu alitarajia kufa shahidi vitani.
Inasemekana kwamba kabla...
Alan Turing anachukuliwa kama baba(mwanzilishi) wa computer za kisasa, Muingireza aliyezaliwa mwaka 1912 na kufariki mwaka 1954 katika kifo chenye utata mkubwa akiwa na miaka 41 tu.
Huyu ndiye aliyepangilia na kurasimisha nadharia za ufanyaji kazi wa computer za kisasa na pia kutengeneza Turing...
Kuna wakati huku mitandaoni kulikuwa na takwimu zilikuwa zinatembea za idadi ya watu wakubwa ambalo wamefariki na kuwaacha wake zao wanaishi tena kwa miaka mingi baada ya waume zao kudanji. Zile takwimu zina mengi sana ya kuelezea ni basi tu mambo ya mitandaoni tunayachukulia kwa mzaha.
Wanaume...
Natamani nijue hivi shirika la mwendokasi "dart" ndiyo linakaribia kufa..? Nauliza hivi kwakuwa magari yanazidi kuchoka na hayaletwi magari mbadala shirika linatoa huduma mbovu bora hata ya daradara unakuta mfano kituo cha gerezani utakuta mfano foreni ya watu wanaosubiri kwenda kimara ipo kubwa...
Nimeona clip ya Mkuu wa mkoa wa Arusha akiwa anahutubia katika mkutano wa hadhara uliohudhuriwa na Waziri wa TAMISEMI, Mchengerwa akisema hajali kusemwa vyovyote na wanasiasa wengine kwa sababu pale msalabani Yesu alikufa akamwaga damu yake na akamtakasa, kwamba akisemwa anaitazama damu ya Yesu...
Wananchi mbalimbali wakitoa maoni na hoja zao wakati wa zoezi la ushirikishwaji wa umma kuhusu hoja ya kumwondoa madarakani Naibu Rais, Rigathi Gachagua leo Oktoba 4, 2024
Aidha, Rigathi Gachagua atapaswa kujitetea Bungeni kwa muda wa Saa 2 ifikapo Oktoba 8, 2024 kwa tuhuma nzito za ufisadi...
Zaidi ya Watu 100 wanadaiwa kupoteza maisha baada ya Boti ya Abiria kuzama kwenye Mto Niger wakati ilipokuwa ikitoka Kijiji cha Mundi kuelekea Kijiji cha Gbajibo.
Shirika la Usimamizi wa Dharura la Jimbo la Niger (Nsema) limesema uokoaji wa awali umefanikiwa kupata miili 26 na juhudi...
Inaonekana jamaa wa Hezbollah walijipanga zaidi ardhini kuliko angani! Leo na jana wayahudi wamepokea sana kichapo!
Halafu hawaongei wanawaacha wayahudi wenyewe waongee! Ukiona wamagharibi wanaripoti jua hali ni mbaya sana!
Seven more Israeli soldiers killed in Lebanon, says military
Seven...
Walid bin Khalid al-Walid, maarufu kama Khalid bin al-Walid, ni mmoja wa mashujaa wakuu wa Uislamu, anayejulikana kwa ujasiri wake na mafanikio yake katika vita. Hata hivyo, kuna hadithi inayozungumzia kifo chake, ambayo inaonyesha jinsi alivyokabiliwa na hali hiyo.
Maelezo ya Kifo cha Khalid...
Tatizo la Tanzania ya sasa hakuna uwajibikaji watu wanakufa na kutekwa lakini viongozi wote wapo kazini kama vile hakuna baya limetokea. Hii inasibitisha viongozi wa siku hizi ni magenge ya marafiki na Machawa na ni vigumu kuwajibisha ndugu, marafiki, machawa wako hasa pale ambako wanaouliwa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.