kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pre GE2025 Mchome wa Chadema atangaza kugombea Ubunge bila kujali harakati za "no reforms, no election"

    Mwenyekiti mstaafu BAVICHA mkoa Kilimanjaro na Mwenyekiti wa wilaya ya Mwanga Lembrus Mchome ametangaza nia yake ya kugombea Ubunge bila kujali harakati za Chama chake, CHADEMA za kuzuia Uchaguzi kama hakutakua na Mabadikiliko. Kupitia ukurasa wake rasmi wa mtandao wa X, Mchome mwanachama wa...
  2. Pre GE2025 Wapinzani 200 akiwemo diwani wa ACT Wazalendo wahamia CCM

    Wanachama wa vyama vya upinzani 200 wa wilaya ya Tunduru akiwemo diwani wa kata ya Mchoteka kupitia tiketi ya Chama Cha Act Wazalendo Seif Dauda, katibu wa wilaya ya Tunduru wa Chama Cha Act Wazalendo Said Mponda, wamejiunga na Chama Cha Mapinduzi 2/4/2025 baada ya kumkabidhi kadi za uwanachama...
  3. Pre GE2025 DSM John Heche: Anayetafuta Hela Kupitia CHADEMA anaombwa Aondoke

    "Tumeenda Ikulu baada ya uchaguzi wa mwaka 2019 na 2020, kwa kauli ya Rais mwenyewe amesema yaliyojitokeza 2019 na 2020 hayatajirudia tena. Tumeshiriki kikao, Mwenyekiti Mbowe anatuongoza, tulikuwa na Mnyika na Kinana alikuwa anaongoza timu ya CCM na nyaraka tunazo, wakasema yaliyojitokeza...
  4. Pre GE2025 DSM Heche: Wagombea wa Ubunge CHADEMA kukusanya Saini milioni 15 kupinga Wizi wa Uchaguzi

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche amewataka wale wote wanaotaka kugombea ubunge kupitia chama hicho katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 kuchukua fomu za maoni na kwenda nazo majimboni kwa ajili ya kukusanya saini za Watanzania. Heche amesisitiza kuwa...
  5. T

    Pre GE2025 DSM John Heche: Wewe unayesema twende kwenye uchaguzi bila mabadiliko unaiunga mkono CCM

    Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche ameeleza kuwa No reforms No election ni ya Watanzania wote ndiyo maana hadi viongozi wa dini wanaiongelea. Kama wewe huungi mkono mabadiliko maana yake unaiunga mkono CCM. Ikumbukwe kuwa kuna kundi huko CHADEMA limesema wao hawaungi mkono Ajenda hii na...
  6. Pre GE2025 DSM Kada wa CHADEMA, Julius Mwita baada ya kung'olewa, adai Chama kinaendeshwa na Maria Sarungi kutoka Nairobi

    Aliyekuwa Katibu wa Sekretarieti ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Bw. Julius Mwita amemtaka Mwanaharakati Maria Sarungi kujitokeza hadharani na kueleza ikiwa ni mwanachama wa Chadema kwa kuonesha kadi yake ya uanachama wake ndani ya Chadema. Mwita ambaye amezungumza na wanahabari...
  7. T

    Pre GE2025 DSM John Heche: Nikiwa mzima nashinda ubunge Tarime

    Makamu Mwenyekiti CHADEMA Bara, John Heche ameelezea safari yake ya kuusaka ubunge Tarime ambapo ameeleza kuwa hata sasa akiwa mzima anashinda ubunge Tarime, aameeleza pia kuwa na yeye ni mtia nia. Aidha ameelezea mchango wake kwa baadhi ya vijana wengine ikiwemo kwa David Silinde na yeye ndiye...
  8. T

    Pre GE2025 DSM Amani Gologwa: Viongozi wakuu wote ni watia nia, ikiwemo Lissu mtia nia Urais

    Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA, Amani Gulogwa akiongea katika mkutano wa watia nia unaondelea katika ofisi za CHADEMA ameeleza kuwa viongozi wakuu wote ni watia nia isipokuwa yeye, na hata Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa, Tundu Lissu ni mtia nia pia na barua yake ya kutia nia ngazi ya Urais...
  9. Kumbukizi: Mwenyekiti wa CCM Dodoma, Kimbisa: Chama chetu kimeishiwa pumzi, haiwezekani tukaenda uchaguzi 2025 tukiwa tumeishiwa pumzi

    Mwenyekiti wa CCM, Mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa, wakati akiomba kura za uenyekiti na kunadi sera zake kwa wajumbe mnamo Novemba 21, 2022. Alidai kuwa CCM mkoani humo kimekata pumzi na hawawezi kwenda kwenye Uchaguzi Mkuu mwezi Oktoba 2025 kwa Chama kilichoishiwa pumzi.
  10. T

    Pre GE2025 DSM Makamu Mwenyekiti CHADEMA Zanzibar asema Chama chao hakiwezi kufa kwa njama za CCM na serikali yake

    Makamu Mwenyekiti CHADEMA TAifa upande wa Zanzibar, Said Mzee ameeleza kuwa Chadema haiwezi kufa kwa hila za CCM, aidha amewapongeza watia nia waliojitokesza katika mkutano huo wa kuwajengea uwezo kuhusu ajenda ya No reforms No election. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea...
  11. David Kafulila: Matumizi mabaya ya fedha za umma yamepungua kipindi cha Rais Samia

    Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC), David Kafulila kwenye mahojiano na Wasafi TV amedai kuwa matumizi mabaya ya fedha za umma yamepungua kipindi cha Rais Samia, ukilinganisha na ripoti za CAG za miaka ya nyuma . Soma, Pia: David Kafulila: Wakati wa Rais...
  12. Pre GE2025 Naunga mkono hoja ya Lissu kwamba Rais apewe miaka 3 ya mpito ili kufanya mabadiliko, kisha Uchaguzi ndio ufanyike

    Wazo la lissu ni mukide kabisa !! Rais apewe miaka mitatu ya mpito ili tufanye reforms za uhakika kuanzia katiba na maoni kwa wananchi kazi hii mpaka ikamilike itachukua sio chini ya miaka 3 !! Hii itakuwa ofa tu kwa mheshimiwa rais na baada ya hapo uchaguzi uitishwe sasa na akishinda anapiga...
  13. Pre GE2025 DSM VIDEO: Hawa Chawa wa Rais Samia wenye 'plate number' za SSH 2025, Polisi wanaweza wasimamisha barabarani kweli?

    Wakuu Wakati wengine wanapigania mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi (No reforms, No election) lakini kuna hawa Chawa Pro Max wa Samia ambao wanatumia namba plate kumpigia debe Rais Samia kuelekea uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Kwa hali hii hata wakivunja sheria za barabarani unadhani Polisi...
  14. Pre GE2025 Hawa ndio Wakuu wa Mikoa wanaotarajiwa kugombea Ubunge mwaka huu na kwanini wanataka kugombea

    Unakumbuka Machi 11, 2025, Rais Samia Suluhu Hassan alipoagiza wateule wake, wakiwemo wakuu wa mikoa wenye nia ya kugombea nafasi mbalimbali, kutoa taarifa mapema, ili nafasi zao ziweze kujazwa kwa wakati? Sasa hali hiyo inajidhihirisha wazi, kwani baadhi ya viongozi hao, hasa wakuu wa mikoa...
  15. S

    Pre GE2025 Inavyoonekana hii imefanywa kuwa SIRI na inawindwa kwa udi na uvumba ijulikane kabla ya Oktoba

    Naona kabisa kuna mhaho wa kutaka kujua uchaguzi utazuiwaje usifanyike?. Na vinara wa kuhamasisha NO REFORMS, NO ELECTION(Lissu na Heche) hawana maneno mengi wanasema tu tena kwa kujiamini kabisa,"TUTAZUIA UCHAGUZI" halafu hawafafanui kiundani namna UCHAFUZI utakavyozuiliwa🤣🤣🤣🤣🤣 Ngoja niingie...
  16. Pre GE2025 Pamoja na kuwa na viongozi wa kikale, mawazo na sera za kikale, inakuwaje CCM inaendelea kuwa madarakani

    Dada na kaka wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kama vile KANU, MCP, UNIP na wengine walishasahaulika. Ajabu, CCM bado inatesa. Je, pamoja na ukale wake kiutawala na kisera, nini siri ya CCM kuendelea kuwa madarakani. Ina maana watanzania wanapenda mambo ya kikale kuliko ya kisasa?
  17. Pre GE2025 Baada ya Tundu Lissu kumaliza mikutano yake ya zima moto nguvu ya soda huko mikoani, nyufa zaonekana wazi, nani kunufaika nazo kuelekea uchaguzi mkuu?

    Ni kama vile mikutano ya Tundu Lissu, ilikwenda kuibua na kuchochea migawanyiko baina ya wanaopinga no reform no elections dhidi ya wale wanaoiunga mkono dhana hiyo potofu isiyo na umuhimu wala faida yoyote kwa wananchi bali ni agenda binafsi ya alie ianzisha kuhisi kwamba atafedheheka yeye...
  18. Pre GE2025 DSM Tundu Lissu afichua kilichozungumzwa kwenye kikao cha TCD "Wamesema muda wa kufanya reforms hautoshi'

    Mwenyekiti wa Kituo Cha Demokrasia Tanzania (TCD), Tundu Lissu ambaye pia ni mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ameeleza kilichojiri kwenye kikao cha Summit ya TCD iliyofanyika leo Aprili 2. Lissu amesema utetezi uliotolewa katika kikao hicho ambacho kilimhusisha pia...
  19. Pre GE2025 Rais Samia kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa "Umoja Wa Wanaume Tanzania" utakaofanyika Dodoma

    Umoja wa Wanaume Tanzania unatarajia kuzinduliwa rasmi mwishoni mwa mwezi huu wa nne na Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye mkutano mkubwa wa umoja huo utakaofanyika Dodoma. Malengo makuu ya umoja huo ni kuwaunganisha Wanaume wote ndani ya Tanzania na kuwa kitu kimoja ili...
  20. Pre GE2025 Wanaodai kuwa Wananchi wa Bumbuli wamtaka Makamba ajiuzulu Ubunge, wadai amekuwa mtalii Jimboni

    Wananchi wa Jimbo la Bumbuli mkoani Tanga wamemtaka Mbunge wao, January Makamba kujiuzulu nafasi hiyo kwani ameshindwa kutekeleza aliyowaahidi wakati wa kampeni. Wamesema, Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu kura zote za Urais watampa Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan, lakini ubunge hawatampa January...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…