Wakuu,
Hivi sheria zinasemaje kuhusu hizi plate number za kwenye magari?
Ni kwamba mimi naweza tu kuamka asubuhi nikaweka jina lolote as plate number au kuna muongozo ambao inabidi ufuatwe?
Vipi kwenye plate number nikaweka maneno yanayozua taharuki au nikaweka jina la mgombea Urais hasa...
Leo hii, kama vyama vyote vya siasa vingechukua msimamo wa kukataa kutia sahihi kanuni za uchaguzi, amini nawaambieni, sasa hivi tungekuwa tunaongea mambo mengine kabisa. Vyama vya siasa havikuiona na kutambua kuwa hiyo ilikuwa nafasi ya kuilazimisha CCM kukaa nao mezani na hata kubadili kanuni...
Haya ndio madhara ya Bunge na Serikali vyote kutoka kwenye chama kimoja. Yaani hizi kamati za Bunge kazi yake imekuwa ni kupongeza tu. Sijawahi kuona hata mradi mmoja ambao hizi kamati zimesema kama hauendi vizuri.
Tukisema hizi ni kampeni za Uchaguzi mtakataa...
KATIBU wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, CPA Amos Makalla, amesema wamewakubalia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupumzika.
Aliyasema hayo April 13 wakati akizungumza na wananchi wa Tarafa Lionja, Kata Lionja, Wilaya ya Nachingwea, mkoani Lindi, waliofika kumpokea...
SEHEMU YA KWANZA
Salaam na heshima nyingi kwenu; Uongozi, Wanachama, Wapenzi na Wadau wote wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
Waswahili husema; haraka haraka haina baraka, simba mwendapole ndiye mla nyama, polepole ndio mwendo lakini pia haba na haba hujaza kibaba...
Kwanza...
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Ndg. Kailima, R. K akifafanua jambo.
Na Mwandishi Wetu Dodoma.
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, vyama vya siasa na Serikali kesho tarehe 12 Aprili, 2025 wanatarajiwa kusaini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi yatakayotumika kwenye uchaguzi...
Mbunge mmoja amemuomba Naibu spika wa Bunge kuahirisha shughuli za Bunge na wajadili kuhusu Penati za Simba dhidi ya Al Masri
Soma Pia: Kuelekea 2025 - Orodha ya CV za Wabunge kwa mwaka 2020 - 2025 kutoka kila mkoa Tanzania
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Albert Chalamila , amesema kuna mabadiliko ya maendeleo makubwa sana Dar Es salaam ya Miundombinu kulinganisha na Mikoa mingine. Hivyo kawataka Wafanye kazi kuliko kulalamika tuu.
Ameyasema hayo leo tarehe 10 Aprili 2025 katika Uwanja wa TP uliopo Sinza wakati...
Ndugu zangu Watanzania,
Baada ya kufunguliwa Kwa pazia na kupulizwa kwa Filimbi ya kuchukua Fomu za Kuomba kuteuliwa nafasi za kugombea Udiwani na ubunge ndani ya CCM.
Nilikuwa nashauri na kuwashauri viongozi na watu hawa wafuatao wachukue ,kujaza na kurejesha Fomu za Kuomba ridhaa ya...
😁 Hili li nchi ni kichekesho , yaan kuitamaza Tanzania wakati ukiwa unaishi taifa lingine , nikama umepata ofa ya kutizama stand-up comedy Bure.
Siasa za kipumbavu sana!
TANGAZO KWA UMMA
Chama Cha Mapinduzi kinawatangazia Wanachama wake kwamba, mchakato wa ndani ya Chama wa uteuzi wa wagombea nafasi za Ubunge, Ujumbe wa Baraza la Wawakilishi na Udiwani, kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025, utazanza rasmi tarehe 1 Mei, 2025 kwa zoezi la uchukuaji na...
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi and Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla amewasili mkoani Lindi Aprili 10,2025 kwa ajili ya ziara yake katika mikoa miwili ya Lindi na Mtwara.
Awali baada ya kuwasili mkoani humo alipita katika Kata ya Somanga, Mtama iliyopo...
Huyu ni rais Bora sana Africa nzima ndio maana oktoba nitaenda kumpigia kura sababu vijana Sasa tunapesa nyingi sababu ya uongozi Bora wa mama anaetujali raia wake
2025 tunaenda na mama Samia ingekua uwezo wangu ningempa miaka 50 mbele ya kuiongoza tunafuraha na mama tunakula Bata na mama...
Naona mashitaka dhidi ya Lisu yamejikita kwenye mambo mawili; kwamba amesema uongo na pili uhaini.
Kwanza, kusema uongo; kama kweli serikali ya Tanzania ina umakini wa kiasi hicho kuhusu wanasiasa kusema uongo, iweje Amos Makala hadi leo yupo nje anadunda tu baada ya kauli zake za kusema...
Katika moja ya ushauri wa G-55 kwa Lissu ilikuwa ni kwamba kitendo cha kuzuia uchaguzi kinaweza kufanya wanachama watende makosa ya jinai.
Lissu kwa ujuaji au kiburi, akawaita G-55 wajinga, naona sasa anavuna alichopanda
Nadhani njia nzuri ni kujitafakari kwanini upinzani uungwe mkono kwa hiyari na huku CCM ikitumia Rushwa ,wasanii maarufu na watu maarufu, vitisho na mitutu ya bunduki kulazimisha kukubalika?
Mjitathimini tu. vita yenu si vita mnayo pigana na upinzani bali ni vita mnayo pigana na watanzania...
https://youtu.be/mzQEeiy4TjE?si=fkKNag_Pg0wJdYU_
➡Kumbe Lissu ameshitakiwa kwa makosa matatu tu ambayo upelelezi wake umekamilika...
➡Kosa la "TREASON" ama "UHAINI" limewekwa "just by the way" tu kwa kuwa hata aliyeandaa shitaka hilo (serikali) naye anasema "bado hana uhakika" kwa kuwa...
MRADI WA KUZALISHA UMEME WA BWAWA LA MWALIMU NYERERE UMEKAMILIKA
Kukamilika kwa mradi wa uzalishaji umeme katika Bwawa la Julius Nyerere ni utekelezaji wa ilani ya CCM ibara ya 63 (a).
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala...
Katika kipindi hiki ambacho Tanzania inapiga hatua kubwa katika kuimarisha demokrasia na maendeleo ya kijamii na kiuchumi, ni jambo la kusikitisha kuona baadhi ya wanasiasa wakichagua njia za uchochezi na kuvuruga amani kwa maslahi binafsi ya kisiasa.
Kauli na mienendo ya Mwenyekiti wa CHADEMA...
Watanzania wenzangu, tusipoamka sisi na kufunguka fahamu zetu, CCM wataendelea kutuona kama "toilet paper". Watatutumia wapendavyo na kututupa. Hakuna cha maana zaidi hawa watu wanaweza kututendea kama taifa. Fikra zao zimefika ukomo.
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, CPA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.