kuaminika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tlaatlaah

    Kuelekea 2025 John Heche hana haiba, muonekano, hekima wala busara ya kuwa kiongozi wa ngazi ya juu

    Kiukweli kabisa hata kwa macho ya nyama tu, John Heche hana haiba, muonekano, hekima wala busara ya kuwa kiongozi wa ngazi ya juu mathalani kuwa makamu mwenyekiti wa chadema Taifa. Si mtaratibu wala mstaarabu mwenye subra, ni mtu wa vurugu na fujo, huenda ni zaidi ya kelele na mdomo wa...
  2. Tlaatlaah

    Kuaminika kwa Rais Dkt. Samia Suluhu kwa Watanzania na kukubalika kwa CCM kwa Wananchi ni ushindi wa kishindo kwa Taifa letu moja

    Ukifuatilia kwa umakini na ukaribu zaidi, uelekeo wa siasa za Tanzania, utagundua kwamba, Dr.Samia Suluhu Hassan, anakwenda kurekodi na kuandika historia mpya ya kuaminika zaidi kama Rais wa Tanzania, Lakini pia kukubalika zaidi kwa wanainchi kama mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Taifa, na...
  3. Career Mastery Hub

    Tunatafuta ubc aluminum scrap kwa usambazaji wa kuaminika kwa ajili ya usafirishaji kwenda Thailand

    Habari wana forums, Nina mteja (company) kutoka UAE ambaye anatafuta reliable supply ya UBC aluminum scrap. Ikiwa una bidhaa hii au una taarifa za mtu/mashirika yanayoweza kuwa nayo, tafadhali tuwasiliane kwa mazungumzo zaidi. Malipo ni cash, na bidhaa zitapelekwa nje kwenda Thailand...
  4. M

    Kila mtu mpe mipaka katika kumuamini, usimuamini zaidi ya anavyostahili kuaminika

    Yawezekana unakonda na kukosa raha huku ukifikiria hivi kweli fulani ndio kanifanyia hivi? Jibu ni ndio huyo ni yeye halisi na wala hawamzingizii bali huo ndio uhalisia wake. Kosa lipo kwako kumuamini zaidi ya anavyostahili kuaminika, Ulimuamini zaidi ya jinsi alivyo ndio maana kafanya vile...
  5. G

    Kuna benki unasubiri saa zima kuweka/ kutoa pesa. Ni benki gani ya kuaminika ambayo nitahudumiwa fasta?

    Kuna benki kadhaa hap nchini imekuwa ni kama utamaduni / mazoea mtu kukalishwa muda mrefu mpala lisaa unasubiri kuweka / kutoa pesa. Ni kweli mawakala wapo lakini kuna sababu zinatulazimu kwenda bank, mawakala wengi huwezi kuingiza au kutoa zaidi ya milioni 1. Unaingia Benki, unatoa kikaratasi...
  6. Robidinyo

    Imagine unaishi maisha ya kuungaunga kiasi kwamba ukipata Shida hauwezi kukopesheka wala kuaminika

    Kwenye haya maisha kuna watu tumezaliwa na gundu kiasi kwamba toka unazaliwa mpaka unakufa maisha yako ni Magumu tu hata kama Unapambana vipi kujikwamua kwenye huo Ugumu. Inaumiza unaishi kwenye Jamii ambayo ukipata shida ya 20k hakuna mtu ambae anaweza kukukopesha kwa sababu anahisi hauwezi...
Back
Top Bottom