kinga

  1. Webabu

    Trump awafutia kinga maraisi na mawaziri kadhaa waliomtangulia huku Zelensky akimwambia "achana na vinu vyetu vya nyuklia!".

    Orodha ya viongozi waliomtangulia aliowafutia kinga ya kutoshtakiwa ni wengi miongoni mwao ni raisi mstaafu Biden,Anthony Blinken,Obama na Hillary Clinton. Kwa upande wa Ukraine raisi Zelensky amejibu mpango wa Trump na Putin wa kugawana ardhi na mali za Ukraine kwa kusema Trump akae mbali na...
  2. Webabu

    Trump awafutia kinga maraisi na mawaziri kadhaa waliomtangulia huku Zelensky akimwambia "achana na vinu vyetu vya nyuklia!".

    Orodha ya viongozi waliomtangulia aliowafutia kinga ya kutoshtakiwa ni wengi miongoni mwao ni raisi mstaafu Biden,Anthony Blinken,Obama na Hillary Clinton. Kwa upande wa Ukraine raisi Zelensky amejibu mpango wa Trump na Putin wa kugawana ardhi na mali za Ukraine kwa kusema Trump akae mbali na...
  3. Y

    Tumieni Kinga wandugu

    Habari za muda huu Wana JF Leo katika kukaazangu bila ya kazi nikamua bana kumcheki mpenzi wangu nakumuelezea Hali ya afya yangu ili kumpima atanichukuliaje? Chatting zikawa kama hivi: Mimi-Maishayangu siyaelewi wangu Binti-kivipi mbona bila Salam Mimi- Haina hata haja ya Salam sijui ntaishi...
  4. Y

    Tumieni Kinga wandugu

    Habari za muda huu Wana JF Leo katika kukaazangu bila ya kazi nikamua bana kumcheki mpenzi wangu nakumuelezea Hali ya afya yangu ili kumpima atanichukuliaje? Chatting zikawa kama hivi: Mimi-Maishayangu siyaelewi wangu Binti-kivipi mbona bila Salam Mimi- Haina hata haja ya Salam cjui ntaishi...
  5. Setfree

    Wanasayansi Wagundua Mfumo Mpya wa Kinga ya Mwili

    Mfumo mpya wa kinga ya mwili umegunduliwa. Upo katika sehemu ya mwili inayojulikana kwa kusaga protini. Mfumo huo una muundo wa siri unaoweza kutapika kemikali zinazoua bakteria. Watafiti kutoka Israel wanasema ugunduzi huu utabadilisha uelewa wetu wa jinsi mwili unavyolindwa dhidi ya...
  6. Braza Kede

    Eti wakuu mume aliyesahau kinga (kondomu) kwenye mfuko wa suruari yake ni kufokewa kweli?🤔

    Eti wakuu mume aliyesahau kinga (kondomu) kwenye mfuko wa suruari yake ni wa kufokewa kweli? Unarudi home mtu kaiona tu basi imeshakuwa nongwa anabwata siku nzima hadi majirani wanasikia. Hivi wakuu huyu mume si wa kupongezwa huyu, maana anamaanisha anaijali familia yake hataki kuiletea...
  7. J

    Ufafanuzi wa kinga za mwili

    Habari wa kuu! Samahani nina jambo huwa linanipa Shaka kwenye mwili wangu je ni kinga kuwa nyingi au kuna kitu kinaendele. Mwilini mwangu sina chanjo yoyote na sijawahi kuchomwa sindano ya dawa yoyote lbda ya ganzi wakati natoa jino. Pia naweza kukaa miaka 7 sijaumwa zaidi ya mafua tu na...
  8. B

    Kugombana na mwenzio inapunguza Kinga za mwili: Profesa Janabi

    MKURUGENZI WA MNH: UGOMVI NA MWENZA WAKO UNAWEZA KUPUNGUZA KINGA YA MWILI Mkurugenzi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), Profesa Mohammed Janabi, ametoa ufafanuzi wa kitaalamu kuhusu athari za ugomvi na mwenza kwenye afya ya mwili, akibainisha kuwa hali hiyo inaweza kupunguza kinga ya...
  9. Shanily

    Aya 2 za mwisho za suratil Baqarah, kwa ulinzi na Kinga wakati wa kulala.

    Aya hizi ni muhimu sana kwa Muislamu kuzisoma pindi anapotaka kulala. Huleta ulinzi na Kinga dhidi ya Shari za usiku za mashetwani, majini na watu biidhnillah. Kama unawatoto ambao wamenyanyukia jitahidi uwahifadhishe wawe wanazisoma Kila siku kabla ya kulala.
  10. B

    Kupeana penzi wakati wa mvua kunaongeza kinga ya mwili

    Haijalishi ni muda gani Ila Unapokuwa free na mpenzi/mwandani wako asikae kinyonge wakati wa baridi mtie mguu wa mtoto mpe mkwasa🤣wa mashavu ya chini. Faida za tendo wakati wa mvua 1.kuimarisha upendo baina ya wenza 2.kuondoa stress za Kazi na biashara 3.njia ya kutatua Ugomvi 4.inachochea...
  11. Mikopo Consultant

    Kwa mazingira ya biashara Tanzania, mikopo ni kinga ya lazima kwa biashara yako

    Kwakuwa watanzania wengi wajasiriamali bado ni wageni wa masuala ya kifedha na mikopo, sio vibaya tukaelimishana kuhusu huchi kitu. Mazingira ya biashara Tanzania sote twayajua, unaweza lala una biashara ukaamka huna biashara, refer ile case ya masoko kuungua. Au unalala una biashara yako, kesho...
  12. Mwanamayu

    Pamoja na katiba kutoa kinga, kama haya yalitokea kwa National Audit Office, si kuwa yanatokea kwenye NEC pia?

    Kikatiba the National Audit Office imelindwa sana ili isiingiliwe kabisa na mamlaka ya juu ya nchi. Lakini kwa mujibu wa Prof. Assad, ofisi hiyo iliingiliwa. Sasa mwaka huu na mwaka kesho tuna uchaguzi, je, NEC, yaani Tume ya Taifa ya Uchaguzi ambayo kikatiba ni huru na haiingiliwi na mamlaka...
  13. G

    Walebanoni wameua watoto wao makusudi watumike Kama Kinga ya vita kwa hizbola, kulinda magaidi na wewe ni gaidi na taarifa wakipewa na Israel

    Israel ilitoa taarifa mapema ya kushambulia maeneo lakini wakaamua kubaki na wanawake wao na watoto ili wauawe iwe Kinga kwa Hizbola INgawa mbinu hii Israel imeilewa ndo maana hawataki kulea magaidi Nashauri UN ipige maarufuku kitendo hiki cha kikatili Cha kutumia watoto na wanawake Kama Kinga...
  14. Bams

    Sheria nyingi zilizoundwa na CCM zimelenga kutengeneza mazingira ya kufanyika uovu

    Taasisi yoyote inapotaka kufanya uovu wowote, kwanza hutengeneza mazingira ya kuwezesha uhalifu kuweza kufanikiwa. Serikali ya CCM, muda mwingi imekuwa ikiandaa mazingira ya kisheria ya kufanya uovu dhidi ya umma: 1. Serikali ya CCM kwanza iliandaa na kupitisha sheria ya kinga ya viongozi...
  15. didy muhenga

    Tuvae Kinga maradhi kama Ukimwi, UTI, Gono yapo kweli

    Wakuu tuvae Kinga maradhi kama Ukimwi, UTI, Gono yapo kweli tusipuuzie yakaja kutukuta madhara kama nayopitia mimi. Anyway msichana alieniambukiza na ndo huyohuyo mwezi wa tisa mwanzoni napeleka barua kwao nimuoe.
  16. USSR

    Uko tayari kuchanja kinga ya MPOX?

    CDC italeta Afrika dozi milioni 10 ya MPOX na kupelekea moja kwa moja nchini Congo (DR) huku mipaka ya Tanzania ikianza ukaguzi kwa mujibu wa waziri wa afya mhagama . Iwapo Marekani itaongeza dozi ni kuwa italazimika kuchanja kabla ya kuvuka mipaka , ugonjwa wa MPOX ni mpya sana kwa baadhi ya...
  17. L

    Neno Sanda katika jezi mpya ya Simba ni kinga dhidi ya washirikina na wenye husda dhidi ya Simba, mnaopinga neno hilo mna nia mbaya na timu yetu

    Kama kweli wewe ni mpenzi na mwanachama wa Simba na unaitakia Simba mema, basi usikubali kuingia mtumbwi wa kibwengo, hilo neno Sanda hapo kwenye jezi mpya ya Simba halikukaa kimakosa, nyie wote mnajua maana ya Sanda. Sanda ni shuka anayofunikwa maiti kuelekea kaburini kuzikwa.Simba imeweka...
  18. hermanthegreat

    Unatoa wapi ujasiri wa kufanya upinzani ikiwa huna kinga yoyote?

    Sawa una haki ya kutetea nchi yako , kuwasemea wanyonge nk. Lakini ukweli mchungu ni kwamba utatafutwa na utazimwa , unamkaribisha adui na huna kinga yoyote? Kwanini uchague maisha ya shida na wasiwasi hivyo ingali unafahamu athari zake 🤔 Tukio la Sativa limenifikirisha sana. Kuna haja ya...
  19. GoldDhahabu

    Sheria ya madai Tanzania inawapendelea matapeli?

    Kwenu wajuvi wa Sheria! Kwenye clip hapo chini ni malalamiko ya mtu anayedai kutapeliwa. Tukio lilitokea Arusha. Mlalamikaji aliuziwa shamba la ekari 2 kwa milioni hamsini na nne. Lakini alipotaka kuanza kulitumia shamba lake, alilikuta limeuzwa kwa mtu mwingine. Mtuhumiwa alifunguliwa kesi...
  20. Msanii

    Katiba yetu ya leo inakosa MAMLAKA ya kuwajibisha. Katiba inapaswa kuunda Taasisi imara na siyo kinga kwa viongozi wasiowajibika ipasavyo

    Rais ambaye ndiye mlinzi namba moja wa KATIBA ya nchi anasema ni KIJITABU.... na hakuna uwajibikaji wowote kwenye hilo (Ibara ya 26.-(1) Kila mtu ana wajibu wa kufuata na kutii Katiba hii nasheria za Jamhuri ya Muungano.) Bunge letu linapokea na kupitisha kwa mbwembwe miswada yote ambayo ina...
Back
Top Bottom