kidato cha sita

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    Wapi naweza kusoma Kidato cha 5 na 6 kwa mwaka mmoja

    Habari wakuu Mimi ni muajiliwa nipo mkoa wa dar es salaam naitaji kusoma advance mwaka mmoja Naomba mnisaidie kwa lolote mawazo yenu, mbinu , na wapi sehemu gani niende niweze kutimiza lengo langu hilo. Nitawashukuru sana kwa msaada wenu
  2. Damaso

    TCU ianzishe Expo kwa ajili ya wahitimu wa kidato cha sita

    Hakuna changamoto kubwa katika maisha ya vijana wetu wanaomaliza kidato cha sita katika elimu kama uchaguzi wa taaluma gani wanatamani kwenda kusomea vyuo vikuu na vyuo vya kati. Ingawa wengi hutazama suala hili kama ni sehemu ya vijana kuumiza vichwa vyao katika tafakuri zao ila bado linabakia...
  3. chiembe

    SI KWELI CHADEMA yapiga marufuku ambao hawana elimu ya kidato cha sita na kuendelea kugombea serikali za mitaa na uchaguzi mkuu

    Chadema imewapiga marufuku maelfu ya watanzania ambao wana elimu ya msingi na kidato cha nne wasigombee uongozi wowote katila chama hicho katika uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika mwaka huu. Chama hicho, japo kimewanyima haki ya kugombea, kinatarajia kwenda kuwaomba kura ili...
  4. R

    Elimu yangu kidato cha sita, ninatafuta kazi

    Ndugu zangu ninaomba msaada au connection ya kazi yoyote halali, Mimi ni me(29) elimu yangu Kidato Cha sita ninapatikana Dar es salaam ninaujuzi wa computer, Uhasibu, stocktaking, warehouse supervisor, import and export preparation documents. Mawasiliano yangu ni 0693414477.
  5. R

    Elimu yangu kidato cha sita, ninatafuta kazi

    Ndugu zangu ninaomba msaada au connection ya kazi yoyote halali, mimi ni me(29) elimu yangu Kidato cha sita ninapatikana Dar es Salaam. Nina ujuzi wa computer, Uhasibu, stocktaking, warehouse supervisor, import and export preparation documents. Mawasiliano yangu ni 0693414477
  6. shuka chini

    Matokeo ya kidato cha sita yametoka. Kwa ufaulu huu, watoto siku hizi wana akili nyingi sana?

    Habari za mida hii wadau Nimekuja na hoja yangu tuijadili.Leo matokeo ya kidato xha sita yametoka ila watoto nimeona wamefaulu sana Unakuta shule ina division one na two.sasa jamani mimi swali langu ni hili hivi tuseme watoto wasasahivi wanaakili sana kuliko wazazi wao .maana kipindi chetu...
  7. TODAYS

    MADA MAALUM: Baada ya Matokeo ya Kidato cha Sita, Je, Kombi ya Kijana Wako ni Wapi Anaenda.

    Baada ya matokeo kutoka maswali yamekuwa mengi kulingana na kombi ambazo vijana wamepangwa. Mfano CBG ni moja ya kombi inayoonekana kuwashtua wengi kutokana na somo moja la Geography, kwamba limeingiaje kwenye Biology na Chemistry?. Lakini hadi sasa kombi hiyo ndiyo inayoonekana kuvutia kwa...
  8. Cute Wife

    Matokeo Kidato cha Sita 2024 yatoka. Ufaulu wapanda kwa asilimia 0.26

    Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya kidato cha sita mwaka 2024, leo Jumamosi Julai 13, 2024 katika ofisi za Baraza hilo Zanzibar. Kuangalia matokeo bonyeza hapa: Matokeo Kidato cha Sita 2024 Jumla ya watahiniwa 113,504 walifanya mtihani wa kidato cha sita, mwaka huu...
  9. A

    Je, ni kweli matokeo ya Kidato cha 6 - 2024 yatatoka Julai 12 kama wasemavyo HESLB?

    Je Ni kweli kuwa matokeo ya form six 2024 yanatoka 12 July kulingana na picha hiyo hapo chini
  10. G

    Nimehitimu Kidato cha Sita, nina lengo la kusomea sheria. Vigezo vyake vinakuwaje?

    Mm mwanafunzi niyemaliza kidato cha sita ninalengo la kusomea sheria vigezo vyake vinakuwaje kulingana na ufahulu
  11. Ojuolegbha

    JKT wametangaza nafasi za Kujiunga kwenye Mafunzo kwa Vijana wa Kidato cha Sita waliohitimu mwaka 2024

    JKT LAWAITA VIJANA WA KIDATO CHA SITA MAKAMBINI Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa, Meja Jenerali Rajabu Nduku Mabele, tarehe 24 Mei 2024, ametangaza nafasi za Kujiunga kwenye Mafunzo kwa Vijana wa Kidato cha Sita waliohitimu mwaka 2024. Akitoa tangazo hilo kwa niaba ya Mkuu wa JKT, Mkuu wa Tawi...
  12. Madamboss

    SoC04 Wahitimu wa kidato cha sita wanapojiunga JKT watengewe muda wa kuishi kwenye jamii halisi za Kitanzania

    Jeshi la kujenga taifa (JKT) ni moja ya chombo kilichoundwa tarehe 10 Jul, 1963 baada ya nchi yetu kupata uhuru. Lengo kuu ni kuelimisha, kudumisha uzalendo, maadili na nidhamu ya vijana na kuwafanya wawe raia wanaopenda kutumikia na kuiilinda nchi yao. Mara baada ya kumaliza kidato cha sita...
  13. Mparee2

    Kidato cha 6 waruhusiwe kufundisha somo la Hisabati

    Nchi yetu imekuwa na nia njema sana ya kuendeleza Vijana katika fani mbalimbali hasa za ufundi na ujasiriamali. Kimsingi vijana wenye uelewa wa somo la hesabu wanaweza kufanya vizuri sana katika fani hizo za ufundi na ujasiriamali. Hata hivyo kutokana na upungufu/ ukosefu wa waalimu wa hesabu...
  14. Francis06

    Je, naweza kurudia masomo ya Kidato cha 6 kwa mchepuo tofauti?

    Wanajamii naombeni kuuliza, nilisoma mchepuo wa EGM nikamaliza shule Sasa nataka nikaanze masomo ya Udaktari. Je, naweza kwenda tena kusoma advance mchepuo wa PCB ili niweze kwenda udaktari?
  15. Intelligence Justice

    Wanafunzi Waliodahiliwa Elimu ya Juu katika Vyuo Mbalimbali Daraja la Kwanza Kidato cha Sita Wapewe Mikopo

    Wana Jamvi JF, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza niende moja kwa moja kwenye mada. Kabla ya mwaka 2023 wanafunzi waliokuwa wanafaulu kidato cha sita na kudahiliwa katika vyuo mbalimbali Tanzania pamoja na vigezo vya kusomea taaluma maalum za sayansi, udaktari na ualimu kupata asilimia...
  16. R

    Mitihani ya kidato cha sita 2023 ilikuwa below standard

    1. Ufaulu huu mkubwa tulioushuhudia si kuwa watoto walisoma sana na kuwa na uwezo wa kujibu maswali. Kwanini nasema hivyo: Haiwezekani shule ambayo mwaka jana ilikuwa na 90% or so Div 0/Div 4, leo ghafla ina div 1 and 2. 2. Shule ambazo zimejiwekea rekodi ya kudumu ya kufeli, leo zinaongoza...
  17. Replica

    Shilole apiga shangwe kuu mwanae kupata Div. 1 kidato cha sita. Asema kuna wakati mama huhatarisha maisha yake kwaajili ya mwanae

    Mama ntilie wa kishua, Shilole jana ameonesha furaha yake baada ya mwanae Joyce kupata ufaulu wa Division 1 ya 7 akidai yeye aliishia darasa la 7b chini mti. Shilole amesema mwanae amemaliza shule ya emperial kidato cha sita huku akisema ukifika katika shule hiyo unakuta bendera za mataifa mengi...
  18. benzemah

    Angalia hapa Matokeo ya Kidato cha 6 mwaka 2023

    Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) imetangaza matokeo ya kidato cha sita mwaka 2023 huku yakionyesha ufaulu wa jumla umeongezeka kwa asilimia 0.26 ikilinganishwa na mwaka jana. Akitangaza matokeo hayo leo Julai 12, 2023 katika ofisi za Baraza hilo Zanzibar, Katibu Mtendaji wa Necta Dk Said...
  19. BakalemwaTz

    Matokeo ya kidato cha sita 2023/2024 yanatoka lini?

    Je na wewe unajiuliza juu ya tarehe ya kutoka Matokeo ya kidato cha sita 2023? Kumekua na maswali Mengi juu ya kutoka kwa matokeo ya mtihani wa kidato cha sita mwaka huu 2023. Kidato cha sita walifanya mtihani wao mapema mno mwanzoni mwa mwezi tano. Kwa mwaka jana matokeo yalitoka tarehe 05...
Back
Top Bottom