Je, wajua kwamba Chadema kwenye kanzi data yao ina wanachama wasiozidi 450,000 nchi nzima.
Hivyo, ukitazama ndani ya miaka 32 ya kufanya siasa nchini CHADEMA inasajili wanachama 14,062 tu kwa mwaka.
Kama utagawanya tena hiyo 14,062 kwa mikoa 26 CHADEMA ina wastani wa wanachama 540 kwa kila...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limemkamata Subira John (25) mkulima Mkazi Mtendeni kwa kosa la kutelekeza kichanga.
Kwa mujibu wa taarifa ya Kamanda wa Polisi Mkoa Morogoro, SACP Alex Mkama tukio hilo limetokea Novemba 8, 2024 majira ya mchana katika eneo la K Park bar kitongoji cha Mbumi...
MWANAMKE ambaye hajafahamika jina lake na anayedaiwa kuwa ana ulemavu wa akili, amejifungua mtoto mchanga kisha kumtupa kwenye eneo la shule ya msingi Msali "A" iliyopo kijiji cha Ngararambe kata ya Nyakahura wilayani Biharamulo mkoani Kagera, huku baba wa mtoto huyo akiwa hajulikani...
Msichana ajulikanaye kwa jina la Rehema Erick (19) Mkazi wa Kijiji cha Mtapenda, Kata ya Mtapenda Halmashauri ya Nsimbo Mkoani Katavi amejaribu kuua kichanga chake mara baada ya kujifungulia chooni katika Hospital ya Halmashauri ya Nsimbo pasipo mafanikio.
Rehema akiwa katika hospitali hiyo...
Mkazi wa Kijiji cha Nayeme wilayani Rombo Mkoa wa Kilimanjaro, Melania Tarimo anatuhumiwa kumuua mtoto wake anayekadiriwa kuwa na miezi miwili au mitatu kwa kumchinja na kutenganisha kichwa na kiwiliwili.
Melania (32), anatuhumiwa kufanya mauaji hayo akishirikiana na Priscus Daniel, maarufu...
JESHI la Polisi mkoani Singida, linamsaka mwanamke mmoja ambaye bado hajatambulika kwa majina na anwani ya makazi yake kwa kumtupa mtoto mchanga kwenye tundu la choo.
Mtoto huyo baada ya kuopolewa kwenye tundu la choo alipelekwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida ambapo bado...
“Kama isingekuwa uzembe na kuachwa kwa muda mrefu bila kupata huduma mtoto wangu angekuwa hai, wangenihudumia tangu asubuhi nilipofika yasingetokea haya. Zakhiem ni hospitali nzuri, lakini ina shida kubwa.”
Hiyo ni kauli ya Nailath Lyezia, mkazi wa Mbande, Dar es Salaam anayelalamikia watoa...
Mwili wa kichanga kinachokadiriwa kuwa na umri wa wiki tatu umekutwa umetupwa kwenye njia ya mtaa wa Kileleni kata ya Kitangiri wilayani Ilemela mkoani Mwanza hali iliyozua sinfofahamu kwa wananchi wa eneo hilo.
Wakazi wa mtaa huo wamesema majira ya saa moja asubuhi wakati watoto wao wakienda...
Hii dunia ni ngumu kuielewa na kila siku kuna jipya, mtoto amekufa na kugeuka kuwa jiwe, huyu mama alizaa watoto mapacha mtoto mmoja amefariki na mwingine bado yupo.
Tukio limetokea ukweni na tayari ndugu wa mke wameamua kuondoka na ndugu yao (mama mfiwa) na mtoto wake aliyebakia hai.
Chanzo...
Watu wawili mke na mume wamefariki dunia kwenye ajali iliyohusisha gari ndogo na treni katika makutano ya reli, Kata ya Tambukareli, Dodoma.
Akizungumzia marehemu hao Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma, Ibenzi Ernest amesema walipokea mwili wa mwanamke Furaha Rashid huku...
Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro linamshikilia mwanaume mmoja, mkazi wa Mero, wilaya ya Moshi, Mkoani Kilimanjaro kwa madai ya kumuua mkewe na kumjeruhi mtoto mchanga kwa kile kinachodaiwa ni wivu wa mapenzi.
Mwanamke huyo ambaye anatambulika kwa jina la Fausta Tesha (26) aliuawa kwa kukatwa...
Baba mmoja asiyefahamika ameripotiwa kutupa mwili wa mtoto mchanga jalalani kando ya Uwanja wa CCM kalangalala mjini Geita, muda mfupi baada ya kukabidhiwa kwa ajili ya mazishi.
Kaimu Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Geita, Inspekta Edward Lukuba amethibitisha kupokea taarifa...
Kichanga cha siku moja kilichookotwa na Afisa Mtendaji, Haridi Karo wa Kata ya Pachani, Mtaa wa Mtandi - Masasi Mkoani Mtwara kimeibua mvutano kati ya Ofisi ya Ustawi wa Jamii Masasi na Polisi wilayani humo.
Mvutano huo umeibuka baada ya Afisa Ustawi wa Wilaya, Leila akishikiriana na Mkuu wa...
Mtoto wa mwezi mmoja, Benitha Beneti ambaye alikuwa ameibwa nyumbani kwao Mtaa wa Migera, Kata ya Nshambya Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera amepatikana akiwa hai mjini Dodoma baada ya kupotea takribani wiki moja.
Mtoto huyo aliibwa Desemba 01, 2022 akiwa amelala kitandani ndani ya nyumba baada...
Wauguzi katika Kituo cha Afya Tunduma, Wilayani Momba wanatuhumiwa kusababisha kifo cha mtoto aliyezaliwa kituoni hapo, huku mzazi (jina limehifadhiwa) Mkazi wa Kata ya Uwanjani, Tunduma akidai mtoto huyo alikutwa na jereha kichwani licha ya kujifungua salama.
Taarifa zilizopatikana kituoni...
Ailiyekatupa chooni haka ka baby Mungu amuangaze na amuaibishe! Sijui hata nisemeje aaaagh
Mungu wewe mwenyewe ndio tegemeo letu utakatunza katoto kwa njia zako mwenyewe.
Amen.
Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya ya Kahama, Festo Kiswaga amelipongeza Jeshi la Polisi Wilaya ya Kipolisi Msalala Mkoani Shinyanga na wananchi kwa kazi kubwa waliyoifanya kufanikiwa kupatikana kwa mtoto mchanga aliyeibiwa wodini katika Kituo cha Afya Lunguya Halmashauri ya...
Mwili wa kichanga umeopolewa na Kikosi cha Jeshi la Zimamoto Mkoa wa Geita kwa kushirikiana na wananchi baada ya kutupwa ndani ya kisima cha maji Mtaa wa Mkolani.
Afisa wa Jeshi la Zimamoto na uokoaji Mkoa wa Geita Emmanuel Lutta amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.
WATU 16 wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Singida kwa mahojiano kutokana na kufukuliwa na kuibwa kwa mwili wa mtoto, Christian Samson, mwenye umri wa mwaka mmoja na mwezi mmoja.
Inadaiwa kuwa mwili wa mtoto huyo ulifukuliwa kwa kile kilichoelezwa ni kutokana na imani za kishirikina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.