kausha damu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. chrispny

    Walifungiwa app za mikopo walichokifanya ni kubadilisha majina ya hizo app na bado wanaendelea kufanya utapeli

    Habari wana JF. Kuna suala linaloendelea juu ya app za kukoposhe ONLINE. Hii mikopo imekaa kiunyonyaji sana. Mtu anakopa pesa online anapewa lakini mwisho wa siku usumbufu unakuja kwa watu ambao hawahusiki na huo mkopo. Nimekuwa nikipokea message kutoka kwa hawa jamaa wakidai nimewekwa kama...
  2. RIGHT MARKER

    Vicoba na michezo ya kupeana hela vinaweza kusababisha changamoto ya afya ya akili kwa wanawake

    Mhadhara - 48: Nakiri kwamba Vicoba na michezo ya kutoana/kupeana hela vinawasaidia wanawake kujikimu mahitaji yao madogo madogo ya nyumbani. Hata hivyo kumeibuka wimbi la wanawake wengi kujiunga kwenye vicoba vingi na idadi kubwa ya vikundi vya kutoana/kupeana hela kuzidi uwezo wao wa kifedha...
  3. Copro mtego

    DOKEZO Bodi ya Mikopo ya elimu ya juu (HESLB) wanataka kukiuka mkataba wa kimalipo kwa wanufaika

    Bodi ya mikopo (HESLB) kwa hili mnataka kuvuka mipaka kwa kutaka kukata pesa za posho kwa intern (watarajali) doctors, nurses etc. Kwanza intern sio muajiriwa anakuwa katika mafunzo kwa njia ya vitendo na halipwi mshahara anapewa posho ya kujikim ndio maana TRA hawawakati kodi. Pili mkataba...
  4. RIGHT MARKER

    ''Kausha damu" waliupisha upepo kisha wamerudi tena kwa kishindo

    Mhadhara - 43: Siku hizi kumekuwa na vibanda vingi sana mitaani almaarufu "Kausha Damu" ambavyo vinakopesha pesa kwa watu wa hali ya chini kwa riba kubwa, mikataba migumu, na masharti ya kusaga meno. Na pindi wakopaji wanapochelewesha marejesho wanaporwa mali zao bila utaratibu mzuri, kama vile...
  5. Mgaa gaa upwa

    KERO Kausha damu Banc ABC wamekataa kutoa makato yao baada ya kuwalipa

    Wasalaam. Ni mwezi Sasa umepita tangu nilipoleta uzi hapa jukwaani unaosema Banc ABC wamekataa kulipwa, msaada wenu unahitajika. Nilipewa ushauri mzuri Sana na Wana JF home of great great thinkers, niliwasiliana na BOT kweli baada ya weekend balance ya mkopo ikatoka ikiwa na limit ya wiki moja...
  6. monotheist

    Hii Mikopo ya Bajaji sasa imekua kama kausha damu, tuwe makini

    Pitapita zangu maeneo ya town nikaona bango kubwa linalohusu mkopo wa bajaji na pikipiki nikaamua isiwe shida ngoja nijisogeze yaliyojiri ni kama yafuatayo; Aina ya bajaji ni RE Kianzio cha mkopo ni 700,000 na marejesho kwa siku ni 28,000 kwa miaka miwili inamaana hapa ndani ya miaka miwili...
  7. U

    Kausha damu zote zifungiwе, benki zibaki kuwa taasisi pekee za kutoa mikopo

    Wadau za wikiendi! Wakati napita facebook huko nikakutana na post ya huyu jamaa akanikumbusha maumivu ya hii mikopo maarufu kausha damu namna ambavyo ilidhoofisha afya ya dada yangu, akihangaika kulipa mikopo ya aina hii. Stori gani unaikumbuka ukisikia kausha damu?
  8. Mgaa gaa upwa

    Banc ABC wamekataa kulipwa, msaada wenu unahitajika

    Ni baada ya kuhangaika huku na huko bila kupata mkopo wa kuendeleza biashara yangu hatimae nikakutana na hii Banc ABC wakanipatia mkopo wa miaka miwili Ila kwa makubaliano kuwa nikipata pesa yao kabla ya huo muda naweza kulipa pesa yao tukaachana. Kweli nilipambana kwa namna yangu na Hali yangu...
  9. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    KERO TANESCO badilisheni mita za umeme kausha damu mnatuumiza sana

    Kuna hizi MITA tukiweka luku ya 10,000 tunapata units 28 badala ya 56, Hivi mlitumia vigezo gani kutuumiza hivi? Bora mtupatie mita mpya Ili tununue umeme wa kutosha na wateja waongezeke. Ongezeko la wateja litawaongezea mapato. Na Kodi ya majengo nayo Bado kizungumkuti, sisi wenye majengo...
  10. Yoda

    Jinsi Afrika inavyoingia katika mtego wa mnyororo wa madeni kausha damu

    Mueleko wa nchi za Africa katika upande wa uchumi kuhusiana na madeni kwa miaka ya mbeleni sio mzuri sana. Nchi takribani 20 za Africa zinakabiliwa na changamoto kubwa ya madeni, hii ni kutokana na ukopaji wa juu sana katika miaka 10 iliyopita. Hali tayari imepelekea nchi 3 (Ghana, Zambia na...
  11. kmbwembwe

    Rais Samia anasema anakopa kwa riba ndogo, je ana uhakika sio mikopo kausha damu?

    Rais Samia kwenye hotuba yake kupokea gawio za mashirika ya umma na yale yenye hisa za serikali kuna mambo amesema yanatia mashaka. Kwanza kufuatana na msajili wa mashirika hazina ni asilimia ndogo tu ya mashirika yametoa gawio kwa hivyo hapo bado hali ni mbaya vigogo wengi bado wanakula...
  12. Pfizer

    Wakazi wa Kigoma waaswa kujihadhari na mikopo kausha damu

    Mkuu wa Wilaya ya Kasulu, Kanali Isaack Anthony Mwakisu akizungumza na wataalamu kutoka Wizara ya Fedha katika Ofisi yake iliyoko mkoani Kigoma. Lengo lilikuwa kutoa elimu kuhusu masuala ya fedha kwa wakazi wa eneo hilo ikiwa ni jitihada za Serikali kuelimisha jamii kuhusu masuala ya kiuchumi na...
  13. S

    Tundu Lissu tunaomba uingilie kati suala la mikopo ya mitandaoni labda serikali itachukua hatua

    Nchi hii kuna mambo ambayo bila kuongelewa na wanasiassa au watu maarufu, mambo hayo huendelea kufanyika hata kama yako kinyume cha sheria na yanaumiza wananchi. Mojawapo na hili la mikopo ya mitandaoni ambalo hata Raisi wa nchi sidhani kama amewahi kuliongelea. Hili kwa sasa ni tatizo kama...
  14. Raia Fulani

    Hii si kausha damu hii?

    Yani taasisi kubwa kama hii inafyeka hela za wateja kiasi hiki? Serikali itupie jicho hapa
  15. mshamba_hachekwi

    Kwanini app za mikopo ya mtandaoni zinatumia picha za wanawake warembo kutangaza biashara zao?

    Kama unatumia sana youtube utakuwa umekutana na matangazo ya mikopo mtandao. Mimi sikuwa nayazingatia mpaka yakaanza kuwa ya ajabu ajabu kama hivi; Basi nikaamua kufuatilia kidogo, nikatafuta makampuni yanayomiliki haya matangazo. Cha kushangaza utakuta vikampuni vingi vingi viko chini ya...
  16. Roving Journalist

    Songwe: Polisi yawakamata wanaotoa Mikopo ya Kausha Damu

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe kwa kipindi cha mwezi Aprili, 2024 linawashikilia watuhumiwa 424 kwa tuhuma ya kujihusisha na matukio ya Ukatili wa kijinsia, Uvunjaji, Wizi, mauaji, utapeli kwa njia ya mtandao, Kujifanya mtumishi wa serikali, Kughushi nyaraka, dawa za kulevya, ukiukwaji wa sheria...
  17. Pdidy

    Hii mikopo ya simu bora kausha damu, Serikali iiangalie aisee

    Aisee hii mikopo n balaaa inatesa wamama wengi sana ingawa hawajajua Majuzi nilikuwa napiga kwa shemeji yenu, ana simu mbili, ya kwanza ilibaki nyumbani ya pili piga kimya haipatikani na kaaga anaenda kanisani. Nikamuuliza aliporudi vipi mbona umezima simu, sio mimi wenye simu zaoo sijalipia...
  18. Swahili AI

    Imebidi nihamie kwangu ghafla kumkwepa mdada kausha damu

    Wakuu poleni na mishe za hapa na pale. Sio mwandishi mzuri sana. Nimeona leo nishee nanyi kisa cha kumalizia chumba kimoja kwenye mjengo wangu mpya kumkimbia huyu singo mama. Mwaka jana mwezi wa sita nilikutana na huyu bidada mrembo wa kuvutia kwa nje mahala ambapo nilikua nikienda mara kwa...
  19. Victor Mlaki

    Mikopo umiza, kausha damu ni matunda ya mifumo ya kibenki iliyojaa urasimu

    Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu kwenye vyombo vya habari madhila wayapatayo wakopaji wa taasisi za mikopo midogomidogo hususani akina Mama inaonekana sauti ya vilio ni kama imepanda zaidi. Kwanza kabisa taasisi hizo pamoja na kupewa jina baya kana kwamba zinakosea sana ni zao la mifumo mibovu...
  20. 2 of Amerikaz most wanted

    Wanawake mnakubali vipi kuitwa ombaomba, kausha damu uwo ni unyonge kataa unyonge

    Mwanamke umekamilika na viungo vyako vyote unashindwa vipi kupambana kujisimamia na wewe kawa na vyako na maisha bora bila ya kumtegemea mtu. Uzuri, shepu na sifa nyingine sio kigezo cha wewe kubweteka na kuvitumia kama kitega uchumi chako, kuna wazuri na wenye shepu zaidi yako wamepambana...
Back
Top Bottom