karume day

Abeid Amani Karume (4 August 1905 – 7 April 1972) was a Tanzanian politician and statesman who served as the first President of Zanzibar and the first Vice President of Tanzania from 1964 to 1972.
He obtained the title of president as a result of a revolution which led to the deposing of Jamshid bin Abdullah, the last reigning Sultan of Zanzibar, in January 1964. Three months later, Zanzibar united with Tanganyika and formed Tanzania, and Karume became the first Vice President of Tanzania with Julius Nyerere (the then president of Tanganyika) as president of the new unified country. He was the father of Zanzibar's sixth president, Amani Abeid Karume.

View More On Wikipedia.org
  1. Mohamed Said

    Salim Kikeke na Mohamed Said Karume Day

    https://youtu.be/EYP1e2tToZc?si=ANvPuvwWhSjtQO_h
  2. Mohamed Said

    KARUME Day: Historia ya Karume na Mapinduzi

    https://www.youtube.com/live/tgpm1rOJpeM?si=voIwGe_Sw_H7wvmh
  3. F

    AIRTEL: Hatuadhimishi Karume Day bali Twakumbukia " Kumbukizi".

    Mtandao wa simu wa Airtel wamenitakia maadhimisho mema ya siku ya Karume. Sio kuadhimisha bali ni kukumbukia. Tunaadhimisha jambo Zuri lililotokea bali jambo baya kama kifo ni kumbukizi maana alitutoka huku tukimuhitaji. Wazungu husema Commomerate na sio celebrate. Asanteni.
  4. 1Afica54

    Wakuu je Halmashauri wanatoa huduma siku ya Karume day?

    Wana JAMII FORUM naomba kuuliza je halmashauri huwa wanafanya kazi siku ya KARUME DAY? KUNA mwajiriwa mpya wa serikali anahitaji kuripoti siku ya jumatatu nayo inaangukia karume day je watampokea..,?
  5. 1Afica54

    Habari wakuu je halmashauri wanatoa huduma siku ya Karume day?

    Wana JAMII FORUMS naomba kuuliza je halmashauri huwa wanafanya kazi siku ya KARUME DAY? KUNA mwajiriwa mpya wa serikali anahitaji kuripoti siku ya juma3 nayo inaangukia karume day je watampokea..,?
Back
Top Bottom