Salaam wanajukwaa.
Moja kwa moja kwenye mada, wote tunaelewa hizi gari ni ngumu sana na zinapita mahali popote.
Kwa usalama wa raia (abiria) tunaomba mamlaka husika iziangalie hizi gari pamoja na magari mengine yaliyochoka sana.
Tunajua usafiri wa DSM ni mgumu sana lakini kila siku gari hizi...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Raia Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa ameelekeza mchakato wa uanzishaji wa Mamlaka ya Uendelezaji wa Jiji la Dar es salaam uanze mara moja ili kurataibu maendeleo yote yanayofanyika kwenye halmashauri za mkoa wa Dar es salaam.
Mhe...
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imepokea maombi ya kurejea nauli za mabasi yanayotoa huduma ya usafiri wa haraka kutoka kwa UDART ambayo inatoa huduma za mpito za usafiri wa Mabasi ya Haraka katika Jiji la Dar es Salaam
Mapendekezo ya Nauli yaliyotolewa ni kama ifuatavyo, Nauli ya...
Hello wanajamvi!
Naomba kuliza ni kwanini jiji la Dsm hususani ilala wanatoza Kodi kubwa ya mabango kuliko hata kodi ya mapato ya TRA hata ya halmashauri?
Mfano!
Mtu una biashara mauzo yako kwa siku hayafiki laki na nusu 150,000,
TRA kwa mwaka unalipa around 1,500,00 mapaka 2,400,00.
Kodi ya...
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam amepokea kibali cha kutekeleza Ikama
na Bajeti kwa Ajira mpya katika mwaka wa Fedha 2022/2023 yenye Kumb. Na. FA.97/228/01’TEMP’/06 ya tarehe 06 Aprili, 2023 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora...
Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imetoa taarifa kwa Umma na wadau kwa ujumla kupitia vyombo vya habari kuwa,imegawanya eneo la Jiji katika kanda za kiutawala ili kurahisisha utoaji wa huduma unaolenga kutoa huduma zenye ubora na usawa kwa jamii kwa kuzingatia utawala bora na kutumia...
Ukiondoa maisha ya unga mwana niliyonayo kitu kingine kinachonipa msongo wa mawazo ni kutokuishi Dar es salaam. Nilikuwa nikisikia na kushuhudia watu wameacha kazi kisa tu wamepangiwa vituo vya kazi vya mikoani nilikuwa nawaona kama ni mental case kumbe mimi ndiye nilikuwa sijui what it means to...
Mkurugenzi wa Jiji la Dar es salaam Jumanne Shauri amesema katika jiji lake kwa sasa darasa moja wanakaa wanafunzi kati ya 35 hadi 40 ndio maximum. Shauri amesema katika awamu iliyopita darasa moja lilichukua kati ya wanafunzi 70 hadi 80.
Shauri amemshukuru sana Rais Samia kwa uwekezaji mkubwa...
Jiji la Dar limekaa vululuvululu sana, watu wamejijengea tu nyumba bila mpangilio wa kueleweka. Ni sehemu chache sana za mji hasa za katikati ya jiji ambazo ndizo zimekaa inavyopaswa.
La sivyo hizi mbwembwe za kuwafukuza wamachinga ni just a temporary solution to a permanent problem.
Tangu Rais Dr. John Pombe Magufuli kuvunja Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam na kuipandisha hadhi Halmashauri ya Manispaa ya Ilala kuwa Jiji la Dar es Salaam, kumekuwa na mijadala kemkem kuhusu jambo hilo runingani, redioni na hata mitandaoni. Mjadala hasa unajikita katika kuelewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.