Mwanamke anayedai kuwa alinyanyaswa kingono na Sean "Diddy" Combs amerekebisha kesi yake na kujumuisha madai kuwa pia alibakwa na Jay-Z kwenye moja ya party.
Kesi hiyo hapo awali iliwasilishwa dhidi ya Combs mnamo Oktoba, lakini Jumapili 8th December, mwanamke huyo aliongeza Shawn Carter...
P Diddy Amezidiwa Utajiri Na Jay Z Lakini Tunaambiwa Ili Wasanii Wawe Matajiri Lazima Waende Kwake, Lakini Pia P Diddy Amezidiwa Tuzo Za Grammy Na Jay Z 24 Kwa 3 Lakini Tunaambiwa Ili Wasanii Washinde Grammy Lazima Waende Kwa P Diddy 😂😂😂😂 Au Ndio Mganga Hajigangi 😂😂😂
Mjadala ambao umechukua hisia za mashabiki katika viunga mbalimbali Africa ya mashariki ni kuhusu hoja iliyoletwa na watangazaji vijana machachari wa East Africa radio kuwa Diamond Platinumz ni mkubwa kuliko Jay Z kwenye mtandao wa YouTube.
Mjadal huo uliendeshwa na vijana wenye vipaji na...
Habari za weekend, leo nimekumbuka tukio moja la 2012. Sisi wenye damu ya uchakalikaji huwa tunakutana na 'mazali ya mentali' mengi sana. Sitoelezea ilikuaje hadi nikaenda Paris-France, lakini tulipelekwa vijana kadhaa wakiwemo watu wa scout kwa ajili ya event fln hivi. Sasa mie kwanza...
Rapper Jay-Z's mother, Gloria Carter, has tied the knot with her long time partner, Roxanne Wilshire, in a star-studded wedding in New York.
Jay-Z and his celebrity wife Beyonce were among those witnessing the event that happened on Sunday night.
Hollywood celebrities in attendance included...
Nipo nasoma Biography ya Jay z nimeona kazaliwa 1969 na kaoa Mwaka 2008 na kapata mtoto wake wa kwanza na Beyonce Mwaka 2012
Na watoto wake mapacha kawapata Mwaka 2017
Maana yake Jay z kaoa akiwa na miaka 38
Nilichogundua Mambo ya kuoa yanahitaji kujipanga yaani kutafata Direction na sio speed...
Aisee hii show ya grammys mwaka huu hatari. Miamba kadhaa ya Rap stage moja huku jay z akishuka verse yake ya karibu dkk 5 kwenye God did.
Jionee mwenyewe hapa chini
Beyoncé, ambaye alizaliwa mnamo Septemba 4, 1981, alipata umaarufu akiwa member wa Destiny's Child (hapo awali kilijulikana kama Girl's Tyme), moja ya bendi kubwa zaidi za wasichana katika historia ya muziki.
Baada ya kuachana na Destiny’s Child, alianza kazi kama msanii mmoja akiongeza mauzo...
Picha inajieleza Sasa wale kuwa toa hela ndio muone hapa. Nishawaambia hata Ronaldo christiano akimtaka mkeo anambeba fasta. Mademu Ni wa kuangalia value uliyo nayo. Mana value yako na yeye anakuwa sehemu yako. Wewe fukuza ndoto zako halafu wao watakufukuza kwa gharama zozote jamani.
Haya twende...
Kama ulishawahi kusikiliza ile album ya Kanye kwa jina Graduation bila shaka unaujua wimbo unaitwa 'Big Brother'
Ule ni wimbo spesho kabsa ambao mwana alimuimbia mshkaji wake wa faida (yaani km ile tattoo ya Mondi kwa mmakonde[emoji2])
Ndani ya ule wimbo kuna line inasema 'But he got me out my...
Kwa wasiofuatilia wanaweza kudhani Msuguano baina ya Nas na Jay Z unaendelea lakini nikuambie tu ya kuwa mtafaruk wao ulishakwisha zamani sana. Awali familia zao zilihusishwa kwenye michano na mwisho wakaamua kukaa chini na kuyajenga. Wakashirikishana kwenye nyimbo baadhi na hivi majuzi...
Wimbo unaitwa SORRY NOT SORRY. Mpaka sasa nimeskiliza kipande cha Nas tu, navuta pumzi nimsikilize Jay. Licha ya bifu lao au mgongano kuisha toka miaka ya 2006 lakini hadi leo hii, wapenzi wa utamaduni na muziki wa Hip Hop hawaishi kuongelea msuguano huu uliotokea kwenye Album ya Nas...
Nampenda Jay kwasababu anaimba na kuandika maisha yake halisi.
Ukisikiliza nyimbo yake ya You Must Love Me na Kill jayz, amewahi kutaja kisa cha kumpiga risasi kaka yake, akiwa na umri wa miaka 12. Walipitia maisha magumu na familia yake na ni msimu ambao hata baba yake aliitelekeza familia...
Kwa mujibu wa jarida la @forbes, Kanye West ana utajiri wa Dola Bilioni $1.3 na kumfanya kuwa msanii wa Hip Hop mwenye mkwanja mrefu zaidi kwa mwaka 2020.
Asilimia kubwa ya mkwanja huo, Kanye West amesema unatokana na biashara yake ya viatu Yeezy sneakers.
Awali Kanye West aliwapa Forbes...
Mgombea Urais katika awamu iliyopita Mama , Hillary Clinton, ametoa sifa kwa rapper Jay Z wakati akimtakia heri ya siku ya kuzaliwa.
Mwanamuziki huyo wa Mitindo ya kufoka alisherehekea kutimiza miaka 50 siku ya jumatano Desemba 4. Clinton kupitia mtandao wake wa kijamii alimtumia salamu za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.